Wafanyakazi wa New Sideway Bar Bunju, Dar es Salaam jirekebisheni mnafukuza wateja

mambomoto1

New Member
Nov 24, 2021
4
15
Ni kwa masikitiko kuwa wafanyakazi wa Baa ya New Sideway iliyoko Bunju A Kinondoni DSM hasa wanaohudumia vinywaji wamekuwa na tabia mbaya sana ya ubaguzi katika kuwahudumia wateja.

Kama wewe hutoi offer au huna urafiki na wahudumu jua imekula kwako. Unaweza kufika unakaa unasubiri mhudumu akusikilize haji na unawaona wapo tu karibu wamekaa makundi makundi wakipiga soga ila cha kushangaza akija mshikaji wao wataamka fasta kumkimbilia na kwenda kumsikiliza. Inakubidi usubiri au uite kwa kulazimisha ndo atakuja kukusikiliza na akishakuhudumia anapotea jumla kwenda kukaa na washkaji wao.

Ukweli ni kuwa wahudumu wa hii baa ni wapuuzi wakubwa hawajielewi na wataua hii baa muda si mrefu, watu wengi hawaridhishwi na tabia hizi wanaenda tu kwa vile hakuna namna ila endapo patatokea Bar mbadala basi wajiandae kufa kifo cha mende.

Nimehama rasmi hii baa nakunywa zangu maeneo ya Boko, au Tegeta au Mbezi.

Najua watajitetea ni wivu au vita za kibiashara ila huo ndo ukweli. Meneja naye hajielewi kabisa kwanza anawaogopa wahudumu.

Ni hayo tu
 
Ni kwa masikitiko kuwa wafanyakazi wa Baa ya New sideway iliyoko Bunju A Kinondoni DSM hasa wanaohudumia vinywaji wamekuwa na tabia mbaya sana ya ubaguzi katika kuwahudumia wateja.

Kama wewe hutoi offer au huna urafiki na wahudumu jua imekula kwako. Unaweza kufika unakaa unasubiri mhudumu akusikilize haji na unawaona wapo tu karibu wamekaa makundi makundi wakipiga soga ila cha kushangaza akija mshikaji wao wataamka fasta kumkimbilia na kwenda kumsikiliza. Inakubidi usubiri au uite kwa kulazimisha ndo atakuja kukusikiliza na akishakuhudumia anapotea jumla kwenda kukaa na washkaji wao.

Ukweli ni kuwa wahudumu wa hii baa ni wapuuzi wakubwa hawajielewi na wataua hii baa muda si mrefu, watu wengi hawaridhishwi na tabia hizi wanaenda tu kwa vile hakuna namna ila endapo patatokea Bar mbadala basi wajiandae kufa kifo cha mende.

Nimehama rasmi hii baa nakunywa zangu maeneo ya Boko, au Tegeta au Mbezi.

Najua watajitetea ni wivu au vita za kibiashara ila huo ndo ukweli . Meneja naye hajielewi kabisa kwanza anawaogopa wahudumu.

Ni hayo tu
Nimewahi kutana nayo hiyo hapo nikawalipua wakajitetea leo imetokea hapa
 
hahaaaa kweli bia tamu.....hamia River Wood Bunju B .. ama vuka daraja la bagamoyoo kuna viwanja vya kujinafasi kama Kimele Resort au Ndoto Pole Pole (hapa lazima ufanye booking)

.. Meneja naye hajielewi kabisa kwanza anawaogopa wahudumu.....meneja amelewa huduma ile ya baadae ya wahudumuuu

mbona vijiwe viko vingi sanaa we unakariri sehemu moja tuuuu .... ka una kifua vuka nenda apo jirani pana Posto Bella Garden yenye had swiming pool .... ama kula akapulco mbweni ... ama njoo huku kwetu Gobaaa
 
Ukitaka mswahili afanye Kazi yako vizuri mlipe kwa kazi au kwa kutwa au kwa commission Ili ajiibie mwenyewe,mlipe kulingana na alivyozalisha.
Mswahili ni mtu anayependa tabu na dhiki ukimuweka kivulini ni lzm arudi juani.
Kwa hiyo ww ni mchina au
 
Nimewahi kutana nayo hiyo hapo nikawalipua wakajitetea leo imetokea hapa
Kwani hakuna meneja wa bar hapo? Tatizo wa Swahili hatujui kutoa huduma kwa Wateja na kuwasikiliza wa teja tatizo lina anzia kwa uongoz kuto wajari wafanyakaz na kuangalia mauzo tu, na kuto fatilia utendaji wa staff
 
Back
Top Bottom