Tupo ukimgoni wa mwaka huu uliokuwa na shuruba nzito nzito
Kwa hakika ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu mpaka leo imetukuta tukiwa tunavuta pumzi yake
Hawa ni members bora kabisa kwangu kwa huu mwaka 2025
1. Binti wa zamani at the top
2. Manyanza
3. Sizinga
4. Chief-Mkwawa
5...
Soma pia: Kimbunga Ragasa chafika China baada ya kuua watu 17 Taiwan
Kimbunga kikali kilichopewa jina la “Melissa” kinaripotiwa kuikaribia Jamaica kikiwa na kasi kubwa ya upepo na mvua nyingi. Wataalamu wa hali ya hewa wanasema kuwa kimbunga hicho ni dhoruba kali zaidi duniani mwaka huu, na...
"Awali hatukufanya haki kwenye kugawana ardhi, kiwanja kimoja kinamilikishwa watu watatu watatu hasa hapa Dar Es Salaam, Migogoro ya ardhi unakuta shamba la mtu huyu anapewa hati mtu mwingine, lakini haya yote sasa yameondoka, ardhi yetu tumeipima, tunaendelea kuipima na kama mmesikia nilisema...
Hii duniani ya sasa ukisema unamtegemea Mungu pekee yake utakua msindikizaji hadi unaingia kaburini,
Mungu mshukuru kwa kukuleta dunia lkn waja wakitaka kukuondoa wanakuondoa hata Kabla ya siku zako.
Waja wakitaka usipate riziki hupati utaambulia hela ya dagaa tu.
Waja wakisema biashara yako...
Video inayosambaa mitandaoni imeibua hasira kubwa baada ya kuonyesha mwanamke mjamzito akishambuliwa vikali na wanaume watatu wenye fimbo katika Nkareta, Narok Kaskazini. Taarifa zinaonyesha kuwa mwanamke huyo, anayejulikana kama Lepeita, alishambuliwa na ndugu zake wa kiume baada ya kuchagua...
Akili Mnemba (Artificial Intelligence au AI) hutumia kompyuta kufanya kazi ambazo kwa kawaida zingehitaji akili ya binadamu. Siku hizi AI inatumika katika maisha ya kila siku, mfano wasaidizi wa benki wa mtandaoni, roboti za kiafya zinazojibu maswali, magari yanayojiendesha yenyewe, hata...
Mimi
1.Tembo-ni wapole, NI wazuri, wanaishi kwa ushirikiano,wanalindana na kupendana, wanapenda wanyama wengine,Wana AKILI na pia wataratibu.
2.Kuku-hasa vifaranga najisikia Raha Sana kushika vifaranga na nikasikia wakilia napenda wanavyoishi na mama Yao na kujifunza harakati pia wakiwa...
Watoto watatu wa kike wakazi wa kijiji na kata ya Mkula, Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, wamefariki dunia wakiwa kwenye makambi ya Kanisa la Waadventisa Wasabato wilayani hapo
Chanzo cha tukio hilo kinadaiwa kuwa ni kukosa hewa baada ya kulala kwenye hema ambalo lina jiko la mkaa.
Mkuu wa...
DEREVA WA MARAIS WATATU: SAFARI YA UAMINIFU NA SIMULIZI ZA NYUMA YA PAZIA.
Ismail Mputila, dereva mashuhuri aliyehudumia marais watatu wa Tanzania kwa zaidi ya miaka 25, amesimulia safari yake ya kipekee katika utumishi wa umma. Kazi yake ilianza kama mfanyakazi wa kawaida kabla ya kupanda...
Siku hizi imekuwa kawaida kabisa kuona wanawake wa kilokole wakipost picha za wachungaji wao kwenye status huku wakisema “DADDY” – yaani “Baba yangu.”
Hawa wachungaji ni wale wa kilokole wanaosifika kwa miujiza ya kustaajabisha kama kuuza mafuta ya upako, keski za upako, kujaza gesi ya mtungi...
Kuna watu wanaojiuliza: “Kama Mungu ni mmoja, kwa nini Wakristo husema kwamba kuna Baba, Mwana na Roho Mtakatifu? Je, wanaabudu Mungu watatu?"
Kabla ya kujibu swali hilo ngoja nieleze nafsi ya mwanadamu ni nini. Ukiielewa nafsi ya mwanadamu itakuwa rahisi kufahamu vizuri nafsi tatu za Mungu au...
Salaam!
Mapacha watatu,Vijana wababaifu waliotutambia Enzi zile kwamba hatuwawezi kwa lolote ni yule wa Mtama, Tanga na Singida.
Sasa wajumbe wamekosea kumkata mmoja na kuwaacha wawili ndani,
Ombi: Tunawaomba wajumbe wamalizie kazi ikibidi watuongeze na mmoja zaidi wa pale Geneva ya Africa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia Wende Luchagula, Miaka 30, Kabila Msukuma, Mkazi wa Kijiji cha Milonji kwa kosa la mauaji baada ya kuwa chinja watoto wa mke mwenzake watatu mpaka kufa.
Tukio hilo limetokea Julai 12, 2025 majira ya saa nane mchana huko Kijiji cha Milonji, Kata ya...
Takriban watu watatu wameuawa na wengine kumi na wanne wamejeruhiwa leo Ijumaa hii, Juni 27, katika shambulio la anga la Urusi kwenye mji wa Samar, katika mkoa wa Dnipropetrovsk - katikati-mashariki - gavana wa mkoa ametangaza.
Watu watatu wamepoteza maisha yao katika shambulio la adui. Watu...
Ayatollah Khamenei amechagua warithi watatu, watarajiwa akiwa amejificha chini ardhini ) Kiongozi Mkuu wa Iran Ali Khamenei amewateua makasisi watatu kama warithi watarajiwa akiwa amejificha kwenye chumba cha kulala. chini ya ardhi huku akikabiliwa na...
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimetangaza kuwapandishwa vyeo wahadhiri wake watatu kutoka cheo cha Mhadhiri hadi Mhadhiri Mwandamizi.
Waliopandishwa ni: Dk. Mamta T. Pandey – Idara ya Sosholojia na Anthropolojia (COSS), Dk. Teresia E. Nkya – Idara ya Vimelea na Parasitolojia, Chuo cha Mbeya cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.