wawekezaji

  1. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Hivi ingekuaje kama Wilaya au Mikoa ingepewa uwezo wa kusaka wawekezaji toka nje?

    Habari wakuu. Hivi ingekuwaje iwapo halmashauri za wilaya a mikoa ingepewa ruhusa ya kusaka wawekezaji popote duniani, kwa kujitangaza na kuwapa incentives zilizopo katika maeneo yao kama ardhi, kuwapelekea maji na kuwachongea barabara? Mfano labda wilaya ya Mbinga itangaze kuwa inahitaji...
  2. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asifikiri kuwa mwanamke itavutia wawekezaji

    Nilimsikia Rais wetu Samia Suluhu akithamanisha uwepo wake kama Rais Mwanamke katika kuvutia vitega uchumi toka nje. Hiki ni kiinimacho tusije ruhusu uwekezaji usio na tija kwa maendeleo ya nchi. Lengo letu sio kua na wawekezaji wengi tu. Samia asije legeza kamba akaanza kutoka kwenye misingi...
  3. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Kauli ya "tusiwabugudhi wawekezaji" itumike kiumakini

    Hongera/pole kwa majukumu, Rais Samia hongera kwa jitihada ulizoanza kuzionyesha kwa kipindi hiki ulichoshika madaraka vitu kama mahusiano ya kimataifa, uhuru wa vyombo vya habari, haki za binadamu na demokrasia ni baadhi tu ya mambo ambayo umeelekeza nguvu na kiukweli nikupe hongera katika...
  4. funaku

    JamiiForums Tanzania Sheria au Sera gani inayotuongoza katika kufungua uchumi kwa hisani ya wawekezaji?

    Salamu! Ni vyema tunaposema kuwa tunaenda kufungua uchumi kwa kualika wawekezaji wa nje tuwe na sera mahsusi na sheria dhibiti zinazotuongoza katika utekekezaji. Iwapo Sera na Sheria zetu ni duni katika hili tutegemee kuanguaka kiuchumi. Je, Sheria au Sera ya kufungua uchumi kwa hisani ya...
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ukipata nafasi ya kumshauri Rais kuhusu kuleta wawekezaji ungemshauri alete wawekezaji wa viwanda gani?

    Je, ungepata nafasi ya kumshauri Rais kuhusu kuleta wawekezaji ungemshauri alete wawekezaji wa viwanda gani. Toa maoni yako, hapa. Maoni yako ni muhimu.
  6. JABALI LA KARNE

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje: Wawekezaji na Wafanyabiashara sasa wanarudi, foleni Wizarani ni kubwa

    Namsikiliza mama Waziri hapa anasema kuwa hali ilikuwa mbaya ila Wawekezaji wanarudi kwa kasi, foleni za Wafanyabiashara kutoka nje zimekuwa kubwa, na baadhi ya mabalozi wakiri kurahisishiwa kazi na mtindo wa Samia alioanza nao kwani kabla kujitetea kulikuwa ni kwingi mno. SOURCE TBC 1 SIKU...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ureno (Portugal) inakaribisha wawekezaji, kiwango cha chini uwe na €350,000

    Under the current Portuguese Nationality Act (Law 37/81), persons who reside in Portugal for at least 6 years can obtain Portuguese citizenship. Acquisition of residence permit is stipulated by Golden Residence Permit Programme through the implementation of a financial...
  8. Semahengere

    JamiiForums Tanzania Mnaita wawekezaji warudi ili muwakamate? Tulidhani Rais anataka kufufua uchumi

    Kwa kifupi hapa tumekosea. Manji hakukimbia nchini aliondoka. Mlikuwa wapi akiondoka hadi mumkamate mtu Airport wakati anarudi nyumbani? Hii ni sifa mbaya kama Taifa linalohitaji uwekezaji mkubwa for economy recovery. Muelewe wafanyabiasha wakubwa wana vyama vyao na network yao kwa hiyo...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Balozi yeyote aliyeko Ughaibuni asipoleta wawekezaji atimuliwe kazi

    Habari! Ni wakati sasa wa nchi kubana matumizi na kuruhusu matumizi matakatifu tu (matumaini yenye tija). Ni muda muafaka Sasa kwa mabalozi wa Tanzania katika nchi zilizoendelea za Ulaya, Amerika na Asia kufanya ushawishi wa hali ya juu kwa matajiri wakubwa na kampuni kubwa kuja kuwekeza...
  10. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Samaki wapungua kwa sababu ya kushamiri uvuvi haramu, wawekezaji walalamika

    Wawekezaji wa viwanda vya kuchakata minofu ya samaki mkoani Mwanza wamelalamikia uhaba wa malighafi unaochangia kupungua kwa uzalishaji unaodaiwa kusababishwa na shughuli za uvuvi haramu. wazalishaji hao wamesema uzalishaji umepungua kwa kasi kutoka tani 200 kwa siku mpaka tani 14 kwa sasa na...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mwambe atoa siku 14 kwa wawekezaji waliokutana na changamoto

    Waziri wa Uwekezaji Mhe.Geofrey Mwambe ametoa siku 14 wawekezaji nchini ambao shughuli zao za uwekezaji zimesimama au zimekwazwa kutokana na maamuzi ya taasisi za Serikali kuandika barua na kuzipeleka wizarani ili kuweza kushughulikiwa. Ameyasema hayo leo mara baada ya kutembelea Kituo cha...
  12. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Nashauri Serikali kukagua viwanda ambavyo vinasuasua au ambavyo vimeshindwa kujiendesha na kuwapa wawekezaji wapya

    Habari wadau..! Hivi karibuni naona kama wizara ya viwanda imekuwa ipo kimya sana,haitupi mrejesho mpango wa kuwa na serikali ya viwanda umefia wapi..? Nashauri serikali iwe inafanya review ya viwanda vilivyopo kuangalia maendeleo ya viwanda hivyo na changamoto zilizopo ili kuwashauri. Viwanda...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania ni lazima waambiwe na wajue, hakuna tusichokuwa nacho ili kuiletea nchi yetu maendeleo

    Watu wa kwanza wanaotakiwa kulifahamu hili ni viongozi wetu, na wao ndio wawe mstari wa mbele kuhimiza kila mtu ajibidishe kujiletea maendeleo na kwa kufanya hivyo kuipatia nchi yetu maendeeo inayoyatafuta. Hii ndio kazi ya kwanza muhimu kwa viongozi wetu. Hatutegemei wawe watu wa kuzunguka...
  14. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuhuma za Rostam Aziz zichunguzwe. Wawekezaji walikuwa wanaikimbia Tanzania na kama tusingewapokea ungekuwa ujinga

    Jamaa anasema alitaka kuwekeza $130 million halafu akazinguliwa, kha kwa namna tunawahitaji wawekezaji na kuwabembeleza kwa kila namna hainiingii akilini huyo Mhindi alitaka kuwekeza hela yote hiyo tukamtupia nje, ichunguzwe kwenye ngazi zote. Ikumbukwe kwa kipindi cha JPM wawekezaji wengi...
  15. MURUSI

    JamiiForums Tanzania Je, Hayati Magufuli alichukia wawekezaji au alichukia wawekezaji janja janja?

    Kwa kumbukumbu zangu Mwendazake hakuwahi kuchukia wala kuwakataa wawekezaji; nakumbuka aliwahi kuwaambia watu wa Mazingira kwamba wanapaswa kufanya uchambuzi wa kimazigira wakati tiyari mwekezaji anaendelea na kazi. Mwendazake aliwachukia wawekezaji wajanja ambao nazani ndo wengi sana nchi hii...
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu usisahau kuvutia wawekezaji kujenga viwanda vinavyozalisha kemikali kutokana na gesi

    Mama yetu gesi asilia kwa jina jingine inaitwa METHANE (CH4), kama unavyoiona hapo in kaboni moja. Gesi hii inamatumizi mengi kama vile KUPIKIA, KUWASHIA, KUZALISHIA UMEME, KAMA NISHATI VIWANDANI LAKINI PIA GESI HII INATUMIKA KUZALISHA KEMIKALI MBALIMBALI ZENYE THAMANI KUBWA KULIKO GESI...
  17. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Hili la wizi na wawekezaji kuanza kusita limenishtua sana

    Rais Samia ametujuza hivyo leo. ...kwamba wizi na umeanza kurejea kwa kasi katika Idara nyingi za Serikali. ...zaidi ametujuza hata wawekezaji waliokuwa katika hatua za mwisho kabisa za kumalizia taratibu za uwekezaji wameanza kusita! Haya mambo yanahitaji mjadala mpana kwa maslahi ya Nchi.
  18. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Kuna viongozi na watumishi ambao bado wanaweza kuwafanya Watanzania na wawekezaji wasiwe na imani na Serikali ya Rais

    Niseme kwamba kuna viongozi na watumishi ambao bado Watanzania na wawekezaji wanaweza wasiwe na imani na serikali ya Rai Samia Suluhu, uliza kwanini. 1. Namna walikuwa wakisimamia na kutunga sheria za kodi, Habari na walikuwa hawako tayari kulinda haki za binadamu. 2. Manyanyaso ya wananchi...
  19. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Kipindi tunalegeza kamba ili kuvuta wawekezaji wa nje tuukumbuke wosia huu wa Hayati Baba wa Taifa

    Tanzania tuna hazina kubwa sana ya wosia ambao umegusa karibu kila eneo ambalo leo hii tunaouona kama changamoto kwa Taifa. Mimi ni muumini wa falsafa ya ujamaa wa Kiafrika na katika maisha yangu ninatembea na vitabu viwili vikubwa yaani Biblia na Ujamaa. Kitabu cha "Ujamaa" cha mwaka 1968...
  20. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asije kuruhusu nzi na mbu kuingia upya kwa jina la wawekezaji

    Wakati wa awamu ya Mzee Mwinyi tukitoka kwenye mfumo wa dola kama ndio engine ya uchumi tulifungua milango na madirisha kwa wawekezaji. Waliingia wababaishaji na matapeli wa kila aina wakijifanya wawekezaji na kusababisha uharibifu wa uchumi wetu. Mzee Mwinyi kwa uungwana wake alikiri makosa...
Back
Top Bottom