watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasira anadai mauaji yalikuwa sahihi wakati ni kinyume cha sheria na waliuawa hadi watoto na wajawazito

    Wasira anadai mauwaji yalikuwa sahihi wakati ni kinyume cha sheria na wali uwawa hadi watoto na wajawazito. kwa sheria za nchi na kimataifa hakuna mauwaji sahihi tuna sheria za nchi na mahakama mbali na hayo mauwaji yaliyo fanyika hayakulenga wahalifu bali watoto na wanawake ambao hawakuwa...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mbwana Samata ajenga kituo cha watoto yatima, kuzinduliwa March

    Hongera sana Mbwana Samata
  3. Damaso

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kwa wanawake kuonesha madhaifu ya ulemavu wa watoto wao?

    Katika ulimwengu wa leo wa mitandao ya kijamii, mipaka kati ya faragha na maonesho imefutika. Kisa cha binti mmoja maarufu wa mtandaoni, anayeonekana ni slay queen, kimeibua mjadala mzito kuhusu utu, uzazi na maadili ya kizazi cha kidijitali. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, aliamua...
  4. idiomer

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike watoto bado wanakaa chini baadhi ya shule ???

    Je ni kweli limetushindaaa?
  5. leiya

    JamiiForums Tanzania Hati ya kiwanja kwa watoto chini ya kiaka 18

    Habari ya muda huu ndugu mwanajamii, Naomba kueleweshwa na anaejua taratibu za kupata hati ya kudumu ya kiwanja alichonunua mzazi akaandika jina langu. Kiwanja kilinunuliwa nikiwa na miaka minne tu, enzi hizo kabla ya uwepo wa NIDA. Miaka 38 baadae, nataka kubadili ile hati ya karatasi ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ni sawa kusajili mali zako kwa jina la wazazi na/au ndugu zako wakati una mke/wake na watoto?

    Kuna hii tabia inazidi kutrendi, mtu ana familia yake yenye mke na watoto lakini anasajili mali kwa majina ya wazazi na ndugu zake. Ni sawa?
  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya Sita inanuka damu za Watoto wetu

    Salaam Wakuu, Yaani sasa ndo nimegundua kwamba, Mtu akipata madaraka kwa kumwaga damu, anakuwa ananuka damu hata aoge kwa jiki. Juzi Karikaoo wakati wa Uzinduzi wa Soko lililoungua, baada ya Wakina Samia kufika, soko zima likawa linanuka damu za watu. Watu wakawa wanatema mate chini.. Yaani...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TCRA: Wazazi msiwanyang'anye Watoto simu, fuatilieni wanachofanya, ulinzi wa mtoto mtandaoni ni mazungumzo

    Meneja wa Huduma kwa Wateja na Watumiaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Kadaya Baluhye, amesema kuwa kuwaandaa watoto kukabiliana na ulimwengu wa kidijitali ni njia bora ya kuwalinda kwa pamoja kama kundi na kama jamii. Ameeleza kuwa badala ya kuwazuia watoto kutumia vifaa vya...
  9. Tundusami

    JamiiForums Tanzania Watoto waliozaliwa kwa operesheni wanakuwaga na akili kuliko wale wa kawaida

    Hawa wa kawaida wanapitia misukosuko mingi inawasiligi hata ukuaji wao kichwa kinapovutwa vutwa Wale wa operesheni wanatolewa wanaweka pembeni mdo mana wanakuaga na akili
  10. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Wazazi msiweke wazi shida zenu kwa watoto wimbi la kupotea na kujinyonga linaongezeka

    Habarini wapendwa za jioni Nimeona tukumbushane kidogo Hasa kwa wimbi la matukio mbali mbali ya watoto hivi karibun mwanza geita na arusha Hawa watoto watatu Wote waliandika barua ..kwa wazazi wakimwomba mungu atatue shida za wazazi wao ikiwemo pesa za ada shule na pesa za marejesho Kwa...
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Ongezeko kubwa la akina Annabelle ni watoto kuwa neglected wakiwa wadogo na hali ngumu ya maisha

    Kuna akina Annabelle wengi sana kwa sasa tanzania. Kuna munch, glunch, kunch, brunch, dunch hawa wote wameunda kikundi chao kinaitwa annabelle. Hiyo code ya Annabelle inamaanisha makaka poa. Ambao wamejikubali na wana enjoy life. Tatizo hili wataalamu wanasema linaanzia kwenye malezi. Miaka ya...
  12. hamis77

    JamiiForums Tanzania MAFIA: Mwalimu wa Madrasa alawiti watoto 15

    Nafikiri watu wafundishe dini zao wakiamini kuwa katika hizi dini kuna wanadamu na wanatumiwa na shetani, nimeona waislam wakiutukana sana Ukristo ila wanasahau matukio machafu ya Wadada kubakwa na kufanyishwa biashara chafu Uarabuni, Vikundi vinavyojinasibu kwa jina la Uislam wakiwateka na kuua...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Kata ya Mbezi, Dar es Salaam: Hatuna maji, Wanawake na Watoto tunateseka

    https://www.youtube.com/watch?v=3QM423d5K-8 Baadhi ya Wananchi wa Kata ya Mbezi, jijini Dar es Salaam, wamelalamikia ukosefu wa maji katika mitaa yao, hali wanayosema imekuwa changamoto kubwa kwa wananchi, hususan Wanawake na Watoto. Wananchi hao wametoa wito kwa Waziri wa Maji, Jumaa Aweso...
  14. Mgeni wa Jiji

    JamiiForums Tanzania BASATA: Yapo wapi maadili kwenye hii nyimbo "Darasa la saba ya Mbosso" inayohamasisha mapenzi kwa watoto wa shule?

    Habari wana JF, Niende moia iwa moja kwenye hoja yangu ambayo pia naileta kama swali kwa baraza la sanaa ambalo huwa linasimamia pia maadili kwenye kazi za sanaa pamoja na mamlaka zetu zote zinazohusiana na kumlinda mtoto zikiongozwa na wizara husika. Kuna huu wimbo mpya ya msanii Mbosso...
  15. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania Kuuza Dhahabu ya Taifa: Wezi wakikosa Fedha, Huuza Urithi wa Watoto Wako

    Uamuzi wa kuuza sehemu ya hazina ya dhahabu ya Tanzania si mpango wa kiuchumi. Ni tamko la kushindwa kwa dola. Ni kukiri wazi kwamba serikali imeshindwa kuendesha nchi kwa uadilifu, imeshindwa kudhibiti wizi, na sasa imeamua kuuza urithi wa taifa ili kuendeleza mfumo wa ulaji wa wachache...
  16. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Wizi wa Watoto Wakati wa Kujifungua Hospitali Zetu Kubwa

    Kuna mtandao mkubwa unaohusisha madaktari, wauguzi na watendaji kwenye baadhi ya mahospitali yetu ambapo mabinti au wamama wadogo wanaporwa watoto kwa janja ya changamoto za wakati wa kujifungua... Biashara hii inahusisha hata baadhi ya watu wa usalama kulinda "wafanyabiashara" hao haramu wa...
  17. Poker

    JamiiForums Tanzania Nini kinachangia makampuni ya mabasi kufa, pindi waasisi wanapokufa au kuwaachia watoto?

    Nianze na mfano wa Hood class limited, Haya mabasi enzi zake kipindi kampuni anaiendesha mzee mwenyewe hood, yalikuwa ni balaa. Ndio mabasi yakwanza kuwa na TV kwa ndani kwa Tz, Ndio mabasi yakwanza kuwa na choo kwa ndani. Marcopolo yakwanza bongo ni Hood ndio ilileta, hata madereva waliofanya...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akizindua Mpango Mkakati wa KKK kwa Watoto wa Awali, Darasa la I na II

    https://www.youtube.com/live/6AuU7vpGdDs
  19. W

    JamiiForums Tanzania Watoto chini ya miaka 15 wapigwa marufuku mtandaoni Ufaransa

    Wabunge wa Ufaransa wamepitisha mswada ambao utawapiga marufuku vijana wa chini ya umri wa miaka 15 nchini humo kuwa katika mitandao ya kijamii. Mswada huo uliopitishwa katika Bunge la kitaifa sasa utapelekwa kwa Baraza la Seneti ili kupitishwa kuwa sheria. Rais Emmanuel Macron ameitaja kuwa...
  20. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayoharibu ubora wa Sperm

    KWA WANANDOA PEKEE | NA WANAOTARAJIA WATOTO Ukiachana na Zile Sarakasi | Mibinjuko ya 6 kwa 6 na Vilio vya Mahaba kutoka kwa Ma Mtu Kikubwa Zaidi KinachoFanya Mwanamke Apate Ujauzito au Mimba ni BAO | SHAHAWA | MSHINDO Mimba hutokea pale shahawa (mbegu za mwanaume) zenye ubora zinapokutana na...
Back
Top Bottom