Kwa nini ma ISP wa Tanzania hawatoi SLA kwa wateja wao

kazz

Member
Sep 13, 2012
24
7
Ina kuwaje una chukua alama za videlo, majina yangu, anuwani ya ninapoishi wakati huo huo mdawote unajua nikowapi nafanya nini alafu mimi kama mteja nini ninacho pata? Kibaya zaidi nikwamba Hizo tarifa unazo zichukua wala huniambi utazitumiaje zaidi yakuniambia nikwajili ya usalama wangu mhh tunapozungumzia swala la taarifa binafsi kuvuja mitandaoni mara nyingi nawasikia watu wakilalamika kuhusu tuvuti zinazo kua zina wafuatilia "track" nakuthani kwamba hizo tuvuti au tuvuti za sehemu ya tatu "third party" zime husika na kuuza tarifa za wateja wao Kwa namna moja au nyingine lakini tunasahau kwamba kabla yakufika kwenye hizo tuvuti huyu mtoa huduma wetu ISP je yuko vizuri hawezi kuuza tarifa zetu ukizingatia yeye anatarifa nyingi sana muhimu na anatujua vilivyo kuliko hata hao ambao tunawatilia mashaka, nina weza nikawa makini ninapo toka kwenye internet kwa kuhakikisha mda wote niko kwenye VPN lakini ambaye na mdanganya nikitumia VPN ni hizo tuvuti nitakazo kuwa na zipitia ISP kama ISP yeye bado simdanganyi kihivyo kwani angalau kwa uchache atajua kwamba mteja B ameunganishwa kwenye server ya Argentina xyz kinachoendelea yuma ya pazia ndiyo yeye hawezi kujua labda xyz atuuze kwa kumpa taarifa kituambacho wanaojitambua hawa subutu kufanya.

Sasa basi kama hawa ISP wanatarifa muhimu sana za wateja wao tena ni sisitize kwamba ISP anakujua vizuri kuliko mtu unaeishinae nyumba moja hatari sana
Lakini bahati mbaya sana mpaka sasa hivi data zako nizake na anaweza kuzifanya chochote kile atakavyo jisikia bila kuingiliwa nayoyote yule siyo poa. Hakuna uhusiano mzuri kati ya mtoa huduma na mteja, nathani ma ISP wanasema mteja kwetu ni m^&**€£#$@@÷&¥^e ukizingatia katika hali ya kawaida ya maisha ya sikuhizi tunalazimika kuwa na vitu kama simu na internet kwa waliyo wengi haikwepeki wao ndiyo wamechukulia kama fursa ya kuuza tarifa za watu manayake wana jua piga galagaza mtakuja tu.

Kitu ambacho wamesahau nikwamba wana hudumia wananchi na ukitaka kutoa huduma iliyo bora inabidi umlinde nakumjali yule unaye mhudumia kwa sababu kutoa kwako huduma kuna mtegemea yeye mtumiaji kama huna watu huduma yako hata iwe zuri vipi ni bure
Kwa hiyo ISP kabla yakuwapa tarifa tunazo wapa inabidi kuingia nao mikataba ambayo pamoja nakutuhakikishia kwamba huduma itakua inapatikana kwa 99.9% lakini wakiri kwamba hawata toa tarifa za mteja wao yoyote yule haijalishi nani anazihitaji hizo tarifa.

Miaka ya nyuma wakati internet ilipokuwa changa tuvuti nyingi zilikuwa zipo "static"
Zilikua hazitoi fursa ya mwingiliano kivile ilikua unasoma kile ambacho developer kaandika biyashara inaishia hapo uwezo wa watu wakawaida kuchangia hoja au kuandika machapisho yao haukuwepo na hicho kipindi tulikuwa tupo kwenye Web1.0
Hapo unaweza ukatengeneza hoja kwamba ilikua sahihi kutokua na mikataba na wateja mhh....(bado yalikuwa makosa) hiyo ilienda kuanzia 1999 mpaka 2004 baada yahapo tukaingia kwenye Web2.0 ambapo ndiyo tupo hapa kila mtu anafursa yakuwa anachotaka kwa sababu teknologia inatuwezesha lakini ISP ndiyo hawataki kubadilika kama yupo anae ua ubunifu nitasema ni ISP matoke yake imetulazimu tusoge kwenye Web3.0 lakini hapa bado kuna changamoto application kama application zipo salama kwa sababu
Hakuna miliki moja wa application lakini tukumbuke kwamba ili kuzifikia hizo application bado tuna muhitaji ISP ambaye bado anathani kuuza tarifa za wateja wao ndiyo deal yani imekuwa kama mzunguko flani ambao hauna mwisho lakini kwa vile biyashara ni ushindani ISP atakae toa mikataba na kuwajali wateja wake kwa kutouza tarifa zao huyo ndiye atakaye kwa vile bado hatujafika hapo chezeni kwa uangalifu ma ISP wetu tunawalipa watuuze siyo poa.
 
Andiko kuntu. Naomba mtu asaidie kuwatag TCRA wamelala sana.

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Ndomaana tunatumia internet bure, wao si wajanja, wauze taarifa zetu, nasisi hatununui mabando ila tuna Google na kustream 24/7 kupitia miundombinu yao.
 
Kumbe kuna watu mnakula mema ya nchi pekeyenu
 
ISP kukaa na taarifa zako sio takwa lake, Serikali yako ndio inalazimisha awe na taarifa zako ili iweze kukuthibiti.

Kifupi serikali yoko ndio tatizo maana haijali faragha za wananchi wake.
 
Nimekupata, ndiyo maana nikasema ma ISP wa toe SLA kwa wateja wao. Kwa sababu itafanya iwe vigumu kwa mtu watatu kwenye kisa hiki "Sirikali" kuingilia kwa sababu wa kija na shindikizo ISP anasema na mkataba na mteja kama nikienda kinyume na mkataba mteja wangu atanishitaki na kunitoza faini je wewe "Sirikali" utafidia hiyo faini na jinalagu kuchafuliwa?? Alafu tuone wana jibu nini? Kumbuka "Sirikali" ipo Kwajili yakuwahudumia wananchi na imewekwa na wananchi inapaswa kuheshimu maamuzi na matakwa ya wananchi na siyo vinginevyo walio kuwepo "Sirikalini" wapo kwa sababu wananchi tumetaka wawepo na siyo vinginevyo
 
Back
Top Bottom