watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Watoto hawapumziki ni kitabu tu, hii imezidi

    Mtoto kasoma mika saba, likizo anakua na tuition, amemaliza la saba, anakaa wiki tatu anarudi kambini tena kwa jina la pre-form one, wazazi watakaa na watoto wao muda gani? Hivi huko kwa wenzetu nako ni mchaka mchaka hivi hivi?
  2. Ukweli ni huu watawala wametelekeza shule za umma. Kwa sababu watoto wao hawasomi huko

    Linapokuja swala la elimu nawakumbuka hayati Nyerere na Mkapa, hawa wakubwa walikuwa na dhamira ya kweli kuinua elimu ya Tanzania tofauti na awamu zingine........ Pamoja na katiba mpya kuna haja ya kudai elimu bora shule za umma kwa nguvu zote, Familia zenye uwezo mdogo zinaangamiza watoto kwa...
  3. Wale watoto wa siku hizi haya mambo mnayasikia tu.

    Zamani tulikuwa tunakula kwa pamoja,hii ilisaidia kuondoa tabia ya uchoyo,ilijenga uhusiano,na ilimwondolea uvivu wa kula mtoto.Lakini wazazi wengi sasa watoto wao wanakula Kila mmoja peke yake,kwakweli wanamic hayo niliyosema.tazama video hapa na picha.
  4. B

    Nilichokigundua kuhusu watanzania, mara baada ya kuwatoa watoto wangu English Medium na kuwaleta Kayumba

    Ni kwamba hawa watu wa mtaani kwetu wananiiga au na wao uchumi umewapiga kama Mimi. Ni hivi niliwahi kuandika Uzi hapa nikisema nimeamua kuwatoa watoto wangu English Medium na kuwaleta Kayumba baada ya uchumi wangu kuzorota. Then nikaja nikaanzisha Uzi kuhusu FAIDA binafsi nilizo zipata...
  5. Ushauri kwa wazazi wa watoto waliomaliza darasa la saba

    Wakati unakimbizana na mtoto kufanya interviews kwenye shule mbali mbali kwa ajili ya kuingia Form One zingatia yafuatayo: 1. Angalia kwanza uwezo wa mtoto wako kabla ya kulipia hela ya usahili. Kuna shule hata ungezitaka vipi kwa uwezo wa mwanao, hatopata, unapoteza pesa bure. Tafuta za uwezo...
  6. R

    Mlioko kwenye ndoa na watoto wenu wa nje, Mnalitatuaje hili swala?? Msaada jamani naombeni....

    Kuna Kaka yangu mmoja kutoka kwa Baba mkubwa alizaa na mwanamke mmoja miaka kama 12 hivi iliyopita. Ila hawakufanikiwa kuwa pamoja baada ya mtoto kufikisha miaka 4 mama yake alimleta kwa Baba yake na kumpa na kumwambia yeye anaolewa kapata Bwana mpya. Basi kaka yangu huyu akamchukua mtoto wake...
  7. Wazazi wakitengana huwaacha watoto ni nusu mayatima..

    Hili limekuwa ni tatizo japo watu wengi kwenye jamii hawalitambui kabisa, ishu ya wazazi kutengana inaweza kuwa ni kuachana tu kwa kupeana taraka. Imefanya watoto wanaochwa kukosa utetezi, na mwisho wa siku hupitia mazingira magumu kufikia ukuwaji wao.
  8. Tukague vyakula wanavyolishwa watoto shuleni, hali niliyoiona ni mbaya sana!

    Vyakula wanavyopikiwa wanafunzi na vikundi fulani vyenye mafungamano na walimu wa shule sio salama kabisa! Tunaambiwa watoto kila siku watoe 1000 ya chakula, kwa mfano shule moja Chanika inawanafunzi 1800, wanafunzi 1500 wanakula shule na wengine wanaingia mchana. Kwa mantiki hiyo kila siku...
  9. Hekima: Usitoe sana sadaka bila kujibakiza, tumia akili sana, uliza moyo wako, angalia watoto na familia, angalia nguo na viatu vyako ndio utoe sadaka

    Hapo zamani tulikuwa na wazungu walitufundisha kuwa Mungu huwasaidia watu wanaojisaidia wenyewe. Hawa wazungu walimaanisha ukifanyakazi kwa bidii na kumtumainia Mungu ndio utafanikiwa. Nimekutana na waumini flani wanatoa sadaka hadi wanakosa nauli ya kurudi nyumbani. Niliwahi kuona mke wa mtu...
  10. R

    Mabilioni ya kikao cha viongozi wa wizara ya nishati chamtoa Makamba; lipo pia suala la REA na ufanisi mdogo alionao

    January Makamba ameishi maisha mazuri toka utotoni si kwa sababu alikuwa bora kuliko wengine bali baba yake alitumia madaraka yake kumfanya aishi kwa rasilimali za nchi. Tukumbuke familia hii tofauti na kuwa watumishi wa umma wenye mshahara wa chini kabisa wamekuwa wakiishi maisha ya juu bila...
  11. Nina watoto, najua kupika, na kazi zote za ndani, napata maokoto ninavyotaka sasa sina sababu ya kuoa

    Hii iwafikie wote wanajua haki za binadamu na uhuru binafsi katika kuishi maisha kwa raha bila kuvunja amani na usalama wa nchi na raia wake. Katika hali ya kuwa vizuri kiakili, kiuchumi na kuwa baharia mpambanaji wa nguvu, napata kila kitu Kwa wakati na muda wote, najua kufanya kila aina ya...
  12. Liwale, Lindi: Wazazi huwachoma Watoto Sindano za kuzuia Mimba na kuwaweka Vijiti wanapovunja Ungo

    Mkuu wa Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi amesema kumekuwepo na tatizo la wazazi wilayani humo kukwepa majukumu ya kuwasomesha watoto wao hali inayopelekea kuwachoma sindano za kuzuia mimba watoto wenye umri wa miaka 12 na kuwawekea vijiti watoto pindi wanapovunja ungo. Ameeleza "Mtoto...
  13. Waziri Mhagama: Tuwalinde Watoto, Dunia Imebadilika

    WAZIRI MHAGAMA: TUWALINDE WATOTO, DUNIA IMEBADILIKA Wazazi na walezi wametakiwa kuhakikisha wanawalinda watoto dhidi ya vitendo vya kikatili kwa kuhakikisha wanatoa taarifa ili hatua za kisheria zichukuliwe badala ya kuwa sehemu ya kuwaficha watu wanaofanya vitendo hivyo vinavyosababisha...
  14. R

    Mzazi peleka jicho lako hapa: Watoto wa kiume na unyanyasaji wa kijinsia kutoka kwa wasichana wa kazi

    Wakuu, Watoto ni moja ya kundi ambalo linapitia sana unyanyasaji wa kijinsia hasa kwa kuwa hawawezi kujitetea kutokana na udogo wao. Kwenye upande huu majumbani, wazazi/walezi huwa macho hasa wakiwa na mfanyakazi wa kiume, mfanyakazi akiwa wakike kunakuwa na ka uaminifu kuwa hawezi kuwafanyia...
  15. UNESCO: Watoto milioni 250 ulimwenguni hawahudhurii shuleni

    Idadi ya watoto wanaokosa elimu yoyote imeongezeka kwa milioni sita, na kufikisha jumla ya watoto milioni 250, kulingana na takwimu mpya zilizotolewa Jumatatu na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi, na Utamaduni (UNESCO). Ongezeko hilo kwa kiasi fulani linatokana na kutengwa kwa wingi...
  16. Wanawake waliofanikiwa sana kiuchumi na career zao, kuliko wote Tanzania pia wamezaa watoto wengi uzazi sio sababu ya mwanamke kufeli

    Wanawake wengi wa kisasa waoga na wavivu sana kuzaa Mwanamke umeolewa ila anampangia mume wake idadi ya watoto atakaozaa. Mtoto mmoja ama wawili tu Wanasema watoto wanaharibu career zao. Kwa uchunguzi wangu binafsi wanawake tatu bora waliofanikiwa kuliko wote tanzania ni hawa Namba moja...
  17. Mwanamke mwenye mtoto/watoto, unapotafuta mume tafuta ambaye atakubaliana na hali yako

    Habari za j2 wana JF. Naitaji kuzumza hili kidogo kwa single mothers, Unapokuwa unatafuta mume wa kuingia nae kwenye ndoa tafuta ambaye atakubaliana na hali yako kwa sababu wewe unamtoto tayari. Sasa akikataa mtoto wako unataka aende wapi? Kuna ndugu yetu mmoja ni single mother mwaka huu...
  18. Nchi ya ajabu: Tunafuta bima ya afya ya watoto tunapitisha wake za vigogo walipwe posho

    Hii nchi ya ajabu sana, tupo tayari kuhakikisha vigogo na matajiri wanalindwa kwa namna yoyote huku tukigandamiza familia maskini ziendelee kurudi chini. Wakati tunahaha namna gani watoto wapate matibabu bure bunge letu linapitisha kulipa wake za vigogo mafao ambayo ni mamilioni ya pesa!! Kuna...
  19. Kwanini wazazi wengi hamthamini malazi ya watoto

    Asilimia kubwa ya familia zetu waswahili wenye kipato na wasiyo n kipato ukienda angalia mahali ambapo watoto hulala unapata maswali sana Unakuta watoto wanalalia godoro limechoka, Unakuta watoto hawana shuk wanajifunika mitandio, wengine khanga, wengine vitenge au shuka zimechakaa Unakuta...
  20. Watoto wa kike wapo wengi kuliko wa kiume

    Unajua nimenotice from a personal perspective kutoka marafiki, ndugu hata watu wengine kwamba wanapata watoto wa kike sana kwa rate kubwa kuliko wa kiume yaani kama 60 to 70% ratio compare to boys. Na pia Tanzania kama unavyoona kwa map hapo rangi ya bluu ni moja ya nchi yenye wanawake wengi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…