watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanolipa income tax ni kama million 2 hivi kati ya watu million karibia 70 hili ni janga kwa Taifa

    Watanzania wanolipa income tax ni kama million 2 hivi kati ya watu million karibia 70 Kuna post mtu alisema watanzania wanaolipa kodi ni million 2 cha ajabu watu wakamshambulia sana kwamba tunalipa kodi Ila nilichogundua watanzania bado wapo gizani na wengi hawaelewi kwamba kuna kodi za aina...
  2. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu TABOA; Watanzania Wajiandae Na Nauli Mpya

    Watanzania wajiandae gharama za usafirishaji tutaziongeza kwa sababu ukifika Stendi ya Magufuli ushushe uchukue lori au usafiri mwingine ukodi upeleke ofisini kwako ili yule anayekuja kupokea huo mzigo aukute ofisini kwako. "Na tunasikitika sana Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba alituomba baada ya...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wizara: Ubalozi wa China umesema hakuna vikwazo vya kisera kwa Watanzania wanaoomba visa za China

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI MAOMBI YA VISA ZA CHINA KWA RAIA WA TΑΝΖΑΝΙΑ Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa kushirikiana na Ubalozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania zimeendelea kutoa taarifa za mara kwa mara kwa umma kuhusu mchakato wa maombi ya visa za...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania JNHPP imewashwa na ndoto za watanzania zimetimia

    Julius Nyerere Hydropower Project ni miongoni mwa miradi mikubwa zaidi ya miundombinu ya nishati nchini ikiwa na uwezo wa MW 2,115. Ukubwa wake unaonyesha dhamira ya Tanzania kuongeza uwezo wake wa kuzalisha nishati na kuimarisha msingi wa uchumi wake kwani ni mradi mkubwa wenye maono makubwa...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayala leo ameongea jambo la msingi. Watanzania wakatae haki za kuhurumiwa kama Tundu Lissu alivyokataa

    Kama una makosa basi uhukumiwe kwa kosa lako. Kusema kukinukisha ni uhaini? Hata hata ule uhaini wa wale wanajeshi waliompinga hayati Nyerere hawakupindua kwa maneno kama haya. Walipanga kutumia vifaru na kuiteka Rtd
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mr Mapanga: Tanzania sio Nchi Masikini, Watanzania ndio Masikini. Nchi masikini halafu Rais anapita na gari mia na ya kitajiri tupu!

    Mr Mapanga amesema Tanzania si nchi masikini, bali Watanzania ndio wanaoishi katika hali ya umasikini, akidai kuwa rasilimali na vitega uchumi vya nchi viko mikononi mwa Serikali huku wananchi wakikosa manufaa yanayolingana na utajiri wa nchi. Amesema Tanzania ina vyanzo mbalimbali vya mapato...
  7. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kufuatia sakata la stendi ya mabasi ni wazi kuwa watanzania wengi bado hatupo tayari kwa utawala wa sheria na tunajicha kwenye "busara itumike"

    Kwanza kabisa niwatake radhi kwa kuchelewa kuandika huu uzi ambao ndo pia utatumika kama msimamo wa JF kwenye hili sakata la stendi ya mabasi Dar Es Salaam. Huko PM kumefurika messages nyingi sana za wanaJF wakitaka nitoe neno kwenye hii ishu. Bila kujali itikadi members wengi wamenisihi. Kuna...
  8. M

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hili somo la David Kafulila sasa naona limeeleweka kwa Watanzania

    == Mkurugenzi David Kafulila ameendelea kusimama kama sauti ya kizazi kipya cha viongozi wanaoelekeza Watanzania kwenye mustakabali wa taifa lenye uchumi ulio mkubwa ambao ni shindani na unaoshirikishisha watu wengi. Katika hotuba na mijadala yake, amesisitiza kuwa DIRA2050 si ndoto ya...
  9. V

    JamiiForums Tanzania Watanzania munaopenda haki acheni kuwaamini kirahisi wanasiasa wakongwe,na waliotisheka kuiba wanapodai wako upande wenu

    Habari Limekuwepo wimbi la akina Tibaijuka,akina Polepole,akina Ndugai, akina Warioba nk ambao walichangia pakubwa kuifanya Tanzania iwe jinsi ilivyo Leo.... Mfano;wote munaofahamu utawala wa Magufuri munamfahamu Polepole ni nani na alifanya mangapi lakini utashangaa munamuona mkombozi. Ata...
  10. Bishweko

    JamiiForums Tanzania Ombi: Tujumuike na kuwajibika kuenzi umoja wetu watanzania

    Watanzania wenzangu Mungu ni mwema bila shaka.Leo nimetafakari sana na mwisho wa siku imenibidi niandike ombi na wito kwetu watanzania. Hapana shaka kua kuna mambo ayako sawa sana asa kwenye nyanja ya siasa zetu. Ukweli wa ili jambo, nikupitia kwenye mitandao,maongezi ya watu, stori vijiweni na...
  11. Dumelang

    JamiiForums Tanzania “Uchuuzi” Biashara zinazowalemaza Watanzania

    Tanzania tuna vijana wengi wenye mitaji na wanaojua kufanya biashara. Tatizo mara nyingi si mtaji, bali ni namna tunavyoutumia mitaji yetu. Fikiria Kijana ana Sh milioni 10, 20, 50 au 100, mara nyingi anawaza kwenda China, ananunue nguo, viatu, vipodozi au vifaa vya simu, nk anarudi na kuuza...
  12. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Pole kwa watanzania ambao hela imewakataa

    leo nimeamua kuwapa pole ndugu zangu wote ambao mpaka leo hela imewakataa Pole sana ndugu zangu… najua sio rahisi kuamka account haina hata milion 3 kiukweli Sisi wengine tunaamka tunashika hela, tunakula kuku daily mpaka tushachoka, tunakunywa wine daily, tunachezea hela kamari… halafu tunalala...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tbs ifumuliwe upya / ivunjwe kunusuru afya za watanzania

    Kwa mda mrefu Tbs ni kama haipo, na kama ipo haifanyi kazi ipasavyo. kama ipo why vinywaji feki viwe ving mtaani hii ni hatari Wahusika chukueni hatua Shirika la viwango linahitaji mtu kama kama kamishina wa madawa ya kulevya 1.vunjeni tbs kiwe kitengo ndan ya mamlaka ya...
  14. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Magonjwa haya 10 yanasumbua watanzania wengi, Jifunze kutibu tatizo mojawapo husaidie jamii na kujipatia kipato

    1.UTI 2. PID 3.Vidonda vya tumbo 4.Bawasiri 5.Presha 6.Kisukari 7.Maumivu ya viungo na ganzi 8.Ngozi ya mafuta na chunusi 9.Ngozi kavu na mikunjo 10.Nywele kukatika au kutorefuka Tuma ujumbe whatsapp 0713 039 875 kuungwa kwa darasa BURE
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Watanzania zaidi ya milioni 50 wanakosa Lishe bora UN wabainisha.

    Ndugu zangu kama ripoti ya UN ni kweli basi bado Tanzania tuna umasikini mkubwa na naweza kukubaliana nao kwa sababu ni familia chache sana Tanzania zinazoweza kupata mboga za majani na matunda angalu kwenye mlo wa mchana na usiku au tuseme milo angalau miwili kwa siku bila kujali muda...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni wazi wananchi wa Zambia wameamua kuirejesha serikali yao madaraka kwa awamu ya pili, hakuna haja ya waliokataliwa kulaumu au kusingizia waTanzania.

    Kiongozi wa upinzani Zambia mh. Brian Muntayala Mundubile, ni vizuri akawa mtulivu na akaheshimu demokrasia na maamuzi huru ya wananchi wa jamuhuri ya Zambia kwa kumchagua tena Rais Hakainde Hichilema. Hakuna haja ya kusingizia waTanzania, wakati wananchi wa Zambia kwa uhuru, haki na utashi wao...
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania Katika Amri 10 za Mungu Watanzania wamekazana na Usizini lakinI SABATO haiwahusu wacha Mungu

    Hizi dini zinatuvuruga sana. Tunaambiwa tuamini Biblia, tumefundishwa Amri za Mungu kabla ya Ubatizo wala kuwa Mkiristo unaambiwa uzitaje kwa Kukariri. Tukija kwenye Maisha ya kawaida, amri moja inarukwa na haitekelezwi ambayo ni amri ya nne. Wachungaji wanakazana na usizini, usinywe pombe...
  18. B

    JamiiForums Tanzania hivi kwa nini wanaharakati uchwara hawajawaomba msamaha watanzania kwa yaliyotokea M29?

    Kuwaambia vijana maskini wanadamane M29 Ilikuwa upumbavu uliyopitiliza sana .kwa sababu hizi zifuatazo: 1.unawezaje kuzuia uchaguzi siku ya uchaguzi? yani watu wametumia muda wao ,peza zao kuandaa uchaguzi harafu wewe unakuja kufanya fujo za kuzuia uchaguzi?kama kuzuia uchaguzi ilitakiwa...
  19. KanyeWest_Tz

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania tuko hivi? Ni laana gani?

    Ila aisee kwanini sisi watanzania tuko hivi? Ni laana gani tuliyo nayo sisi? Katika pita pita mitandaoni nimejikuta nashangaa why! Watu wana make fun of juma jux. Ndo hao hao walomcheka akiwa haijawa na ndoa, ila leo kaingia kwenye ndo kawa kituko tena? Hii ndo sababu watu hawakai kwenye ndoa...
  20. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CCM , Nionyesheni Picha hata ya Mwandamanaji mwenye Bunduki, aliyeua Watanzania Oktoba 29?

    Kila siku CCM wapuuzi walia liaa, ohooo Kuna watu walilipwa, ohoooo kimeenda kimerudi. Upande wa pili, Watanzania Wana picha mbalimbali za Genge la Mauaji Sasa na nyie CCM, tuonyésheni picha hata Moja tu ya Mwandamanaji akipiga Risasi watu.
Back
Top Bottom