There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.
Kuwaambia vijana maskini wanadamane M29 Ilikuwa upumbavu uliyopitiliza sana .kwa sababu hizi zifuatazo:
1.unawezaje kuzuia uchaguzi siku ya uchaguzi? yani watu wametumia muda wao ,peza zao kuandaa uchaguzi harafu wewe unakuja kufanya fujo za kuzuia uchaguzi?kama kuzuia uchaguzi ilitakiwa...
Ila aisee kwanini sisi watanzania tuko hivi?
Ni laana gani tuliyo nayo sisi?
Katika pita pita mitandaoni nimejikuta nashangaa why! Watu wana make fun of juma jux. Ndo hao hao walomcheka akiwa haijawa na ndoa, ila leo kaingia kwenye ndo kawa kituko tena?
Hii ndo sababu watu hawakai kwenye ndoa...
Kila siku CCM wapuuzi walia liaa, ohooo Kuna watu walilipwa, ohoooo kimeenda kimerudi.
Upande wa pili, Watanzania Wana picha mbalimbali za Genge la Mauaji
Sasa na nyie CCM, tuonyésheni picha hata Moja tu ya Mwandamanaji akipiga Risasi watu.
Baadhi ya Watanzania wanataka viongozi wa Serikali waishi maisha ya kimasikini wakidai Mwl Nyerere aliishi hivyo ingawa si kweli alikuwa masikini
Watanzania wanadai kuwa Mwl Nyerere ndiye raisi wa mfano kuigwa kuishi maisha duni ya kimasikini na kuwataka viongozi wote waishi maisha sawa na yake...
Ndugu zangu Watanzania,
Anachofanya na kukifanya Rais Wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa Sasa ni Zaidi ya Uwajibikaji ,Ni Zaidi ya Kujitolea, ni zaidi ya kutimiza Majukumu yake ,ni zaidi ya kutimiza matakwa ya kisheria na kikatiba ,ni zaidi ya kutumikia nafasi ya...
Wana JF.
Mosi, naomba moderator usiunganishe huu uzi na nyuzi zingine zinazoongelea CCM. Huu ni uzi mahsusi.
Facts:
1. Tanzania ni nchi maskini sana katika viwango vya kimatataifa licha ya kujaaliwa na kila aina ya raslimali
2. Uchumi wa Tanzania unadhibitiwa na watu wachache sana licha ya...
Habari wakuu
Niende kwenye ujumbe moja kwa moja kumekuwa na tatizo ambalo tunalichukulia kwa masiahara sana kwa sababu madhara yake sio yanaweza kuonekana kwa macho na kwa haraka, tunajifariji kuwa betting ni Ajira, hili ni bomu ambalo baada ya miaka kumi mbele tunakuwa na jamii ya watu wenye...
Ndugu zangu Watanzania,
Ukiwa Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu Wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Maana yake ni Kuwa Umebeba Dhamana ya Maisha ya Watu. Maana yake ni Kuwa Maisha ya Watu yapo mikononi Mwako . Maana yake hatima za Kesho ya wananchi ipo mikononi mwako.
Maana yake ni Kuwa usalama...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema endapo chama hicho hakitashirikishwa kwenye maridhiano, maana yake itakuwa robo tatu ya Watanzania watakuwa hawajashirikishwa.
Akizungumza Agosti 3, 2026, katika kikao na viongozi wa Chadema Wilaya ya Tarime, Heche alisisitiza msimamo wa chama...
Nauliza tu kwa nia njema.
Hivi hawa Watanzania ambao kila siku tunaambiwa wanahangaikiwa sana mambo ya CHADEMA ni hawa hawa ninaowaona mitaani au kuna kundi jingine ambalo mimi sijawahi kuliona?
Maana mimi naona hawa hawa
wanaokesha kwa Mwamposa
wanaofungua Instagram kila dakika kuangalia...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la leo, ambayo ni kumshukuru na kumpongeza Makamu wa Rais Balozi Dr. Nchimbi kwa maneno makubwa ya maana sana yenye faraja na matumaini makubwa kwa Watanzania kuhusu katiba mpya. Kiukwe huyu mtu, anamsaidia sana Rais Samia na atawasaidia...
asante
balozi
faraja
katiba
katiba mpya
kuhusu
makubwa
maneno
maneno ya
matumaini
mpya
nchi
nchimbi
rais
rais samia
samia
sana
tanzania
tanzania mpya
watanzania
Baada ya harusi ya huko sijui katoro ,watanzania wengi wamehama na akili zao na kuamini pesa inapatikana kirahisi kama mtu atajichanganya kuingia kwenye chain ya biashara ya madini .
Ni kweli huko pesa inapatikana sawa na maeneo mengine tu , yaani huko pia kuna hitaji commitment, Imani na...
Pamoja na mabaya mengi ya Samia amesaidia kwa kiasi kikubwa kuwakuza viongozi wa Chadema na kukuza chama. Kitendo cha Chadema kutokuingia kwenye chaguzi fake zimeonyesha walikuwa sawa na ukweli Watanzania wanakubaliana nao. Yaani Samia alifanya makosa makubwa sana kupuuza Ushauri kabla ya...
Nimekuja kugundua tatizo letu kubwa sisi kama taifa ni ujinga..
Wakati mataifa mengine yakijikuza kiteknolojia/maarifa/ujuzi kuendana na dunia ya sasa sisi tunafanya juhudi gani kama taifa? Ni kama kila siku tunazidi kurudi nyuma hatujui tunapoelekea
Vijana wanakesha mtandaoni hawana cha maana...
Ugaidi ni tuhuma kali sana na ndio maana ni kosa ambalo linapingwa na kudhibitiwa kimataifa.
Gaidi wa Tanzania ni gaidi wa dunia nzima.
Kama ndio hivi, je Watanzania wanavyokamatwa kwa ugaidi. Watakata moyo mapambano dhidi ya uovu?
Haina Sapoti yoyote kwenye mitandao ya kijamii. Huku ndiko watu wanajadili maisha ya kila siku. Siasa ndio maisha ya watu. Inabeba kila jambo linalomhusu mwananchi.
Ukiingia kwenye kila mtandao wa kijamii.CCM imekataliwa na wananchi. Hii ni picha halisi hata kwa maisha ya uraiani CCM haitakiwi.
Hajaisha mpaka iishe.
Nimepata very classified information kuwa pamoja na Mafwele kutenda makosa makubwa ya uhalifu dhidi ya ubinadamu( Crime against humanity), alijua kabisa ipo siku atawindwa. Sasa Ili Aishi Kwa amani alihamisha familia yake Uko South Africa.
Sasa kama mjuavyo ubaya haudumu...
Kuna tofauti kubwa kati ya kujiajiri na kumiliki biashara, lakini mara nyingi tunavitumia kana kwamba ni kitu kimoja.
Wabongo wengi hatuna biashara bali tumejitengenezea ajira (tumejiajiri).
Biashara ya kweli haimtegemei mmiliki kwa kila uamuzi. Ina mfumo wa uendeshaji, watu wenye majukumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.