Hakikisha una waganga watatu wazuri

Hakikisha una waganga watatu wazuri

Kubwa la Maadui

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
7,990
Reaction score
15,809
Hii duniani ya sasa ukisema unamtegemea Mungu pekee yake utakua msindikizaji hadi unaingia kaburini,

Mungu mshukuru kwa kukuleta dunia lkn waja wakitaka kukuondoa wanakuondoa hata Kabla ya siku zako.

Waja wakitaka usipate riziki hupati utaambulia hela ya dagaa tu.

Waja wakisema biashara yako isinunulike hainunuliki.

Waja wakisema ukalime, ukapalilie na ukavune mashamba yao bila ujira na hiari yako utafanya tu.

Waja wanaweza kukufanya lolote muda wowote.

Hivo zingatia title ya uzi, ukijiona amri 10 za Mungu huzitimizi basi haupo salama unapumua Sababu waja wanataka upumue

Nawasilisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom