watatu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Jeshi la Polisi lawakamata Watu watatu wakiwa njiani kutorosha Punda 21 kwenda Nchi jirani

    Jeshi la Polisi kupitia Kikosi cha Kuzuia Wizi wa Mifugo Nchini (STPU) Kwa kushirikiana na Shirika lisilokuwa la kiserikali la ASPA limefanikiwa kuwakamata Watuhumiwa Watatu waliokuwa wakitorosha Mifugo aina ya Punda 21 kwenda Nchi jirani pasipo kuwa na kibali. Kamanda wa Kikosi hicho, Kamishna...
  2. Pdidy

    Trafiki Kawe/na polisi kanzu wanahitaji kubadilishwa haraka kwa tuliowaona leo tena mbele ya kituo

    Inasikitisha sana sana anyway Mnamu saa tano asbh tar 18 feb Traffic mmoja mwembamba akishirikiana na wenzie watatu wakiwa mbele ya kituo cha polisi kawe walianza kukamata pikpik.. toyo... na bajaji Hatujakataa kukamata njia walizotumia ni hatarishi mh rto hata rc wetu aliepita alipiga...
  3. Doto12

    Mke anaruhusiwa kuwa na wanaume wawili watatu?

    Hili la wanawake kuwa na wanaume wengi limekuwa kama sheria waliyoipitisha wenyewe. Yaani asilimia ndogo sana wanawaume zao baasi, hawa 1970 hadi 1990, hawa wa 2000 kuja 2010 asilimia kubwa wana mabwana zaidi ya wawili watatu, nani kawaruhusu? Kama huamini na kama ni kidume chukua mtoto wa...
  4. Inside10

    Chama cha Mapinduzi kimepoteza wabunge watatu kwa muda mfupi kuanzia Disemba 2025 hadi February 2026

    Chama cha mapinduzi kimepoteza wabunge watatu kwa muda mfupi kuanzia disemba 2025 mpaka February 2026 Mbunge Jenista Mhagama alifariki 11 Disemba 2025 Mbunge Halima Nassor alifariki 18 January 2026. Munde Tambwe alifariki tarehe 3 February 2026 Pole ziende kwa rais na chama chake.
  5. ELI COHEN

    Kama unaujua mpira vizuri, historia na positioning, ebu chagua viungo watatu bora kutoka katika picha hii

    Hao waliosimama ni lothar mathaus na dunga Mimi: Mathaus Keane Makelele
  6. ERTUGRUL BEY

    Haikuhitaji Marekani kutumia ndege na tanks kuiangamiza Caracas, walihitaji walinzi watatu tu kufanikisha mchongo mzima

    My people, Habar iliyopo duniani sasa hivi ni kukamatwa kwa Maduro wa huko Venezuela, hapa nakuletea habar za kikachero kutoka Caracas. Pentagon,Marekani Mpango mzima ulianza mwaka mmoja uliopita pale ambapo Marekani ilikuwa inatafuta washirika wa kuwasaidia kufanikisha hii operation...
  7. ELI COHEN

    Trump wa US, Netanyahu wa Israel na Nayib wa El Salvador ndio viongozi watatu bora duniani kwa sasa

    Nayib ameweza kushinda mtandao wa unbazilifu, rushwa na magenge uliokuwa unaendesha nchi, ameweza kuitoa el salvador katika list ya nchi hatari duniani kwa kupambana na uharifu vikali. Trump ameweza kurudisha amani kwa nchi mbali zilizo kuwa na vita, ameirudisha marekani katika kiti uchumi bora...
  8. Foffana

    Tukielekea kufunga mwaka taja Members wako bora watano kwa mwaka huu 2025-Top 5

    Tupo ukimgoni wa mwaka huu uliokuwa na shuruba nzito nzito Kwa hakika ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu mpaka leo imetukuta tukiwa tunavuta pumzi yake Hawa ni members bora kabisa kwangu kwa huu mwaka 2025 1. Binti wa zamani at the top 2. Manyanza 3. Sizinga 4. Chief-Mkwawa 5...
  9. DR HAYA LAND

    Binadamu watatu wema hapa duniani

    🍂🍂🍂
  10. tonicimmobility

    Kimbunga cha MELISSA chakaribia Jamaica, watatu wafariki

    Soma pia: Kimbunga Ragasa chafika China baada ya kuua watu 17 Taiwan Kimbunga kikali kilichopewa jina la “Melissa” kinaripotiwa kuikaribia Jamaica kikiwa na kasi kubwa ya upepo na mvua nyingi. Wataalamu wa hali ya hewa wanasema kuwa kimbunga hicho ni dhoruba kali zaidi duniani mwaka huu, na...
  11. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Samia: Awali hatukufanya haki kwenye kugawana ardhi, kiwanja kimoja kinamilikishwa watu watatu watatu

    "Awali hatukufanya haki kwenye kugawana ardhi, kiwanja kimoja kinamilikishwa watu watatu watatu hasa hapa Dar Es Salaam, Migogoro ya ardhi unakuta shamba la mtu huyu anapewa hati mtu mwingine, lakini haya yote sasa yameondoka, ardhi yetu tumeipima, tunaendelea kuipima na kama mmesikia nilisema...
  12. T

    Watatu waandamana Washington DC

  13. Munch wa Annabelle

    Hakikisha una waganga watatu wazuri

    Hii duniani ya sasa ukisema unamtegemea Mungu pekee yake utakua msindikizaji hadi unaingia kaburini, Mungu mshukuru kwa kukuleta dunia lkn waja wakitaka kukuondoa wanakuondoa hata Kabla ya siku zako. Waja wakitaka usipate riziki hupati utaambulia hela ya dagaa tu. Waja wakisema biashara yako...
  14. R

    Mbunge wa Narok atoa kauli Kuhusiana na Video iliyosambaa Mtandaoni ya ndugu watatu kumshambulia Dada yao Mjamzito kumkataa mwanaume waliyemchagulia

    Video inayosambaa mitandaoni imeibua hasira kubwa baada ya kuonyesha mwanamke mjamzito akishambuliwa vikali na wanaume watatu wenye fimbo katika Nkareta, Narok Kaskazini. Taarifa zinaonyesha kuwa mwanamke huyo, anayejulikana kama Lepeita, alishambuliwa na ndugu zake wa kiume baada ya kuchagua...
  15. Analogia Malenga

    Mmoja kati ya Watatu wa Afrika Kusini Hajawahi Kusikia Kuhusu Akili Mnemba (AI)

    Akili Mnemba (Artificial Intelligence au AI) hutumia kompyuta kufanya kazi ambazo kwa kawaida zingehitaji akili ya binadamu. Siku hizi AI inatumika katika maisha ya kila siku, mfano wasaidizi wa benki wa mtandaoni, roboti za kiafya zinazojibu maswali, magari yanayojiendesha yenyewe, hata...
  16. ndege JOHN

    Niambie wanyama watatu unaowapenda Sana huchoki kuwaona

    Mimi 1.Tembo-ni wapole, NI wazuri, wanaishi kwa ushirikiano,wanalindana na kupendana, wanapenda wanyama wengine,Wana AKILI na pia wataratibu. 2.Kuku-hasa vifaranga najisikia Raha Sana kushika vifaranga na nikasikia wakilia napenda wanavyoishi na mama Yao na kujifunza harakati pia wakiwa...
  17. T

    Nini kimetokea mpaka marais watatu wenye asili ya Ukristo wakafa ?

    Nini kimetokea mpaka taifa likapoteza marais watatu wenye asili ya ukristo je tunahitaji fungua kesi ya wazi kujibu hili swali gumu?
  18. K

    Tangu hawa watatu waondoke, Rais Samia kapwaya sana

    Tatizo la kuondoa vipaji na kuweka machawa ndiyo kunaonyesha mapungufu ya Raisi. Yule Raisi wa 2021-2022 sio huyu
  19. K

    Watoto watatu wafariki Kanisani Simiyu baada ya kulala kwenye hema lenye jiko la mkaa

    Watoto watatu wa kike wakazi wa kijiji na kata ya Mkula, Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, wamefariki dunia wakiwa kwenye makambi ya Kanisa la Waadventisa Wasabato wilayani hapo Chanzo cha tukio hilo kinadaiwa kuwa ni kukosa hewa baada ya kulala kwenye hema ambalo lina jiko la mkaa. Mkuu wa...
  20. Ojuolegbha

    Dereva wa Marais watatu: Safari ya uaminifu na simulizi za nyuma ya pazia

    DEREVA WA MARAIS WATATU: SAFARI YA UAMINIFU NA SIMULIZI ZA NYUMA YA PAZIA. Ismail Mputila, dereva mashuhuri aliyehudumia marais watatu wa Tanzania kwa zaidi ya miaka 25, amesimulia safari yake ya kipekee katika utumishi wa umma. Kazi yake ilianza kama mfanyakazi wa kawaida kabla ya kupanda...
Back
Top Bottom