Ninamiliki kituo Cha mafuta, mshindani wangu anauza Sana kuliko mimi. Nini nikifanye kuongeza mauzo na wateja

malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
2,780
2,716
Wakuu Kama nilivoelezea hapo hapo juu namiliki kituo Cha mafuta. Nina changamoto yakushuka mauzo kulinganisha nahapo awali mauzo yamepungua baada yakuongezeka vituo viwili vingne vya mafuta.

Nini nifanye kuongeza mauzo au kuvuta wateja Zaid ukizingatia washindani wangu wana nguvu zaid yangu maana hawakodi magari Bali wana magari yao yakuwabebea mafuta pindi waendapo nunua mafuta katika madepot ya jumla. Sasa wakuu nin nifanye kuongeza mauzo ktk Hali hii
 
Toa bonus nzuri kwa drivers wa hiace.pia yawezekana Ile ya kwanza inakimbia upepo baadaye ndo mafuta yanakuja. Drivers huwa ni wajanja kujua Kama unaiba ama la.
Mkuu bonus Kama ipi kwa drivers. Alafu mim huwa siibi hata kipimo changu kipo net haibiwi mtu
 
...Shida moja kubwa Ni kwamba unaowaomba ushauri humu wengi wao hata biasharaa za million 9 wanazisoma kwenye threads. Wewe mwenyewe na wasiwasi kama una kituo cha mafuta kweli.. naona mengi kwenye game hujayajua"
Joke tu
Niulize chochote unachodhani sikijui mzee kwenye game hili
 
Back
Top Bottom