wateja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa New Sideway Bar Bunju, Dar es Salaam jirekebisheni mnafukuza wateja

    Ni kwa masikitiko kuwa wafanyakazi wa Baa ya New Sideway iliyoko Bunju A Kinondoni DSM hasa wanaohudumia vinywaji wamekuwa na tabia mbaya sana ya ubaguzi katika kuwahudumia wateja. Kama wewe hutoi offer au huna urafiki na wahudumu jua imekula kwako. Unaweza kufika unakaa unasubiri mhudumu...
  2. JamiiForums Tanzania TANESCO ilishindwa kufikia malengo ya kuwaunganisha wateja waliolengwa mwaka 2018

    Uunganishwaji wa wateja katika huduma muhimu ya nishati ya umeme na TANESCO kumeonesha kupungua kutoka mwaka 2015/16 na kufikia chini ya malengo mwaka 2017/18 kabla ya kuanza kupanda tena mwaka 2018/19. TANESCO wametaja kutokuwepo kwa malighafi kuwa ni sababu ya kushindwa kufikia malengo mbali...
  3. JamiiForums Tanzania January Makamba, Tanesco Hakuna nguzo wala meta kwa wateja wapya nchi nzima , habari hizi unazo?

    Kwa masikitiko makubwa sana Tanesco nchi nzima hakuna nguzo wala mita kwa wateja wapya. Tatizo ni nini? Cha kushangaza na kufurahisha mteja mpya akishapimiwa umeme kama line yake inahitaji nguzo mteja haruhusiwi kulipia wala hapewi control number. Kalemani alikuwa anapata wapi nguzo na...
  4. JamiiForums Tanzania KINGO: Aweka wazi jinsi Tigo wanavyomwaga siri za wateja wao!

  5. K

    JamiiForums Tanzania Kwa nini ma ISP wa Tanzania hawatoi SLA kwa wateja wao

    Ina kuwaje una chukua alama za videlo, majina yangu, anuwani ya ninapoishi wakati huo huo mdawote unajua nikowapi nafanya nini alafu mimi kama mteja nini ninacho pata? Kibaya zaidi nikwamba Hizo tarifa unazo zichukua wala huniambi utazitumiaje zaidi yakuniambia nikwajili ya usalama wangu mhh...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Vitengo na Mikoa inayoongoza kwa RUSHWA za wateja katika shirika la TANESCO

    Katika vitengo vinavyoongoza kwa Rushwa katika ofisi nyingi za TANESCO ni katika mtiririko hapa chini kulingana na ukubwa wa TATIZO, na pia utaweza kufahamu mikoa ya KITANESCO inayoongoza kwa Rushwa 1. Kitengo Cha Kuungia wateja umeme kwamaana ya wenye nguzo na wasio na Nguzo: hichi ndo kitengo...
  7. JamiiForums Tanzania Fibre internet ina kasi, haina kikomo, bei chee, unawekewa bure. Wateja tupo, tunawaomba mpanue huduma zenu

    Kwa hii kasi ya mabadiliko ya vifurushi, tujipange isaikolojia, huenda tukaingia 2022 GB1 ikiwa inauzwa elf 2,500 sawa na petrol. Fibre internet ni internet inayoletwa kwako kwa njia ya waya na uutapewa bure vifaa vya kusambaza internet kwa njia ya wifi. Gharama zao zinaendana kwa speed na sio...
  8. JamiiForums Tanzania Tushaurini sisi wateja wa Halotel tuhamie mtandao gani?

    Huku Halotel tayari kumeshachafuka, hakufai tena. Vifurushi havishikiki, tushaurini tuhamie mtandao gani wakuu?
  9. JamiiForums Tanzania Njoo utupe mbinu za kupata wateja online kwa wepesi

    Wasalaam Watu wengi sasa wameanza kuamini biashara kwa njia ya mtandao. Leo jioni nimekuwa kwenye ofisi moja idadi ya wateja na Mahala ilipo hakuna uhusiano. Baadae nikagundua wote wanawatolea online. Kuna jamaa aliishiwa hadi akataka kurudi kwao kigoma kutoka Dar. Jamaa sio msomi Hata wa...
  10. JamiiForums Tanzania Neno la shukrani kwa wateja wetu wa TTCL

    Kwa wateja wetu wa nguvu. Katika kusherehekea kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Wateja, kaulimbiu ya mwaka huu ni Nguvu Ya Huduma. Napenda kuwapongeza watoa huduma wenzangu wote wa TTCL. Pia kuwashukuru wateja wetu kwa kutuamini, na kuendelea kutumia huduma zetu. Tunawathamini sana na kuwaahidi...
  11. JamiiForums Tanzania TTCL inakutakia kheri ya Wiki ya Huduma kwa Wateja

    Ndugu mteja asante sana kwa kutumia huduma za TTCL. Tarehe 4-8 Oktoba ni maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Wateja. Katika kusherehekea wiki ya Huduma kwa Wateja, TTCL tunapenda kuwashukuru wateja wetu kwa kutuamini. Tunakuahidi kwa kukupatia huduma nzuri zaidi. Karibu tukuhudumie
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mikindani Mtwara: Wafanyabiashara wadaiwa kukimbia soko lililojengwa kwa billion 5 kwa kukosa wateja

    Wafanyabiashara hao wameamua kuondoka kutoka katika soko hilo kwa kukosa wateja hali iliyopelekea biashara kuwa ngumu. Wafanyabiashara hao hawajui watalipa vipi madeni wanaodaiwa na taasisi mbalimbali za fedha. Ikumbukwe soko hilo limejengwa na serikali kwa gharama ya shilingi bilioni 5. Pesa...
  13. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ukitumia hii dawa yenye mchanganyiko wa mizizi sita, utavuta wateja kwenye biashara yako mpaka watu washangae (Tazama na sikiliza hii video)

    Na Elivius Athanas. 0745937016. Kifungua kinywa cha asubuhi ni chai lakini kifungua kinywa cha waungwana ni salamu. Salamu kwenu wanafamilia wa JamiiForums, ni imani yangu kuwa mu wazima wa afya na poleni sana mashabiki wa Simba damudamu, kwa shambulizi la risasi moja ya kichwa, mliyofyatuliwa...
  14. JamiiForums Tanzania Biashara nyingi hufa kwasababu ya Bei ya bidhaa/huduma kuwa juu kuliko mategemeo ya wateja

    Huwa nawambiaga watu mimi nikitaka kuanzisha biashara hiyo unayoifanya wewe (unaesoma hii post) hiyo biashara ambayo unaona hailipi haina faida eneo hilo hilo nina uwezo wakupata faida,si kwasababu nina uhakika wa wateja ila nimeshajua kwanini wateja hupati. Unajua biashara inapoelekea kufa au...
  15. JamiiForums Tanzania NMB huduma kwa wateja muitoe kama mmeshindwa kuwajali wateja

    Leo siku nzima , najaribu kuwapigia simu huduma kwa wateja simu inaita dk 30 bila kujibiwa. Hao, mliowaajiri hiko kitengo cha huduma kwa wateja kazi yao ni ipi. Badilikeni, miamala imekwama na watu wanawapigia kupata suluhisho, simu hampokei .Hamjui mnakwamisha shughuli za watu. Ndio maana...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ninamiliki kituo Cha mafuta, mshindani wangu anauza Sana kuliko mimi. Nini nikifanye kuongeza mauzo na wateja

    Wakuu Kama nilivoelezea hapo hapo juu namiliki kituo Cha mafuta. Nina changamoto yakushuka mauzo kulinganisha nahapo awali mauzo yamepungua baada yakuongezeka vituo viwili vingne vya mafuta. Nini nifanye kuongeza mauzo au kuvuta wateja Zaid ukizingatia washindani wangu wana nguvu zaid yangu...
  17. JamiiForums Tanzania Natengeneza BUSINESS CARDS

    ​Natanguliza heshima kwenu wakuu. Natengeneza Business Cards kama sample zinavyoonekana kwenye picha hapa chini. Kuna aina nyingi sana hapa nimeweka mifano tu. (Vilevile ni pamoja na vitambulisho) Kwa anayehitaji tuwasiliane kwa 0715393111.
  18. JamiiForums Tanzania RC Makalla atoa Wiki moja kukomeshwa biashara ya ngono, awataka Polisi kuvaa kiraia na kujifanya wateja

    Picha: Mkuu wa Mkoa Amos Makalla Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ametoa Wiki moja kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kuhakikisha wanadhibiti watu wote wanaofanya biashara ya Ngono kwenye eneo la Manzese Uwanja wa Fisi baada ya suala hilo...
  19. JamiiForums Tanzania Jengo la TANESCO Chato, kubwa kuliko la Wilaya Temeke lenye wateja milioni na nusu

    Jengo la TANESCO Chato, wilaya yenye mji wa wakazi 28,000 tu, ni kubwa kubwa kupitiliza. Wilaya ya Temeke ina wakazi milioni moja na nusu, lakini hakuna jengo la kutisha na huduma inaendelea. Hizo ndio zilikuwa sera za upendeleo maalum Chato, alizoanzishwa na Mwendazake na henchman Kalemani...
  20. JamiiForums Tanzania Airtel Money na huduma ya ovyo kuwahi kutokea

    Nimekuwa nikitumia huduma za fedha za mitandao mingi ya simu lakini sijawahi kuona huduma ya hovyohovyo kama airtel money.Uhaka wa fedha yako kufika ulipoituma ni mdogo sana. Unaweza ukatuma hela unakatwa kodi, hela inapungua kwenye akaunti na utatumiwa meseji kuwa muamala umefanikiwa lakini cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…