Nani huyu anayepigwa hivi? Amekosa nini? Au ndio wasiojulikana?

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,601
6,016
Ni nani huyu anaepigwa hivi? Amekosa nini? Kwanini wenye kumpiga wanasema "atatuharibia kazi" kazi gani? Na ame' post neno "kimeumanaaa" wapi? Ndiyo kosa lake? Anaefahamu kisa hiki atusaidie, tufahamu. Namba za gari ni T 777 BWS.

Hii si ni kama huyu jamaa ametekwa na anachezea kipigo, What if angezimia au kufariki si angeokotwa Msituni au kwenye Kiroba baharini?

Tunaiomba mamlaka (Najua wengine wanatusoma humu) ifuatilie tukio hili, kwa kweli Tanzania kuna sehemu si salama.


 
Dah! ni kama kaingia kwenye mdomo wa mamba, hadi mamba aamue kughairi siyo rahisi.
Hapo naskia kuna lisaut la mkuu wa kituo kabisa, hebu reteni risimu tuangalie hilo rinamba 😂😂😂 hapo vijana lazma wamwage moto wa maana! Kufanya uhalifu zama hizi za sifa za mbele ya camera inahitaji moyo kweli! Watu wanaweza wakakuumiza ili wakupost tu!
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom