watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kukomesha ubakaji na ulawiti kwa watoto?

    Vitendo vya ukatili wa kijinsia vimekuwa vikiongezeka kila leo, vitendo hivyo vikihusisha ulawiti, na ubakaji. Ijapo kumekuwa na sheria ya vifungo vya miaka kadhaa hadi vifungo vya maisha gerezani lakini bado inaonekana adhabu hiyo haitoshi kwa kuwa vitendo hivyo vimekuwa vikiongezeka siku...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Umasikini mbaya nyie bora kusikia tu. Watoto wangu nimewarejesha tena English Medium

    Miezi kadhaa iliyo pita nilianzisha Uzi hapa jukwaani nikielezea "FAIDA"nilizo zipata baada ya kuwahamisha watoto wangu kutoka English Mediums na kuwapeleka kayumba. U know what? Ilikuwa ni umasikini mkuu. Umasikini mbaya sana. The evil spirit of poverty is very evil. Ndio maana huko...
  3. JamiiForums Tanzania Hakikisheni Watoto Wachanga Hawapati Shida Watumiapo Kadi za Wazazi Wao

    Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amewataka watendaji wa mfuko wa bima ya afya na vituo vyote vya huduma za afya nchini kuhakikisha watoto na wazazi hawapati shida iwapo mama atakuwa na kadi yake inayoonyesha ushahidi wote kuhusu mtoto husika na ni mtoto wangapi kwenye familia. Dkt...
  4. M

    JamiiForums Tanzania UN: Ghaza imegeuka eneo la makaburi ya watoto kufuatia hujuma ya Israel

    Nov 01, 2023 12:18 UTC Eneo la Wapalestina la Ghaza limegeuka kuwa makaburi kwa watoto kwani maelfu wameuawa kufuatia mashambulizi yanayofanywa na utawala haramu wa Israel, huku zaidi ya watoto milioni moja wakikabilwa na uhaba wa mahitaij muhimu na maisha yao ya baadaye yakiwa mashakani...
  5. JamiiForums Tanzania Kupigwa kwa kambi ya Jabaliya. Watoto wanabeba maiti za wenzao

    Kambi yaJabaliya ambayo ipo kaskazini ya Gaza ni moja ya eneo lenye msongamano mkubwa zaidi katika Gaza na mitaa yake si rahisi kupita hata gari.Kambi hiyo ni matokeo ya kufukuzwa wapalestina kutoka maeneo yao jirani na hapo mnamo mwaka 1948. Katika taarifa yake serikali ya Israel kupitia...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Palestina aliepo Tanzania awapigie simu HAMAS waachie watoto wetu waliotekwa na magaidi hao au arudi kwao Palestina

    Ndugu watanzania , Vijana wetu wawili waliomiongoni na vijana wengine waliopelekwa nchini Israel kwa ajili ya mafunzo ya kilimo wametekwa na kundi la kigaidi ambalo linaungwa mkono na palestina vijana hao kwa majina ni Joshua Loitu Mollel and Clemence Felix Mtenga Taarifa hizi zimechapishwa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Marekani: Majimbo 41 yaishtaki Meta wakidai Instagram na Facebook inatengeneza uraibu na kudhuru watoto

    Kwa mujibu wa kesi hiyo inadaiwa kwamba Meta ilihusika katika 'mpango wa kutumia watumiaji watoto wa mitandao hiyo kwa faida' kwa kuwadanganya kuhusu vipengele vya usalama na upatikanaji wa maudhui yenye madhara, kukusanya data zao na kukiuka sheria za shirikisho kuhusu faragha ya watoto...
  8. JamiiForums Tanzania Ni kina nani hawa watoto wa mjini (Born town), wanajihusisha na nini?

    Mara kadhaa nimekuwa nikilisikia hili "watoto wa mjini" ama "Born town". Jambo ambalo limenifanya nitake kujua kuhusu wao ni kina nani na wanajishughulisha na nini...?? Fikra zangu kuhusu wao.. Hii ni nadharia au fikra zangu kuhusu wao.. kama jina lao lilivyo watoto wa mjini, nahisi mambo yao...
  9. JamiiForums Tanzania Swimming pool za wapi zenye watoto?

    Wadau wa kupiga mbizi tujuane tupeane na machimbo. Mimi napenda kupiga maji Kila weekend na napenda pia pool iwe na watoto wakali...ila sio zile za uswahilini isijae watu mob mpaka ukose pa kukanyaga...Zile swaga za Dem mmoja anaingia anapiganiwa na watu sita siziwezi. Napenda Ile unakuta pool...
  10. JamiiForums Tanzania Jokate Mwegelo: Siku hizi wazazi wanawaogopa Watoto

    Akizungumza na Wanahabari, leo Ijumaa Oktoba 27, 2023, Jokate Mwegelo Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) amesema viongozi bora wanatakiwa kutengenezwa kuanzia ngazi ya chini. Amesema “Hatuwezi kuwa na viongozi bora bila kutengenezwa, viongozi bora wanatoka kwenye familia, wanatoka...
  11. JamiiForums Tanzania Kesi yenye utata: Binti adai kuzaa na baba yake watoto 3 lakini akana mahakamani

    Kesi ya baba kuzaa na mwanaye watoto 3 imechukua sura mpya baada ya binti huyo aliyekimbilia polisi kufungua kesi kukana mashtaka baada ya kesi kufikishwa mbele ya hakimu huko Rufiji. Awali binti huyo alidai kuwa baba yake alianza kumgegeda tangu mwaka 2019 na kufanikiwa kuzaa naye watoto 3 na...
  12. JamiiForums Tanzania Falsafa na Maisha 101: Ni muhimu sana kuwafunza watoto wetu falsafa muhimu za maisha, la sivyo maisha yao duniani yatakuwa magumu sana

    Nimekuwa nikijaribu sana kuwasoma wanafalsafa wa miaka ya nyuma. Na kwasasa nikijiangalia kuna mengi sana yamebadilika kwenye maisha yangu, hususani kwenye maadili na kuwa na self control ya maisha yangu. Haya ni moja wapo ya mambo ambayo falsafa inazidi kunifundisha 1. Usiwe mtu wa kulalamika...
  13. JamiiForums Tanzania Hata kama kakuacha, ondoa mawazo ya kujiua na kuua watoto

    Nawasalimu kwa salami pendwaaa,jibu NI kazi Iko hivi Kuna watu walipendana sàana,huku na huko wakamwita shekhee,akachoma ubani,ndoa ikafungwaaa. Ndoa ikawajibu jamani wakapata watoto wawili. Sasa huyo mume NI mshika chaki na mke NI mshika chaki,jamoooon mnanielewaa! Sasa Kama mnavyojua Tena...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya nepi za kutupa (diapers) yatajwa kusababisha UTI kwa watoto

    Matumizi ya muda mrefu ya nepi za kutumia na kutupa za watoto maarufu pempasi yamekuwa yakisababisha athari kwa kundi hilo huku walio wengi wakipata magonjwa ya ngozi na mfumo wa mkojo yaani UTI. Hayo yamesemwa leo Jumatatu, Oktoba 23, 2023 na Daktari bingwa wa magonjwa ya kinamama na uzazi...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini bado wazazi waliofanikiwa kibiashara ni waoga kuwashirikisha, kuwaamini na kuwatumia watoto wao kuendeleza miradi yao ?

    Nashangaa kuona bado hizi fikra za kale zinaendelea "kila mtu ajitafutie cha kwake", mtoto wa mfanyabiashara anafika miaka 23 hana utofauti na watoto wa mwalimu, yani hajui kitu kuhusu biashara kiasi kwamba hata akimaliza chuo anafikiria mshahara, hata akikosa ajira mzazi kwenye account ana...
  16. JamiiForums Tanzania MAKALA YA KIUCHUNGUZI: Baadhi ya shule za dini ya Kiislam nchini Sudan huwafanyia unyanyasaji wa kingono na kuwafunga minyororo watoto wanaosoma Quran

    Ninapokutana na Ahmed, amefungwa pingu kwenye chumba peke yake. Kuna alama kwenye mwili wake kutokana na vipigo alivyopewa. Hajui ana umri gani, lakini labda ana miaka 10. Shule ninayompata ni mojawapo ya taasisi 23 za elimu ya Kiislamu nchini Sudan, zinazojulikana kama khalwas, ambazo...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna wazazi wanawaandaa watoto wao kuwa watumwa katika hii nchi. Mtoto anamaliza darasa la 7 hata wiki haiishi anapelekwa kusoma pre form one.

    Kwa sasa serikali ina wastani wa watumishi 700k, sekta binafsi wenye mikataba ya maana ni kama millioni 1 tu. Tuseme hivi waajiriwa wenye maslahi angalau hapa nchini ni kama millioni 2 tu. Wengi ni vibarua, nikimaanisha wengi wana mikataba mifupi . Idadi ya wasomi inaongezeka kila leo. Zamani...
  18. JamiiForums Tanzania Watoto waliozaliwa nje ya ndoa wana haki ya kurithi

    KESI NYINGINE AMBAYO MAHAKAMA ILISEMA WATOTO WALIOZALIWA NJE YA NDOA WANA HAKI YA KURITHI: Leo tunasoma kesi ya ELIZABETH MOHAMED v. ADOLF JOHN MAGESA ADMINISTRATION APPEAL (RUFAA YA MIRATHI) NO.14 OF 2011 Haya ni baadhi ya maswali machache ambayo utapata majibu yake ndani ya hii kesi.👇 1...
  19. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Waziri Gwajima, hii anayofanya Lillian Mwasha kwa watoto siyo sawa

    Anawauliza watoto wanaochukiwa na baba zao. Je amewaandaa kisaikolojia? Mbona yaonekana kama ni udhalilishaji kwa watoto na wazazi wao. Angalia clip hapa.
  20. JamiiForums Tanzania Watoto wadogo ndani ya hijab

    Yaani tangia Kikwete aruhusu wazazi wa kiislamu watoto wao wawavalishe hijab basi watoto wadogo wengine hata kutembea mtu amemvalisha hijab na ya kubana kabisa na joto hili😳😳😳 kwanza shule za serikali viishilio vya dini haviruhusiwi km mkufu etc lakini bado hawa wamekazana. Ujinga wa wap huu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…