watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Serikali: Wanaoficha Watoto kuanza Shule wachukuliwe hatua

    Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu ameagiza Mikoa kutosita kuwachukulia hatua Wazazi/Walezi ambao wanaficha Watoto walio na umri wa kuanza Shule Akizungumza leo Januari 06, 2022 amesema hadi kufikia Desemba 31, 2021 Wanafunzi 488,780 wa Darasa la Awali wameandikishwa katika Shule za Serikali, na...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Pale ambapo mzazi mwema anapata watoto watukutu na watoto wema wanapata mzazi mbaya

    Kama umejaaliwa kuwa kwenye familia ambayo tabia zako na za mzazi wako zinaendana, yaani mambo mengi yakiwa yanaenda sawia baina yenu basi mshukuru mungu umebahatika sana. Nimeshuhudia sana mifano mingi ambapo mtoto safi amekua akitaabika kutokana na mapungufu makubwa aliyonayo mzazi wake. Kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuanza kuwafundisha watoto ujuzi mapema wakiwa bado wadogo?

    Zamani suala la kumpatia mtoto ujuzi utakao mfaa maishani lilikuwa ni jukumu la mzazi. Mzazi mvuvi alimfundisha mtoto uvuvi. Mfua chuma, mganga, mkulima, mfinyanga vyungu, mrina asali, mfugaji, mfanyabiadhara nk. Ujuzi ulitoka kwa mzazi kwenda kwa mtoto. Ikaja hii elimu rasmi. Jukumu la...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ukiona Kiongozi wa Tanzania anakosa msimamo hadi anafikisha miaka 60 tambua anatafuta ajira za juu na uteuzi wa watoto wake

    Mfumo wetu wa ajira unaeleza kuhusu sifa za mwomba ajira na unafafanua hadi timu ya usahili. Ni mfumo mzuri na Dunia nzima inautumia. Kilichotokea Tanzania Leo wazazi wamekosa uvumiliv, hauna mzazi mwanasiasa mwenye nafasi za juu anayetaka mtoto wake asote kupanda Madaraja na vyeo kwenye...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wazazi wenye watoto wa kike ni rahisi sana kuachana kuliko watoto wa kiume.

    Utafiti uliofanyika huko Marekani na Netherlands kuanzia miaka ya 80 unaonyesha kwamba wazazi wenye watoto wa kike ni rahisi sana kuachana kuliko watoto wa kiume. Sababu inaonyesha kwamba ni rahisi kulea watoto wadogo wa kiume kuliko wa kike. Utafiti unaenda mbali zaidi na kusema talaka inakua...
  6. JamiiForums Tanzania Kufunga Mwaka 2021: Jamii Forums na kusanyiko la watoto takribani 600 wa dini mbalimbali

    Katika kufunga Mwaka 2021, Jamii Forums mnamo Desemba 30 ilidhamini kusanyiko la watoto takribani 600 wa dini mbalimbali waliokutana Magomeni jijini Dar na kula, kunywa na kucheza pamoja kwa furaha kuuaga mwaka 2021. Kusanyiko hili liliwezekana kwa kubuniwa na kuratibiwa na Padre Christian...
  7. JamiiForums Tanzania Mola wangu Mlezi usinifedheheshe siku watapofufuliwa wote siku ambayo haitofaa mali wala watoto, ila wale wanaomjia ALLAH kwa nyoyo safi

    Msamehe baba yangu kwani hakika yeye ni miongoni mwa wapotofu.
  8. JamiiForums Tanzania Madhara ya katuni kwa watoto

    Kwa sisi Waafrika, katuni na movies zina madhara makubwa sana kwa watoto. Kwenye movies na katuni asilimia kubwa ya heroes ni wazungu. Hili suala huwa linamjenga mtoto kisaikolojia kwamba wenye uwezo, wenye maadili, wazuri na wenye sifa zingine nzuri ni wazungu. Hili linamfanya asijithamini...
  9. JamiiForums Tanzania Wazazi: Tuwafundishe watoto wetu mila na desturi njema za wazee

    Salamu, Heri kwa siku kuu ya Krisimasi. Ndugu zangu ,leo tunaadhimisha Dominika ya Familia Takatifu. Katika muktadha huo, nimependa tujadiliane juu ya malezi ya watoto wetu hasa kuwafundisha mila na desturi njema za wazee wetu. Wazazi tunawajibu huo kwasababu wengi wetu tumeacha kuwafundisha...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Tusiwaharibie future watoto na wadogo zetu kwa kuwashauri wasisome masomo ya biashara!!!!!!

    Nimefanya utafiti wangu mdogo na nimegundua kuwa nafasi nyingi sana za kazi zinazotoka kila siku ni za accountants, watu wa finance, HRs na Auditors. Na ni kazi ambazo zinalipa vizuri sana kulinganisha na kazi nyingine. Sasa kuna huu mtindo wa wazazi au wanafamilia kuwasukuma watoto wasome...
  11. JamiiForums Tanzania Tubadilike; Kutumia fedha nyingi kuwekeza kwa watoto kumepitwa na wakati

    Zamani hizo watu wajanja walikuwa wakiwekeza kwenye watoto na kuwasomesha kwa gharama, hadi chuo huko then waje kuajiriwa walipwe mshahara mzuri wawatunze. Kwa kiasi kikubwa kama mtoto wako alikuwa 'kichwa' miaka hiyo ya 1960-2000 huko hii ilikuwa formula iliyoleta matunda Ila kwa miaka ya...
  12. JamiiForums Tanzania Krismasi ni sikukuu ya wote, tutoe kwa wengine na tushereheke pamoja. Merry X-Mas!

    Wanabodi, Hizi ni salamu zangu za Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa kwa ajili ya Krisimasi kwa Wanabodi wetu. Merry Christmas And Happy New Year!. Japo makala hizi ni za lugha yetu adhimu ya Kiswahili, kwa vile kesho ni sikukuu ya Krisimasi ni sikukuu ya kutoa, ili kuwezesha na wengine...
  13. JamiiForums Tanzania Watoto wafundishwe elimu ya pesa kuanzia awali

    HABARI
  14. JamiiForums Tanzania Watoto wa Kiafrika ni wabunifu sana

  15. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza niliijua maana halisi ya "Mtoto wa kishua" kupitia huyu dogo. Kuna watoto wamezikuta pesa aisee!

    Nilikuwa nimeripoti chuoni mwaka 2011 kwa mara ya kwanza baada ya kuhihitimu form 6, Nilifikia hostel mnakaa watu wawili kwenye chumba, nilimkuta dogo flani yeye kamaliza form 4, alikuwa ameshaanza form 5 lakini aliachana nayo ili asome chuo. kwa haraka haraka tu nilijua kwamba huyu dogo...
  16. JamiiForums Tanzania Ajali za kufunga mwaka na kufungua mwaka uacha makovu makubwa ya moyo na nafsi kwa watoto.

    Niliwahi kushuhudia familia ikipoteza baba na mama kwa wakati mmoja katika ajali ya gari wakiwa wanatokea kula Krismasi na mwaka mpya, kijijini kwao, wakati huo watoto wao wa pekee (mapacha), walikuwa wamebaki shuleni (skuli ya wazazi na walezi wenye kipato cha kati) wakifanya maandalizi ya...
  17. JamiiForums Tanzania "Ukifa utaniacha nateseka na watoto" kauli ya ajabu kwa wanawake

    Utasikia "ukifa utaniacha nateseka na watoto" Aaaaghhh hii kauli ya kiwaki sana. Huu ni ushahidi mwingine wanawake ni watu wa ajabu sana. Yaani ananiwazia kufa tu. Hivi serikali haiwezi kupiga marufuku hii kauli? Huku ni kunitishia kifo
  18. JamiiForums Tanzania Rais Pongezi kwa kuona umuhimu wa kuwa na wizara mpya. Tunaomba iwe Wizara ya Jinsia na Watoto na sio Wanawake na Watoto

    Sijui kama ni waandishi wetu au ndio mpango ila Maendeleo hayachagui jinsia Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote KAZI IENDELEE
  19. S

    JamiiForums Tanzania Hii kesi ya Mbowe na maamuzi ya huyu Jaji, ni historia mbaya kwa watoto na wajukuu wa Taifa letu

    By Baba Mwita kupitia twitter: Mtu anakwambia alipopelekwa TAZARA na MBWENI yalitumika majina BANDIA. Jaji leo anatoa MAAMUZI anasema jina HALISI la mtuhumiwa halikuwa kwenye "DR" ya TAZARA hivyo ameshindwa kuthibitisha alifika hapo! Sasa, litakuwepo vipi wakati amekwambia alikuwa registered na...
  20. JamiiForums Tanzania NCCR-Mageuzi na CHADEMA matokeo ya kuzira yanawadhoofisha

    Eti wamezira ,sababu kubwa walitaka waende peke yao au walitaka yule wanaemuona adui yao yeye asiwepo(ccm)au walitaka afungwe mikono na miguu ndio waende,au wapewe upendeleo wakupigiwa magoti ndio waende,au kwasababu mbowe yupo segerea,,yalaaa,,wakati mwingine walihisi kwamba ni mkutano wa rais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…