watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwa nini bill gates anaitwa neno la kashfa mnywa damu za watoto, ili neno ni kwamba ..

    Tunaposema matajiri wana siri nyingi na yeye ni mmoja wapo. Kupewa neno la mnywa damu za watoto sio kwamba anakunywa damu za watoto. Ila kutokana na tabia yake alivyoweza kuzima ndoto za watoto wengi na matarajio ya vijana wengi ambao kipindi chake kama ilivyo tanzania na sanaa na watu...
  2. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sawa kuzaa watoto kwa matarajio ya watakuja kukusaidia baadaye?

    Hivi hii slogan ya nazaa watoto waje kunisaidia imekaaje? Baadhi ya wazazi, hasa wale wa ukanda wa pwani nilikokulia mimi, utashangaa mzazi anazaa watoto wengi ambao wakati mwingine unaona kabisa uwezo wa kuwalea hana Ukimuuliza utasikia anasema: Tajiri na mali zake, maskini na wanawe Hapo...
  3. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Miaka michache ijayo wadogo na watoto wetu wataoa makahaba wastaafu

    Kuna mama fulani wa makamo anauza genge maeneo ya karibu na mtaani kwangu. Ni mama mcheshi kiasi. Huwa napita kununua matunda kwahiyo nimezoeana nae kidogo. Wiki kadhaa zikizozipita, wikiend moja katika kutembea tembea mtaani kwangu kusalimiana na majirani. Nikafika gengeni kwake. Nikaagiza...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Simba dume huua watoto wa dume jingine ili azae na jike; mwanaume unawezaje kuua mke na watoto wako mwenyewe wa miaka 10 na 5?

    Mahakama Kuu ya Nairobi ilimpata Meja wa zamani wa KDF Peter Mugure Mwaura na hatia ya kumuua mkewe Joyce Syombua na watoto wao wawili katika Kituo cha Anga cha Nanyuki. Ushahidi wa kiuchunguzi uliimarisha kesi dhidi ya Mugure huku uchunguzi wa DNA ukithibitisha kwa uwezekano wa 99.9% kwamba...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mzimbabwe aua mke na watoto na kutoroka UK

    Polisi wamtaja jamaa anayesakwa kwa mauaji ya mke na binti zake Polisi wametoa picha ya CCTV ya mshukiwa wa mauaji anayeaminika kumuua mkewe na binti zake wawili kabla ya kutoroka Uingereza. Miili ya Nothabo Zandile Tshuma, 42, na binti zake Natalie, 15, na Nala, 5, ilipatikana baada ya polisi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kizazi cha utandawazi 90s, 2000s most cant raise boys to be men, hatua za haraka zinahitajika kuokoa vizazi vijavyo

    Ni aina ya wanawake ambao wengi hawana hata mafundisho ya kitamaduni ya kuwa mama mlezi, at least hapo zamani yalikuwa yanasaidia kina mama kukuza watoto wa kiume, mfano siku hizi Mama anaoga na mtoto wake wa kiume mwenye miaka 8 wakiwa uchi bafuni, anabadili nguo za ndani mbele yake, kwake...
  7. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanatamani watoto weupe ila hawawataki wanaume weupe

    Mara nyingi utasikia baadhi ya wanawake wakisema wanapenda sana watoto weupe ili wawanyoshe watesi wao yaani wasifiwe watoto wao wazuri. Lakini cha kushangaza, ukiangalia uchaguzi wao wa wapenzi wengi bado wanapendelea wanaume weusi kuliko weupe kwamba weupe hawako romantic hawawavutii. Sasa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Familia ya Baba, Mama, Watoto na Wajukuu.

    Katika familia inatarajiwa Baba akiyumba, basi Mama amuimarishe Baba, Mama akishindwa na yeye akayumba vile vile, basi Watoto wawaimarishe wazawa wao, lakini kama imeshindikana kabisa watoto kufanya hivyo na wao wakayumba vile vile, angalau basi Wajukuu wawaimarishe hawa ndugu zao. Je, ikitokea...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Katambi na Madilu hawawezi kupigana wala watoto wao kuwapeleka front line, mtakufa nyinyi polisi na Jeiwii kapuku. Why die? Achana nao . Tenda HAKI

    Katambi wala Madilu kukitokea civil war among ourselves, hawa hawatakuwepo front line. Sana sana watawapeleka nyinyi polisi na JW kapuku mfe. Hivyo msiwasikilize hawa wauaji. Madilu anamuandaa mwanawe kuwa Rais, nyinyi wa kwenu kuwa boda boda, msikubali ujinga huu. Tutende haki na kila kitu...
  10. Terrible Teen

    JamiiForums Tanzania Samahani Rais, Unajisikiaje unapokula nyama, ama unapokaa na Watoto na Wajukuu zako?

    Mheshimiwa Rais, naomba kuandika kwa ufupi sana. Kutekwa kwa Polepole , Mdude na hata kuuwawa kwa Mzee Kibao kuliacha damu nyingi sana ikimwagika, naomba kukuliza Mheshimiwa mwenye jukumu la kwanza la kulinda uhai wa watu wako, huwa unajisikiaje kula nyama kama chakula huku ukikumbuka wetu wako...
  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu wa Kuwatia Moyo Wazazi Wanaolea Watoto Peke Yao(single parents)

    "Wewe ni shujaa unayepambana kila siku bila ngao. Upendo, nguvu, na ustahimilivu wako unajenga mustakabali wa watoto wako, hata pale unapohisi umechoka au haitoshi. Kumbuka kuwa kila tone la jasho lako na kila tabasamu unalolazimisha kwa ajili ya watoto wako ni ushahidi wa ukubwa wa moyo wako...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Single maza bwana, yaani baada ya kukurudisha kwenye chati ndo umeamua kumrudia baba watoto wako

    Nilikukuta umechoka mbwa wewe unalala sebuleni kwa rafiki yako eti umetoka huko ulikotoka kuja kutafuta kazi baada ya kuzalishwa watoto wawili uliowaacha kwa mama yako. Nikakupenda kutokana na ucheshi na heshima ulikuwa ukinionesha kwenye nyumba tuliopanga mimi na rafiki yako. Bwana...
  13. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Kwanini watoto wa siku hizi hamlewi?

    Kizazi hiki asa hivi hakitumii pombe kabisa labda mtuambie sie baba zenu mnatumia nini nyinyi mibangi au mnapemesa nyie,sio kawaida mtaani watu hawayumbi tena kama zamani na mikao ya pombe imekuwa michache kwanini? Kwa takwimu za miaka minne iliyopita inaonesha kuwa makampuni ya pombe yamepata...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Anne Kilango: Wazazi hatuwapi watoto nafasi, tunabaki kulalamika nchi ina majambazi

    Mbunge wa Jimbo la Same mashariki, Anne Kilango Malecela akizungumza Bungeni leo Juni 22, 2026, amewataka Wazazi kuchukua Jukumu la kuwale watoto hasa katika kipindi cha umri wa 0 hadi miaka 18 ikiwa ni kipindi cha kumjenga Mtoto Kiakili. "Nina wasiwasi na malezi na makuzi ambayo tunawapa...
  15. Surya

    JamiiForums Tanzania Tukiwa watoto tulifundishwa Uvimilivu mmoja wa pekee

    Siku mgeni akija home kuna ile siku mzazi akijipata mfukoni na pesa ya kinywaji kimoja tu cha mgeni, na kwasababu ana tamani sana kumpokea vizuri mgeni wake, na kumpa chochote kitu, basi soda ilikua ni kitu kizuri kwa macho na kitamu mdomoni... Tunaita Kinywaji laini. Sasa hapo Mtoto ilikua ni...
  16. Stability

    JamiiForums Tanzania Twende na ukweli haujawahi ku-date na mdada mwenye makalio makubwa zaidi ya miezi 7

    average ya muda mdada mwenye makebo makubwa kukuvumilia ni miezi mitatu hadi sita, kuongeza na mwezi mmoja wa wewe kulia lia ili mrudiane ni miezi 7. Ukiona mdada mwenye makebo makubwa yupo na wewe mwaka mmoja hadi miwili ujue ana pata uhuru wa wewe kutomfatilia na yeye kuridhika na mfuko wako...
  17. dogman360

    JamiiForums Tanzania Kuzaa watoto ukijua huna hela za kuwalea ni ubinafsi wa hali ya juu sana, hata Mungu hawezi kukubariki

    "Kuzaa watoto ilhali unajua huna uwezo wa kuwalea ni aina ya ubinafsi wa hali ya juu. Watoto wengi wanateseka huko nje kwa sababu ya maamuzi yasiyoandaliwa vizuri. Kabla ya kuleta mtoto duniani, ni muhimu kuwa na uwezo wa kumlea, kumtunza na kumpa maisha yenye staha. Tuwe na utu, uwajibikaji na...
  18. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Mama ajifungua Watoto Mapacha Watano Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Wakuu, Nimeisikia hii taarifa kwamba kuna mama kajifungua watoto mapacha watano hospitali ya Taifa Muhimbili.
  19. min -me

    JamiiForums Tanzania Je wajua , kwanini diaspora wengi toka Africa , wapo nnje ila wanafanya michongo ya pesa kutokea Africa !

    Je wajua , kwanini diaspora wengi toka Africa , wapo nnje ila wanafanya michongo ya pesa kutokea Africa !!! Na hawataki kutoka nnje kuja Africa ? Ukweli ni kwamba ukiwa nnje ya Africa unaona fursa nyingi na michongo ya pesa iliyopo Africa 😑 Ukishakuja Africa tu akili inaanza liwa na...
Back
Top Bottom