Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.
Unavutiwa kua na mtoto /watoto?
Watoto wako wamebadili nini kwenye maisha yako?
Wameongeza nini kwenye maisha yako?
Mara nyingi mtoto akiwa mchanga huvutia sana
Namna alivyo na sura yake ya upole anaporusha miguu na mikono huku akikutazama huwa ni jambo la kupendeza sana kuangalia🤗
Mtoto...
Ati ni kweli doggy style huwa inawaumiza..?
Shida ni nini haswa kama huwa mnaumia..?
Je, tufanye nini kwa usahihi zaidi ili muepuke maumivu kwa wanaoumia..?
Itakuwa vyema sana kama kwenye mjadala huu wakitokea madaktari wakatoa muongozo, karibuni waungwana.
Wakuu nipo barabarani muda huu,
Ama kwa hakika maisha yamebadilika.
School buses zipo busy kuchukua wanafunzi.
Wazazi wanakwena makazini na watoto wao.
This is pure madness, there is no control.
Rais wangu, weka miongozo kupitia wizara ya elimu,
No child at this hour , wanahitaji kupata...
Kuna kitu watu wengi hawataki kukisikia… unaweza kuwa baba kibaiolojia lakini ukafeli kuwa baba wa mtoto wako emotionally.
Tumeona kisa cha Dudubaya na mwanae Wille kinatoa somo kubwa sana. Watu wengi wanaangalia upande wa drama tu, ila nyuma yake kuna psychology nzito. Mtoto akikua bila ile...
Baada ya magaidi wa Hamas kushindwa vibaya kwenye uvamizi wao wa Oct 07,2023 sasa magaidi hao wanajiandaa upya kwa Oct 7 nyingine!!
Safari hii inawatoa kafara vijana na watoto wadogo ili wakafe SHAHIDI wakiaminishwa wataenda kukabidhiwa Mabikira 72 wawabikiri na kuwa huko watakuta Mito yenye...
Wakuu,
Nimekutana na hii sauti Mtandaoni inayoumiza sana namna huyu mama anauchungu moyoni mwake,
Iko hivi, tukisema turidhiane na kulipa fidia huu siyo uponyaji kwa Taifa na wakati wote hata kabla ya ripoti ya chande tayari seriakli inafahamu nini wananchi wanakitaka
Wananchi wanataka...
Bima ya Afya kwa Wote kugharimu shilingi 150,000 kwa kaya (watu sita).
Wasio na uwezo (wazee, watoto, wajawazito na wenye ulemavu) watagharamiwa na serikali.
Shida kubwa inaanzia hapo, Pesa ya matunzo anaitaka ihudumie lifestyle yake ya mawigi, abaya, vifurushi vya data, n.k. anajiona hastahili kufanya kazi wewe ndie uwe unamtimizia kila kitu kwa mgongo wa matunzo ya mtoto.
Pili ni kukukomoa, hapendi kukuona ulivyo move on na una familia yako...
Sina shida na kina mama wanaofanya maamuzi yao kwenda kwenye makanisa ya fake pastors, ila nawaonea huruma sana watoto wanaopelekwa huko.
Mtaji mkubwa wa makanisa mengi ya aina hii ni akili changa za watoto ambao bado hawajajua mengi kuhusu maisha na imani, hivyo huwa rahisi sana kuwajaza...
Kuongea na mtoto aliye tumboni ni kitendo cha mzazi (hasa mama au baba) kuwasiliana na mtoto kabla hajazaliwa kwa kutumia sauti, nyimbo, kugusa tumbo na kumwambia kwa upendo kuwa wewe ni mama yake au baba yake, unampenda na unamsubiri, unataka aje kuwa mtoto wa aina gani au hata kusali naye nk...
SINGLE MOTHERS WANAHAKI YA KUWASILIANA NA WAZAZI WENZA. KAMA HUTAKI UNGEOA ASIYE NA WATOTO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Huyo mwanamke sio Wako peke yako. Hilo lifahamu. Sio wako peke yako kwa sababu ana mtoto na mwanaume mwingine.
2. Kabla yako alikuwepo mwanaume mwingine ambaye...
Kituo kitapokea watoto wote wasiokuwa na baba au wasioshi na baba zao kutokana na migogoro ya kifamilia tumepqnga kutatua changamoto ya kimalezi ili kunusuru maadili ya taifa ili kwa kuwapatia malezi ya baba ambayo wameyakosa kwa muda mrefu kwaio sisi tutaitwa baba zao walezi.
Kwanini wazo...
Je, ndoa uliyoingia ukiwa na matumaini ya furaha na amani, ndiyo unayoishi leo?
Au imekuwa safari ya kuvumilia tu kwa ajili ya watoto, heshima ya jamii, au kuonekana kuwa na ndoa rasmi?
Usiku huu maeneo ya Palm beach mataa kutokea Aga khan, watoto waili chini under 10, wanafanyishwa biashara na kuomba pesa huku wazazi wakiwa chini ya miavuli.
Watoto wananyeeshewa na mvua baridi kali.
Watoro ni wadogo kuna mmoja wa kike ni mdogo mno
Serikali ustawi wa jamii ..
Watoto wanaoishi katika mazingira magumu, bodaboda etc walipewa fedha kati ya TZS 10,000-50,000 katika kipindi cha kuanzia Tarehe 12-28 Oktoba na mafunzo kwa ahadi ya Ajira na vipato zaidi
#NeverAgain
Baada ya athari kubwa kuonekana katika familia, mke wa Joachim akamtaka aache michezo hiyo, jambo ambalo limeshindikana, na kwa sasa anacheza kwa kificho.
“Hii michezo inashusha sana maendeleo, kwa sababu mwenzio anahitaji mfanye jambo fulani. Mnaweza mkakubaliana sawa, kwa sababu kuna pesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.