watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama ukiweza bembeleza watoto walale

    Ukiona mtu anakwambia mtu yeyote asiwashe taa hata kama giza lina tisha watoto, wanalia wanataka kujua nini kilichomo katika giza hilo. Bado sauti inasema: hakuna kuwasha taa. Basi cha kufanya wabembelezeni watoto walale, kutapambazuka tu, wakati mtoa katazo akiwa bado kafumba macho. ONYO...
  2. JamiiForums Tanzania India: Watoto mapacha waitwa majina ya Corona na Covid!

    Duniani kun mambo. Kama wewe unafikiri ugonjwa wa Corona ni hatari hata kuutamka, huko India familia imepata mapacha majuzi na wameaua kuwaita watoto hao Corona na Covid! Maisha yanaendelea! ---- Twins born during pandemic named Corona and Covid A boy and a girl born in the midst...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Fahamu ni kwa namna gani unaweza kuongea na Watoto kuhusu mlipuko wa CoronaVirus

    Ni rahisi kuhisi kuzidiwa na kila kitu unachosikia kuhusu #COVID_19. Inaeleweka pia ikiwa watoto wako wanahisi wasiwasi. Watoto wanaweza kupata shida kuelewa kile wanachokiona mtandaoni au kwenye Runinga - au kusikia kutoka kwa watu wengine - kwa hivyo wanaweza kuwa katika hatari ya kuhisi...
  4. JamiiForums Tanzania Watoto wa shule msidanganyike na wachumia tumbo

    Watoto/wanafunzi wa msingi na secondary msidanganywe na genge la watu wanaojiita watetea haki za binadamu kwa kuwadanganya eti ukipata mimba utaruhusiwa kuendelea na shule! Ukipata ujauzito ukiwa shule ya msingi hadi secondary utafukuzwa shule ukaende ukaikuze hiyo mimba, ukajifungue, na kulea...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Abbas na Abdul Nondo watofautiana namna watoto wa kike wanaopata mimba shuleni watakavyoendelea na masomo

    Dr Abbas ambaye ni msemaji mkuu wa serikali anasema wanafunzi wanaopata mimba shuleni hawatarudi kuendelea na masomo katika mfumo rasmi bali wataruhusiwa kupitia mfumo usio rasmi yaani private candidates. Abdul Nondo boss wa vijana pale ACT wazalendo anapinga vikali yeye anataka wanafunzi hawa...
  6. JamiiForums Tanzania Watoto bwana ukiona wako kimya kaangalie kinachoendelea

  7. JamiiForums Tanzania Mbinu nayotumia kumlea mwanangu anayesoma private awe mjanja, awe na furaha, asigeuke kuwa kuku wa kisasa

    TUELEWANE MAPEMA, MAMBO MUHIMU. 1.Mtoto wangu hachezi na watoto wa kihuni mitaan na akienda kijijini ni nje kidogo ya mji na ndiko nlipokulia, watoto anaocheza nao wengi walezi wao nawajua tunafahamiana, pia hakuna watoto wa mitaani huko kama mjini. 2. sifurahi kwamba mwanangu ni mjanja au...
  8. JamiiForums Tanzania Tunauza pochi mpya zenye watoto

    Wauzaji wa pochi mpya zenye watoto kuanzia sh elfu 40 tuu. Tunapatikana Tegeta Dar na popote tunadeliver. Ukihitaji tupigie/whatsapp 0714 191 429. Picha za pochi zitapostiwa kadiri thread inavyoendelea. Karibuni.
  9. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuboresha malezi ya watoto wa kike?

    Wadau poleni kwa hofu ya Corona Ngoja niende moja kwa moja na mada yangu. Kutokana na wanafunzi kupewa likizo warudi majumbani mdogo wangu wa kike ambaye yuko form two amefika kwangu. Wiki iliyopita nimesikia akiongea na simu usiku nikanyata mpaka mlangoni kwake nisikie anaongea na nani saa...
  10. JamiiForums Tanzania Wizi waongezeka Mbezi Beach: Serikali za mitaa mmewashindwa wale watoto wa Kawe? Polisi Kawe mbona wakiletwa wanaachiwa shida nini?

    Wizi mkubwa na ujambazi wa aina yake umevamia maeneo ya Mbezi Beach kuanzia mto Kawe kupanda juu na kuvuka mpaka JK Nyerere school. Vijana wa kihuni wakitembea kuanzia watano wamekuwa wakikaba mapema sana na hali hii imefanya wananchi kukosa amani kabisa. Wale wanaotumia mto Kawe ndio balaa...
  11. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mshahara wa Machi vipi? Watoto wanahitajika kurudi toka shuleni kwa likizo ya dharura

    Mshahara wa mwezi huu vp jamani watoto wanahitajika kurudi toka mashuleni kwa likizo ya dharura.
  12. JamiiForums Tanzania Ni muhimu kufundisha watoto biashara yako tangu wakiwa wadogo, Wahindi hili wameliweza

    Ninakumbuka familia moja ya Wahindi nikiwa mdogo. Mke na mume wote walikua madaktari wa macho. Walijaliwa kupata watoto wawili wakiume na wa kike. Walikua na clinic yao ya macho kwenye nyumba yao ya ghorofa. Chini ndiyo ilikuwa ofisi na juu waliishi wenyewe. Niliwafahamu zaidi wale watoto...
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri: Kuhusu mama chui na watoto wake

    Mama Chui akizaa watoto wake anawalea wakishakua anawaacha anaenda porini anakaa kama juma hivi akirudi anawatisha watoto wake. Yale watoto walioshtuka wakakimbia hawawi chui tena ila wale watoto waliomtambua mama yao wanabaki na mama yao na wanakuwa chui (katika uhalisia wake). Kwa sisi wachaga...
  14. JamiiForums Tanzania Inakuwaje tunatumia 'Kilimo' ili kuwatishia watoto wasome na tukishindwa kuwaajiri tunawaambia wakajiajiri kwenye Kilimo?

    Kumekuwa na tabia ya wazazi, viongozi na walimu kutishia watoto kuwa wasiposoma watakuwa wakulima maisha yao yote. Hii ikiwajengea dhana kwamba kilimo ni kazi ya mtu aliyekataa shule. Ni viongozi hao hao ambao huwaambia vijana wenye shahada zao kuwa wakajiajiri kwenye kilimo baada ya kushindwa...
  15. JamiiForums Tanzania Wizara ya elimu yakana kuwapima mimba watoto wa kike kwa lazima, yasema wataendelea na masomo baada ya kujifungua

    Katika kile kinachoonekana kama kupiga hatua kwenye uelekeo sahihi, wizara ya elimu kupitia katibu mkuu wake Dr. Leonard Akwilapo imekanusha madai ya kuwa watoto wa kike waliopo mashuleni watapimwa mimba kwa lazima. Taarifa hiyo iliyotolewa tarehe 06-03-2020 imefafanua kuwa kauli ya kuwapima...
  16. JamiiForums Tanzania Madaktari na manesi wamempa heshima mtoto wa miaka 11 kwa ujasiri wake

    Mtoto wa miaka 11 alitibiwa kansa ya ubongo. Alipofahamu kuwa hatapona aliamua kuchangia moyo na figo zake kwa watoto wanaozihitaji. Mauti yalipomfika jopo la madaktari na manesi waliomtibu walimpa heshima kubwa. An 11-year-old boy with brain cancer's wish to donate his organs moved his...
  17. JamiiForums Tanzania Kanzu nzuri kutoka Dubai za watoto kwa wakubwa

    Karibuni tupo Kinondon popote ulipo Tanzania tunakuletea , za wakubwa elf 70 za watoto elf 50. 0752976792
  18. JamiiForums Tanzania Kamzalisha watoto wawili ila anadai siyo "type yake"

    Poleni na majukumu wadau, Story ipo hivii,, Mtaani kwetu huku Sutimbi, kuna jamaa flani ni mchizi wangu kiaina maana tumefahamiana Bar miaka kadhaa iliyopita (tumwite Masudi) na mara nyingi tunakutana baada ya saa za kazi na weekends. Jamaa anafanya kazi shirika flani la kimataifa linamlipa...
  19. JamiiForums Tanzania Je, ni namna gani unaweza kuongea na watoto kuhusu mlipuko wa Corona?

    Waondoe hofu Dkt Punam Krishan, ambaye ni daktari wa familia nchini Uingereza mwenye mtoto wa miaka sita, anasema ni muhimu kumuondoa hofu na kumuelea kuwa hali hiyo ni sawa na mtu anapopata mafua au kipindupindu na kutapika. Anaamini kuwa wazazi wanapaswa kuwa wawazi, kuwaeleza ukweli kuhusu...
  20. JamiiForums Tanzania Ufahamu na kujiepusha na Jicho baya kwa watoto wadogo!!

    Karibuni nyote katika mada hii inayokusudia kupata ufafanuzi na ufahamu juu ya JICHO BAYA katika maada hii najaribu tu kuchokoza wajuzi wa mambo kama akina Mshana Jr waje kutufahamisha na wengine; Hoja ni JICHO ila ntaita jicho baya kwa ufupi tu ni jicho ambalo mtu humtazama hasa mtoto kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…