IPP Media na Clouds Media uzeni kampuni zenu kwa wawekezaji vijana, bado mpo kizee sana

Mr Why

JF-Expert Member
Nov 27, 2019
1,117
1,915
Ipp Media na Clouds Media uzeni kampuni zenu kwa wawekezaji vijana wafumue na kuunda upya vituo vyenye muonekano wa kushawishi vijana kutazama channel zenu kwasababu mpo kizee sana channel zenu zimekaa kizee ndio maana vijana wamewakimbia na kwenda Wasafi Media ninyi mmeabaki na wazee na vijana wenye fikra za kizamani.

Teknologia imebadilika sana ninyi bado mpo nyuma, kongole kwa TBC 1 kwa kufumua muonekano wa kizamani na kutengeneza muonekano wa sasa unaovutia vijana kutizama channel yenu lakini pia pongezi nyingi kwa kuingia katika mfumo wa kurusha video zenye ubora wa HD.

Ipp Media na Clouds Media ninyi mnatakiwa kununuliwa na watu wenye akili za Elon Musk ili wawafumue kama alivyofanya kwenye kampuni ya Twitter kwasababu mmetawaliwa na uzamani mwingi sana.
 
Clouds imekuwaje ya kizee tena mkuu?

Asake wa Tandale kakulipa sh. Ngap uje ukashifu media za watu bila kuwa na deep info?
Lengo sio kuwakashifu ni kuwakumbusha kuwa bado hawajafika waamke na wabadilike kila siku, teknologia inakuwa kila siku, walipo sasa hapatoshi,
Mfano kwenye quality ya Video clouds ipo chini sana, pia watafute vijana watundu wa Graphics wanaojua kucheza na rangi
 
Ipp Media na Clouds Media uzeni kampuni zenu kwa wawekezaji vijana wafumue na kuunda upya vituo vyenye muonekano wa kushawishi vijana kutazama channel zenu kwasababu mpo kizee sana channel zenu zimekaa kizee ndio maana vijana wamewakimbia na kwenda Wasafi Media ninyi mmeabaki na wazee na vijana wenye fikra za kizamani.

Teknologia imebadilika sana ninyi bado mpo nyuma, kongole kwa TBC 1 kwa kufumua muonekano wa kizamani na kutengeneza muonekano wa sasa unaovutia vijana kitizama channel yenu lakini pia pongezi nyingi kwa kuingia katika mfumo wa kurusha video zenye ubora wa 4K.

Ipp Media na Clouds Media ninyi mnatakiwa kununuliwa na watu wenye akili za Elon Musk ili wawafumue kama alivyofanya kwenye kampuni ya Twitter kwasababu mmetawaliwa na uzamani mwingi sana.
4k? Subiri nirudi nyumbani nitakutumia wanastream mb ngapi per second utafurahi, yaani hata hd hawapo hicho ulichokiandika hukifahamu,
Labda ungeniambia wametoka mpeg2 to mpeg4 sawa
 
Angalia ubora wao wakati wa Taarifa ya habari, wamejitahidi sana
 
Ipp Media na Clouds Media uzeni kampuni zenu kwa wawekezaji vijana wafumue na kuunda upya vituo vyenye muonekano wa kushawishi vijana kutazama channel zenu kwasababu mpo kizee sana channel zenu zimekaa kizee ndio maana vijana wamewakimbia na kwenda Wasafi Media ninyi mmeabaki na wazee na vijana wenye fikra za kizamani.

Teknologia imebadilika sana ninyi bado mpo nyuma, kongole kwa TBC 1 kwa kufumua muonekano wa kizamani na kutengeneza muonekano wa sasa unaovutia vijana kitizama channel yenu lakini pia pongezi nyingi kwa kuingia katika mfumo wa kurusha video zenye ubora wa 4K.

Ipp Media na Clouds Media ninyi mnatakiwa kununuliwa na watu wenye akili za Elon Musk ili wawafumue kama alivyofanya kwenye kampuni ya Twitter kwasababu mmetawaliwa na uzamani mwingi sana.
Mbona ww ndio unatakiwa utolewe ushamba ulio nao kiufupi ufumuliwe waanze kukusuka upya media zote now wapo kidigitali labda kama hupendi vipindi vyao ila unaonekana uko very shallow kwenye hayo mambo na umeongea kama unayajua kumbe patupu
 
Clouds imekuwaje ya kizee tena mkuu?

Asake wa Tandale kakulipa sh. Ngap uje ukashifu media za watu bila kuwa na deep info?
Uchawa ukizidi unadhani watu wanamuda wa kutafuta info sasa media zetu zote karibu zinafanana utofauti ni vipindi tu. Dogo anaongea kama kahadithiwa kijiweni naye kaja kumwagika hapa
 
Kwanza how comes Azam media hujaiweka akati ndio media iliyowekeza kwenye teknolojia ya juu kuliko media zote bongo?

Na unakuja kutuambia TBC anarusha matangazo kwa ubora wa 4k are you serious mkuu?
Azam Media imewekwa ilikuwa imesahaulika, tuendelee kupiga kura tuone nani anaongoza
 
Back
Top Bottom