watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wanawake jifunzeni Uzazi wa Mpango halafu kuweni Wastaarabu

    Wakuu hata salamu sitaki maana nina moto mbayaa. Leo nilikua na kidate na manzi mmoja mtoto wa mashavuni nimemind flag long time kinyama ila ndio akawa anambwelesha kidizaini sema chalii ya bakta nikakaza niaje basi juzi kati tukapanga kuwa leo ndio tutakutana fasi za niaje tuendelee kuyajenga...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KDF wamuua gaidi wa al-Shabab na wanawe wawili

    Katika Hali isiyokuwa ya kawaida wanajeshi wa Kenya KDF wamewaua watoto wawili wanaokuwa wanaishi na baba yao ambaye anashukiwa kuwa Ni gaidi wa ALSHABAB. Hali hiyo ilitokea wakati polisi walipofika katika makazi ya gaidi Huyo ambaye aliwatumia watoto hao kuwaokoa watoto hao Kama ngao ya kuzuia...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Al-Shabaab suspect who used his 2 children as human shield killed in dawn attack

    Katika Hali isiyokuwa ya kawaida wanajeshi wa Kenya KDF wamewaua watoto wawili wanaokuwa WAMESHIKILIWA Kama hostages na ALSHABAB. Hali hiyo ilitokea walipokuwa wanafanya jitohada za kuwaokoa watoto hao. Wanamgambo wawili pia waliuawa. ----- Police officers killed a suspected al-Shabaab...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba ataka DNA test baada ya watoto kutaka kumuua kwa kugombania mali yake

    ====== Mzee Jackson Kibor now wants his six sons subjected to DNA test Controversial Eldoret tycoon Mzee Jackson Kibor has vowed to have DNA tests conducted on his six sons to ascertain if he is their biological father before they can inherit his property. According to Mr Kibor, he did not...
  5. JamiiForums Tanzania HakiElimu: Uzinduzi wa ripoti za makuzi, ulinzi na elimu bora ya awali inayowaandaa vyema watoto kujiunga na elimu ya msingi

    Ripoti hizo mbili zinazozinduliwa ni: Intergration of Child Protection into Early Childhood Development (Namna Bora ya Kujumuisha Dhana ya Ulinzi wa Mtoto Katika Elimu ya Awali) Assessment of Learning and Teaching Environment for Pre-primary Education in Tanzania, 2019 (Mazingira ya Kujifunza...
  6. JamiiForums Tanzania Wangapi mlipitia huku? Tulipokuwa watoto tuliharibu sana miundo mbinu ya TTCL

    Nakumbuka wakati nakua tulikuwa tunatengeneza magari ya waya za tairi na waya zile zenye rangi rangi za TTCl. Kipindi hicho tulikuwa tunazunguka mitaa ya wazito maarufu kama uzunguni ambako ndio kulikuwa na watumiaji wengi wa simu za mezani kipindi hicho, basi tunatafuta zile njia zilizopita...
  7. JamiiForums Tanzania Mtoto wa miezi 2 analia mpaka napata wasiwasi na maziwa hataki kunyonya na nipo mbali na hospitali tatizo linaweza kuwa ni kwa wenye udhoefu wa watoto

    Msaada wa haraka mtoto wa miezi 2 analia mpaka napata wasiwasi tatizo linaweza kuwa nini mbaya zaidi maziwa hataki kunyonya. Kuwa ni kwa wenye udhoefu wa watoto
  8. JamiiForums Tanzania Bolivia: Watoto watatu walazwa baada ya kung'atwa na buibui, wadai walitamani kuwa "Spider Man"

    #UNAAMBIWA Watoto watatu wa Familia moja nchini Bolivia Miaka (8 ,10 na 12) wamelazwa Hospital Baada ya kuruhusu Buibui mweusi awang' ate kwa makusudi kwa kuamini kuwa watageuka Spider -man>> wamevimba, wanajutia sana, tujifunze kuwaelimisha watoto ili watofautishe movie na maisha halisi" Ni...
  9. JamiiForums Tanzania Tulivyowaza tukiwa watoto

    Poleni wananzengo, Si vibaya kukumbuka nyakati zilizopita pindi tukiwa watoto wadogo ukiachana na maswali ya kidadisi kama vile "Eti mama mimi nimetoka wapi?" Je ulishawahi kuwaza nini kipindi cha utoto wako ukaja gundua sio kweli ulivyokuwa ukihisi? Mfano mimi nilijua watu wazima hawaendi...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Je, shule zikifunguliwa, wazazi tunasomesha watoto private tutalipa ada ya mwaka mzima?

    JF Baada ya mwanga kuanza kuonekana kwamba muda si mrefu shule zote zitafunguliwa hapa nchini kwa vyuo na kidato cha sita kutangulia ili kupima upepo Wamiliki wa shule binafsi hawako nyuma, tayari leo wameanza kutuma meseji kwa wazazi wakihamasisha tulipe ada huku wakitoa onyo kali kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Watu wazima wengi huwa Wakijamba ' Accidentally ' mbele ya Watoto Wadogo waliowazunguka hupenda Kuwasingizia Wao?

    Kwani kwa Mtu mzima kama ikitokea amejamba kwa bahati mbaya au hata nzuri vile vile mbele ya Watoto akikiri tu au akisema kuwa Mjambaji ni Yeye na asitafutwe Mwingine kuna Kosa lolote au ni Dhambi mpaka wengi Wao hupenda sana Kuwasingizia Watoto ambao Kiuhalisia hawajajamba? Naamini Mjadala huu...
  12. JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha sheria ya afya ya mimea. Faini ya milioni 500 kutolewa kwa watakaoikiuka

    SHERIA ya Afya ya Mimea 2020 imepitishwa pamoja na mambo mengine imetoa adhabu kwa Bodi ya Shirika itakalovunja sheria hiyo kupigwa faini isiyopungua Sh milioni 10 na isiyozidi Sh milioni 500. Vile vile kwa mtu atakayevunja sheria hiyo atatozwa faini isiyopungua Sh 50,000 na isiyozidi sh...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais, kabla ya watoto kurudi shule, wewe toka kwanza nyumbani kwako Chato rudi ofisini Ikulu

    Kwa mujibu wa sheria za nchi ofisi rasmi ya raisi ni Ikulu, Ikulu zozote zilizo ndani ya nchi na wala siyo nyumbani kwake. Kwa sasa zaidi ya siku 50 Rais anafanyia kazi za nchi ndani ya nyumba yake huko Chato, sijajua yale mafaili confidential ya nchi anayaweka sebuleni kwake au dining room...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata Daktari wa kutahiri Watoto wadogo kuanzia mwaka

    Habari ya jumatatu, Napenda kufahamu alipo Dr mzuri kwa hapa Dar ambaye anaweza kutahiri mtoto mdogo kuanzia mwaka nakuendelea. Nitashukuru sana.
  15. JamiiForums Tanzania Ugonjwa mpya unaohusianishwa na Covid19 wawashambulia watoto

    Watoto wengi nchini Uingereza na Marekani wameathirika na ugonjwa usio wa kawaida unaosababisha uvimbe wenye kuhusishwa na #CoronaVirus Watoto 100 nchini Uingereza wameathirika na utafiti unaonesha kwamba dalili kama hizo zimeonekana kwa watoto wa sehemu nyengine barani Ulaya Dkt Mike Ryna...
  16. JamiiForums Tanzania Tuwajengee watoto wetu misingi ya kujiamini na kujitegemea kiuchumi

    Ni vizuri watoto wako wajue kazi au shughuli zinazokuingizia kipato, ikiwezekana uanze kuwapa misingi tangu wakiwa wadogo labda miaka 3+. Kama wewe ni mfanya biashara au una kampuni yako inafanya shughuli fulani, ni vizuri kuongozana na watoto wako ili kuwajenga kihisia katika utafutaji wako...
  17. JamiiForums Tanzania USHAURI: Bado sijaoa, nimeasili watoto wawili kutoka kituo cha kulelea Watoto Yatima bila kutarajia napata changamoto kubwa ya maneno kutoka kwa ndugu

    Habari zenu ndugu zangu, ku-adopt mtoto yatima ilikuwa ni ndoto na lengo langu la mda mrefu sana na hili lilinifanya niwe natembelea vituo vya kulelea watoto yatima na kutoa msaada mara nyingi pale ninapojariwa kitu. Mwaka jana nilienda kutembelea kituo flani cha yatima ili kutoa...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali wasaidieni haraka wakazi wa Makongo kwani wanalalamika wachezaji wa Timu ya Ligi Kuu ya KMC kutembea na Wake, Dada na Watoto wao

    Katika kile kinachoonyesha kuwa huenda baada ya Michezo Kusitishwa kwa muda na baadae Wachezaji kuanza Kambi kwakuwa Ligi Kuu ya Vodacom inakaribia Kuendelea Wachezaji wa Klabu ya Ligi Kuu ya KMC wao wameamua kuja na aina yao ya Kipekee kabisa ya Kimaandalizi duniani. Wakizungumza kwa nyakati...
  19. JamiiForums Tanzania Ili kuwalinda Watoto Sera ya Elimu yapaswa kuboreshwa

    Ni sifa ya kila kiumbe kutaka mtoto aendelee kuwepo haswa inaotokea chagua la mtu anayepaswa kubaki. Hii ndio sababu naona haja ya kuwalinda watoto kwa kuwa wao ni vizazi vijavyo. Watoto wana miaka mingi iliyobaki wao kuwepo kuliko mimi ambaye nakaribia ule wastani wa mtu kuishi duniani...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya shule kufungwa, haya ndio yanayoendelea kwa watoto walio Uswazi

    Naona WATOTO wadogo wengi wakiwa wamekusanyika pamoja wakiendelea na michezo yao tena kwa furaha kubwa na mama zao wakiwa nao wamekaa kwenye vikundi hapa mtaani story za hapa na pale zikiendelea. WATOTO waliorudishwa majumbani na serekali kwa nia nzuri tu ya kuwakinga na maambukizi haya ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…