watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Makuzi ya watoto ni wajibu wa jamii nzima

    Kila mara tumekuwa tukishuhudia na kusikia matukio ya ukatili na unyanyasaji wa watoto yakiongezeka na kuripotiwa nchini Tanzania. Kutokana na ongezeko hili, jitihada mbalimbali zimechekuliwa na serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kupunguza ukatili na unyanyasaji wa watoto. Kwa...
  2. JamiiForums Tanzania SoC01 Namna ya kupunguza vitendo vya uudhalilishaji wa watoto Zanzibar

    Zanzibar vitendo vya udhalilishaji Kwa wanawake na watoto vinazidi kushamiri Kila siku inayo itwa Leo hivyo basi watoto wa kizanzibari hususani wa wanafunzi wa shule wapo hatarini kupata mimba Kwa hujibu wa takwimu ni wanafunzi wa shule za msingi ndio wanaopatwa na majanga haya Namna ya...
  3. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ushauri: Jinsi ya kuwasaidia wanawake waliotelekezwa na waume zao kulea watoto

    UTANGULIZI SMART MOTHER (SM) ,kabla ya kutafuta kwa kina ni jina gani zuri la kumpatia mama huyu ambaye anaangaika na kupambana hili motto wake awezi kupata mahitaji muhimu kama Elimu(Kwenda shule),chakula na mahitaji mengine,huyu ni mama ambaye yeye ndiye kichwa cha Familia anaye ongoza...
  4. JamiiForums Tanzania Watoto 981 katika Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, wamepatiwa ujauzito ndani ya kipindi cha miezi sita

    Watoto 981 katika Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, wamepatiwa ujauzito ndani ya kipindi cha miezi sita kilichoanzia mwezi Januari mwaka huu. Kutokana na kitendo hicho cha ukatili wa kijinsia, Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mwanaidi Ali Khamis, ameagiza...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wababa/wakaka tusitelekeze watoto so sad

    Naomba Unipostie Nimechanganyikiwa vibaya mnooo Nilihama Mkoa kikazi Hivyo Nikaingia Kwenye Mahusiano Na Mwanaume Mmoja hivi Aliniambia anatoka mkoa naotoka Lakini yeye Amekaa huku dar Toka mdogo Sana Pindi tu mama yake alipoachana na baba yake.. Naomba Mnielewe Hivi viatu so size Yangu. Basi...
  6. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Malezi bora kwa watoto hasa wa kike kwa Taifa bora la kesho na maendeleo

    Watoto wetu wa leo ndio taifa letu la kesho, Ikiwa tutawaandaa vyema tutatengeneza jamii na taifa bora pia lenye nguvu baadae na kufikia malengo kwa haraka zaidi . Tukitaka kufikia malengo na kuwa na taifa bora na lenye nguvu kwanza tunatakiwa kujenga misingi imara kwa watoto wa kike kwani: -...
  7. JamiiForums Tanzania Ebu tupeane changamoto tunazokutana nazo watoto wa kwanza kwenye familia

    Katika familia kuna changamoto mbalimbali na katika maisha pia je kuna changamoto gani wanapitia watoto wa kwanza katika familia. Tupeane uzoefu unaweza kuona una changamoto kubwa kumbe yako ya kawaida sana kuna watu wanapita changamoto ngumu kuliko yako hebu tuongee kidogo na usimbee uwe mtoto...
  8. JamiiForums Tanzania SoC01 Changamoto za Malezi ya Watoto na sababu za wababa kufa mapema. Je, wamama wanahusika?

    WABABA: CHANGAMOTO ZA MALEZI YA WATOTO & SABABU ZA KUFA MAPEMA. JE, WAMAMA WANAHUSIKA?!! Wanaume ee, Mnajionaje na hali wapambanaji wenzangu?!! Poleni na hongereni kwa siku nyingine tena. Ni matumaini yangu mko poa sana, mkiendelea na majukumu ya kila siku ya hapa na pale katika kuhakikisha...
  9. JamiiForums Tanzania UN: Mamilioni ya watoto wakosa chanjo za kawaida mwaka 2020 kwasababu ya Covid-19

    Umoja wa Mataifa umesema jumla ya watoto milioni 23 hawajapata chanjo za kawaida na hivyo kuwaweka katika hatari ya kupata surua pamoja na magonjwa mengine hatari. Kwa mujibu wa takwimu zilizochapishwa na Shirika la Afya Duniani, WHO pamoja na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuwahudumia Watoto...
  10. JamiiForums Tanzania Jembe kiboko lilimaliza CHADEMA likifundisha watoto wa wapiga kura Tarime

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi na Mbunge wa Tarime Mwita Waitara akifundisha somo la Hisabati katika Shule ya Sekondari Nyamwigura Tarime hivi karibuni. #NipasheMwangaWaJamii #NipasheHabari https://t.co/kjYGNCmYC7
  11. JamiiForums Tanzania Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

    Habari, Kwa masikitiko makubwa baada ya kugundua mke Wangu anamahusiano mengine na kuamua kuondoka baada ya ugomvi mkubwa. Sasa tukiwa naprocess kumpa talaka na mimi nikiwa nimebaki na watoto (under 7years). Naanza ku experience mateso makubwa kwakuogopa kukaa Karibia na wanangu kwakuulizwa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kodi ya Uzalendo na Kisa cha nguruwe kula watoto wake

    Kuna Kipindi nilifuga nguruwe, yule nguruwe akapata watoto 7. Sasa cha kushangaza siku ya pili yake jioni nakuta vitoto 4, nikauliza ni nini kimetokea, kijana akasema na yeye anashangaa. Nikampigia simu rafiki yangu kuuliza akasema huenda hakupewa chakula cha kushiba hivyo sababu ya njaa kala...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wazazi msiwalazimishe Watoto kusoma vitu wasivyovipenda

    Wazazi wengi mmekuwa kikwazo cha watoto wenu katika kufikia ndoto zao na malengo yao. wazazi wengi mnawalazimisha watoto wenu kufanya vitu mnavyovitaka nyie na sio wanavyovipenda wao . Mnawanyanyasa watoto na kuwafanya waishi maisha ya kulazimisha sana katika jamii zao. Unakuta mzazi...
  14. JamiiForums Tanzania SoC01 Mambo ya kufanya kupunguza ukatili wa kingono kwa Watoto

    Ukatili wa kijinsia ni kitendo anachofanyiwa mtu bila ridhaa yake na kumletea madhara mbali mbali kimwili, kiakili au kisaikolojia. Na huweza kutokea kwa wanawake, wanaume, wavulana na wasichana. Wanawake na watoto ni makundi ambayo yameonekana kuathiriwa zaidi na ukatili wa kijinsia kuliko...
  15. JamiiForums Tanzania Wenye 'Mahausigeli' muwe mnafanya 'impromptu visits' Makwenu, kwani yanayoendelea kwa Watoto wenu mkiwa hampo ni makubwa

    Kuna 'Hausigeli' Mmoja 'Kanikera' sana Asubuhi hii yaani Bosi zake wameondoka tokea Saa 1 nae katoka kwenda 'Kukazwa' na Dereva 'Bodaboda' na kamuacha Mtoto peke yake Nyumbani analia tu muda wote, hajala chochote na hajamvalisha Kitu huku akijua sasa Dar es Salaam kuna Baridi Kali. Katika...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Polisi, Madaktari na Mahakama wanavyoshughulikia kesi za kubaka watoto ni wazi Tanzania ni 'banana republic'. Inasikitisha, inatia hasira na aibu

    Hebu fikiria. Mtoto wako wa miaka sita anatoka shule. Akiwa njiani mjinga fulani mwenye akili mbaya kuliko mnyama anamkamata na kumvutia porini, kisha anambaka na kumuumiza sana. Mtoto huyu wa miaka sita analia kwa maumivu, lakini mbakazi anamziba mdomo na kumtishia kumuua ikiwa ataendelea...
  17. JamiiForums Tanzania SoC01 Njia sahihi za kulea watoto ili waje kuwa viongozi wema na wenye kutii sheria za nchi

    Habari yako ndugu msomaji. Katika mambo yanayolalamikiwa na jamii yetu hasa zama hizi basi ni kuwa na viongozi ambao hawana maadili na wala hawafuati sheria mbalimbali za nchi vile zinavyotaka. Jambo hili sio tatizo dogo kama tunavyolifikiria,na wala sio mazao ya malezi ya mwaka mmoja au...
  18. JamiiForums Tanzania Wazir Ummy Mwalimu analeta siasa kwenye elimu; ni sampuli ya viongozi ambao hawana uchungu na elimu ya watoto wa maskini

    Bila aibu Ummy Mwalimu amesema ajira 1360 za walimu wa physics na 599 za walimu wa hesabu kwamba zimemaliza tatizo la uhaba wa walimu wa masomo ya sayansi nchini. Kwangu kauli hiyo ya Ummy naona inalenga kutafuta umaarufu wa kisiasa kwani alichokisema ni uongo unaofaa kupuuzwa na kila mtu...
  19. JamiiForums Tanzania SoC01 Dunia ya Sasa na Malezi ya Watoto

    Dunia ya sasa ni tofauti kabisa na ile ya zamani, simaanishi hizi ni dunia mbili hapana! Dunia ni ile ile isipokua mambo yanayojiri duniani hubadilika, kama ambavyo mazingira au sura ya dunia yalivyobadilika. Mabadiliko hayo ya dunia yameathiri sana maisha ya mwanadamu kwa kiasi kikubwa katika...
  20. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Mwaka 2020 watoto 600 walinyanyaswa

    Kesi za udhalilishaji visiwani Zanzibar ni suala linalopigiwa Kelele na viongozi wa kada mbalimbali. Kwa mwaka jana pekee kesi zaidi ya 600 za udhalilishaji ikiwemo kubakwa na kulawitiwa zimefunguliwa katika vituo vya polisi visiwani zanzibar huku ikiaminika kuna maelfu ya vitendo hivyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…