watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania MOI yaandaa kambi ya upasuaji kwa Watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi itakayofanyika Aprili 20, 2024

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Taasisi ya MO Dewji Foundation imeandaa kambi ya upasuaji kwa Watoto 50 wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi itakayofanyika 20/04/2024 katika Taasisi ya MOI. Akizungumza na waandishi wa habari, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa...
  2. JamiiForums Tanzania Priscus Tarimo vs Ibra Line ni vita ya watoto wa mjini 2025

    Kwenye Soka la Bongo hakuna shaka simba na Yanga ndiyo miamba ya soka nchini yenye mamilioni ya mashabiki. Hata juzi juzi baada ya kuondoshwa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika mjadala umekuwa mkubwa sana hasa aina ya matokeo yaliyopatikana kwa kila timu. Tuachane na soko,turudi kwenye siasa za...
  3. JamiiForums Tanzania Watoto wote watatu wa Griezmann wanasherehekea siku yao ya kuzaliwa leo

    Antoine Griezmann ana watoto watatu na wote wamezaliwa April 8 miaka tofauti, hivyo basi leo wanasherehekea siku yao ya kuzaliwa. Wakwanza ni Mia Griezmann alizaliwa April 8 ya mwaka 2016. Wa pili ni Amaro Griezmann yeye ni wa April 8 ya mwaka 2019. Wa tatu ni Alba Griezmann yeye alizaliwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Serikali itufafanulie "hatua za mwisho" maana yake nini badala ya kutufanya kama watoto wadogo wa kudanganywa kwa majibu ya rejareja

    Mwaka jana, June 2023, wakati waziri wa mambo ya nje akiwa Dr Tax, serikali ilitoa hili tamko pale Bungeni Leo April 2024, serikali imetoa tena tamko hilo hilo pale pale Bungeni mbunge wa viti maalumu Suma Fyandomo alipouliza swali kuhusu uraia pacha. Sasa nakumbuka tumekuwa na matamko kama...
  5. JamiiForums Tanzania Ni kweli CCM ni chama cha watoto wa Mjini tangu kikiwa TAA kisha TANU. Walugaluga walialikwa tuu.

    Kwema Wakuu! Kauli zinazotolewa na viongozi mbalimbali wakijitamba kuwa wao ni watoto wa mjini, wengine wakisema wamezaliwa Kariakoo, wengine, Ocean road, wengine mnazi mmoja, wengine Kinondoni basi ilimradi kila mmoja ajitutumue. Ndio ukweli huo. Kauli hiyo inamaana kubwa sana. Watoto wa...
  6. JamiiForums Tanzania Nauliza tu, watoto wa mujini ndio sera zipi za CCM?

    Wakuu mimi mtoto wa mkulima, na nimekuja mujini kutafuta maisha. Sasa naona wameingia viongozi wapya CCM, hasa uenezi. Msingi mkubwa wao wanatamba kuwa ni watoto wa mujini. Sasa CCM inaweza kutupa mwongozo, kwa sera zake kuwa matoto wa mijini inahusiana vipi na wakulima walio wengi, maendeleo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umeingizwa mjini, hukupaswa kumwondoa Paul Makonda kwenye Uenezi

    Kumwondoa Paul Makonda kwenye uenezi umeharibu kabisa. Makonda anakubalika sana hata na baadhi wasio wana CCM, kwa hiyo angeweza kuvuta vijana na watu wengi sana. Makonda ana kipaji cha pekee cha kukubalika na watu. Mama, washauri wako wamekuingiza mjini na pengine yawezekana kwa maslahi yao...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali na Hatima ya Tamthilia za kigeni zilizo lugha ya Kiswahili kwa Kizazi Chetu

    Binafsi nasikitika kuona Tamthilia hizi za Kituruki, kihindi, kikorea, kichina, kiarabu n.k zilizotafsiriwa kwa lugha yetu ya Taifa kiswahili zinazooneshwa sana muda mwingi katika chanel zetu maarufu nchini hasa Azam kila nikiingia nyumbani, saloon, bar, hotel n.k. Serikali hasa Wizara ya sanaa...
  9. JamiiForums Tanzania Wenye familia na watoto mnawezaje kutazama Runinga nyumbani?

    Eti? Unarudi nyumbani unakuta watoto wanatazama katuni zao kwa raha zao, au tamthilia pendwa za kike unawezaje kubadili chaneli bila kuonekana katili? Tuseme muda wa Taarifa ya Habari, au hata mechi pendwa za soka..... ukibadili channeli watoto hao wanakukimbia sebuleni unabaki mwenyewe...
  10. JamiiForums Tanzania Maisha ya baadaye ya watoto wetu yanahitaji wawe na Elimu, network na investment

    Sina sababu ya kueleza mengi sna kuhusu Elimu na investment kwa kuwa kila mahali yanazungumzwa na kurudiwa rudiwa. Lakini watu wote wanasahau element muhimu sana ya network. Network ni namna ambavyo unajijenga ndani ya kundi muhimu la marafiki, washirika, alumnus mbalimbali na ata wale wa...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo watoto wa Gaza wanavyokufa kwa njaa wakati chakula kimezuiliwa kuwafikia

    Hawa ni baadhi tu ya watoto wanaoendelea kufa njaa na kiu mbele ya ulimwengu wakati vyakula vimejaa mpakani mwa Gaza https://www.aljazeera.com/program/newsfeed/2024/3/27/videos-of-malnourished-children-show-gazas-forced-starvation-crisis
  12. G

    JamiiForums Tanzania Muziki wa Warekani Weusi hasa hiphop ni sumu, Wazazi na walezi tujitahidi kuwaepusha watoto na huu ujinga

    Ni muziki ambao umesambaza culture ya kijinga sana. 1. Kuwaendekeza wasikilizahji kudharau shule, Kusifia ujeuri dhini ya walimu utoro, na kuwaaminisha watoto elimu ya mtaani (street smrts za kutoboa kwa shortcuts) ina thamani kuzidi elimu ya shuleni, Wengi wameon shule ni upuuzi na kujikita...
  13. JamiiForums Tanzania Watoto kutegeana kutunza m/wazazi na kuwatelekeza ni janga linalokua kwa kasi nchini. Wewe umejipangaje?

    WATOTO KUTEGEANA KUTUNZA M/WAZAZI NA KUWATELEKEZA NI JANGA LINALOKUA KWA KASI NCHINI. WEWE UMEJIPANGAJE? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Niliwahi andika, sio lazima (wajibu) wa mtoto kutunza wazazi wake. Nikaongeza mzazi angalau afikishe miaka 60 ndio unaweza kumfikiria kumtunza na kubeba...
  14. JamiiForums Tanzania KAUNDA SUTI ZA WATOTO

    Mambo vipi wadau wa JF. Leo nimewaletea Kaunda suti za watoto wadogo miaka 2 - 17. Sifa za Kaunda suit 👇 Quality materials ✅ 100% cotton wool materials ✅ Bei👇 Tsh. 95,000/= WhatsApp/call: 0712878245 Location: Kariakoo, Manyema na mchikichi street-Dar es salaam. Tupo nyuma ya jengo la Simba...
  15. JamiiForums Tanzania Interview kufanyika online utumishi hiki ni kiini macho kingine kwa watoto wa wakulima

    Sektretarieti ya ajira na utumishi wa umma, leo wametangaza kuanza mchakato wa kufanya usahili kwa njia ya mtandao (online interview) hiki ni kipigo kingine kwa watoto wa wakulima wasiokuwa na mjomba, shangazi, au baba wa kuwashika mkono..
  16. JamiiForums Tanzania Kama umezaa watoto wengi na unaishi Tanzania au Afrika laana ya umasikini itakutesa sana wewe na uzao wako wote

    Familia nyingi zenye watoto wengi zinastruggle sana kiuchumi hata uwe na hela vipi roho ya umaskini itasumbua sana uzao wenu kama sio wazazi basi watoto yatawakuta mambo ya umaskini umaskini tu. Baada ya kufuatilia haya mambo kwa muda mrefu nahitimisha kwa kusema kuwa kuna uhusiano mkubwa kati...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mirathi ya Kobe Bryant yazua gumzo USA, utajiri wote wagawanywa kwa mke na watoto huku wazazi wakiishi kimaskini

    Wamarekani wanamlaumu Kobe Kobe ana makosa ya kutowapa wazazi wake maisha hakuandika wosia kabla hajafa hivyo ni kama alichagua kutojumuisha wazazi wake katika wosia wake hivyo mali zote zimeenda kwa mke wake. Ukweli wamarekani wana utamaduni wa ajabu sana, how can a person be worth Trillions...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Tv sio kwajili ya katuni pekee, Naombeni tupeane mawazo ya video za kuwawekea watoto waweze kujifunza mambo mengine

    Edit: Matumiz ya Tv kwa watotot Cartoon na games (playstation) Mimi nimeona nianze kuweka vitu vya ziada kwenye flash, hizi katuni zimekuwa too much sasa na sioni faida yake. Video nilizoanza nazo nimeona niziweke zifuatazo, walimu wanafundisha kwa vitendo zaidi kuliko kuongea hivyo inakuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Nampenda mke wa mtu ila nami nina mke na watoto!

    Habarini humu wandugu,, Nipo katika wakati mgumu kidogo na ningependa sana nipate ushauri fulani. Mimi ni baba wa familia ya watoto wanne.... Mimi na Mke wangu tumefanikiwa kuishi pamoja kwa miaka 13 sasa tena kwa furaha bila shida zozote zaidi ya magomvi madogo madogo ya kawaida ndani ya...
  20. JamiiForums Tanzania Kimenuka: Mchezaji Geremi Njitap ataka kumtaliki mkewe baada ya kubaini watoto mapacha aliowakuza kwa miaka 16 sio wake'

    Ndoa ya Nyota wa zamani wa Chelsea na timu ya Taifa ya Cameroon, Geremi Njitap ipo katika mchakato wa talaka baada ya kubainika Watoto Mapacha waliozaliwa Mwaka 2008 miaka minne kabla ya kufunga ndoa na mkewe, Toukam Fotso Laure Verline si wake Kibaiolojia Geremi (45) amefungua kesi Mahakamani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…