watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Mastai awaombea wazazi wa watoto wote waliokufa pale Selander Bridge, ataka Serikali ichunguze zaidi

    Mchungaji wa Kanisa la KKKT kimara mtumishi Matsai amewaombea wazazi wote ambao watoto wao waliuawa katika tukio baya kabisa la mauaji lililotokea pale Daraja la Salenda. Aidha mchungaji Matsai ameitaka Serikali kufanya uchunguzi thabiti ili kubaini sehemu ambazo raia hupata mafunzo ya kijeshi...
  2. JamiiForums Tanzania Ni kweli Kabisa watoto wa ovyo wapo. Sirro Hajakosea

    Kumekucha! Binadamu wanapenda kupewa maneno laini, hawapendi ukweli, wanapenda sifa hata wasizozistahili. Yapo Matoto ya hovyo, Wapo wazazi wa hovyo bila kujali ni wanani, Hayo Matoto yakikua ndio yanaleta kizazi cha hovyo hovyo, Unakuta kiongozi hovyo, Mchungaji hovyo, Sheikhe Hovyo...
  3. JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Wazazi msizae zae ovyo watoto kama 'Hamza'

    Ni kweli kitendo kilichofanywa na kijana Hamza( R.I.P) sio cha kiungwana na hakifai kuigwa katika jamii Lakini vile vile, afande Sirro amepotoka kwa kauli yake kwamba wazazi wasizae watoto kama 'Hamza' kwa sababu kuzaa ni mipango ya Mungu ambayo binadamu hawezi kujipangia au kuamua azae mtoto...
  4. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Urithi Unaotutenganisha

    Nakusalimu ndugu usomaye makala hii. Makala hii haikusudii kumlazimisha mtu akubaliane na mtazamo ulioandikwa ndani yake, kila msomaji ana uhuru wa kukubali au kukataa chochote kilichoandikwa katika makala hii, au hata makala nzima. Makala hii ni ndefu ila ni vema ukijitahidi kuisoma yote...
  5. JamiiForums Tanzania Rombo, Kilimanjaro: Watoto wawili wa familia moja wafariki katika ajali ya moto

    Rombo. Watoto wawili wa familia moja wakazi wa Tarakea wilayani Rombo wamefariki baada ya nyumba yao waliyokuwa wakiishi kuungua kwa moto. Akitoa taarifa hiyo leo Ijumaa Agosti 20, 2021 Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Hamis Maiga amesema, tukio hilo limetokea jana usiku uliosababishwa na mshumaa...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi Katika Picha: Mzee Ally Hassan Mwinyi, mkewe & watoto wao akiwamo Rais Hussein Mwinyi

    Picha ya kutambo Mzee Mwinyi Akiwa na familia yake
  7. M

    JamiiForums Tanzania Taliban wavamia Theme park Kabul na kuanza kula bata kama watoto.

    Hawa wataliban wanaocheza na hivi vigari wanaendana kinyume kabisa na Taliban asili. Kwasababu Taliban hata kusikiliza mziki na kucheza ni marufuku unachinjwa. Hii Taliban ya sasa ni tofauti ndo maana wanataka diplomasia na mataifa mengine na China na Urusi imefungua mlango. Hii ni Taliban...
  8. JamiiForums Tanzania Hawa watoto wetu wangejua tunayopitia ili upate ada ya shule na mkate mezani, wangesoma kwa bidii

  9. JamiiForums Tanzania CCM yashiriki kusambaza tabasamu kwa watoto wenye saratani nchini

    CCM YASHIRIKI KUSAMBAZA TABASAM KWA WATOTO WENYE SARATANI NCHINI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Daniel Godfrey Chongolo leo tarehe 15 Agosti, 2021 ameshiriki matembezi ya Km 5 yalioandaliwa na Benki ya CRDB yenye lengo la kukusanya fedha kwa ajili ya kugharamia matibabu kwa watoto...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu Hospitali maalum kwa ajili ya watoto

    Habari wataalam, Ni matumaini yangu kwamba weekend yenu inaenda poa. Naomba kufahamu kama kuna hospitali nyingine maalum kwa ajili ya watoto tofauti na ile ya Morocco kwa marehemu Dr Massawe au pale fire kwa Dr Ameer, Jijini Dar es salaam. Natanguliza shukrani za dhati.
  11. JamiiForums Tanzania Wasiowapeleka watoto shule wachukuliwe hatua

    Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Mwanaidi Ali Khamis ameagiza kuchukuliwa hatua kwa wazazi wanaowakosesha watoto haki ya msingi ya kuendelezwa kwa kupata elimu. Mhe. Mwanaidi ameyasema hayo Wilayani Mbinga mkoani Ruvuma wakati akishiriki zoezi la ujenzi wa...
  12. JamiiForums Tanzania Kamanda mwandamizi wa Boko Haram aitwae Amir Adamu Rugu Rugu ajisalimisha kwa majeshi ya Nigeria akiwa na wake zake watatu na watoto

    Mmoja wa makamanda wa juu kabisa wa kikundi cha ugaidi cha Boko Haram aitwae Amir Adamu Rugu Rugu amejisalimisha siku ya Alhamisi jioni kwa majeshi ya Nigeria. Rugu Rugu alijisalimisha akiwa na wake zake watatu na watoto katika mji wa Gwoza ndani ya jimbo la Bono ambako ndipo vikosi vya jeshi...
  13. JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenza wa kike aliyeko serious

    Salaam! Mimi ni kijana wa 44 years Mjasiriamali Niko Arusha Nimekaa kwenye ndoa miaka 16 ila ilikuwa ni ndoa yenye vioja vingi sana Na hatimaye tukaachana rasmi Nina watoto 3 Maisha yangu ni ya uchumi wa kati kama Tanzania vile Nahitaji Dada mzuri wa umri wa si chini ya 30 - 40 Asiwe Mchaga...
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake wa Tanzania waomba msaada dhidi ya waume zao wanaonyonya matiti na kumaliza maziwa ya watoto

    Watanzania hamuishi vituko ===== Breastfeeding women in Handeni district in Tanga region have asked the district commissioner, Siriel Mchembe to help them raise their voices against husbands who suck their breasts as they cause shortage of milk for their children. The request was made during...
  15. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Malezi bora kwa watoto ndani ya familia na taasisi za kielimu ni msingi bora katika kuwajenga vijana wenye maadili ,wachapakazi na waaminifu

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wengi wetu ni mashuhuda wa kushuka kwa maadili miongoni mwa vijana na watoto wa sasa .Vijana wengi wamekosa nidhamu si kutowaheshimu wakubwa bali hata nidhamu ya kazi imepungua sana kwenye jamii zetu. Watu wengi wamependekeza bodaboda kama...
  16. JamiiForums Tanzania Tabia ya kuchapa watoto hovyo ni tabia za watu maskini wenye msongo wa mawazo

    Habari!. Watoto wa matajiri hufanikiwa zaidi kwakuwa ni watoto wanaokua kwa furaha. Wazazi wao ni marafiki zao. Mtoto hahitaji majumba ya ghorofa, hahitaji magari ili afurahi. Anahitaji kupendwa na kupewa vizawadi vidogovidogo kabisa. Uswahili watoto wanadundwa sana , wanakaripiwa sana na...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini watoto wa kike siku hizi wanapiga sana picha za utupu?

    Wasalaam Imekuwa kama fasheni sasa watoto wa kike hasa vyuoni kupiga picha za utupu either wakiwa na wapenzi wao au wao kwa wao. Na hii imeleta usumbufu mkubwa kwa wazazi na familia mara tu zinaposambaa hizi picha. Wazazi tatizo ni malezi au ndo utamaduni wetu unayumba. Niliwahi kwenda India...
  18. JamiiForums Tanzania Kigoma: Wazazi wavamia shule wakidhani watoto wanachomwa chanjo ya COVID-19

    Picha: Baadhi ya Wazazi wakiwa katika Shule ya Msingi Imanga Wazazi wa watoto wanaosoma Shule ya Msingi Imanga katika Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, wamezuka shuleni hapo kwa madai ya kuhoji sababu za wanafunzi kupewa chanjo dhidi ya corona bila kupewa taarifa. Hata hivyo...
  19. JamiiForums Tanzania UN: Watoto 620,000 wanaougua UKIMWI Afrika hawapokei dawa

    Ripoti moja ya Umoja wa Mataifa inasema watoto katika bara la Afrika wanatelekezwa linapokuja suala la matibabu yanayohusiana na virusi vya ukimwi VVU. Ripoti moja ya Umoja wa Mataifa inasema watoto katika bara la Afrika wanatelekezwa linapokuja suala la matibabu yanayohusiana na virusi vya...
  20. JamiiForums Tanzania Njombe: Wananchi wataka wanaotupa watoto kuchukuliwa hatua

    Wakazi wa Kijiji cha Matiganjola wilayani Njombe wameiomba Serikali ya wilaya kufanya oparesheni ya kuwasaka wazazi wanaotelekeza watoto wao na kuwachukulia hatua kutokana na kukidhiri kwa vitendo hivyo. Wamesema hayo leo Agosti 8, 2021 katika mkutano wa hadhara wa mbunge wa Lupembe, Edwin...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…