Lady Mwali
Senior Member
- Nov 15, 2018
- 147
- 332
Wafanyabiashara hao wameamua kuondoka kutoka katika soko hilo kwa kukosa wateja hali iliyopelekea biashara kuwa ngumu.
Wafanyabiashara hao hawajui watalipa vipi madeni wanaodaiwa na taasisi mbalimbali za fedha.
Ikumbukwe soko hilo limejengwa na serikali kwa gharama ya shilingi bilioni 5. Pesa hizi ni za walipa kodi. Serikali haijafanya uchunguzi wa eneo hili kama lina wateja wa kutosha.
Wasafi Radio.