watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania Nchimbi hakuomba radhi na/au kuwapa pole Watanzania kwa serikali yao kuuwa maelfu, kutesa, kupoteza na kuwapa kesi za uongo

    Ushirika wa wachawi haudumu. Ni hivyo. Hivyoje? hivyo! Imma Nchimbi alikuwa na hamu ya ofisi na akasahau mamlaka ya damu yana laana. Lazima anajuta kuwa angefanya tofauti, ikiwemo kukaa nje ya dola la damu za Watu. That is basic decency. Tanzania will never be the same after Oktoba 29. Mamlaka...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku: CCM hawaamini kuna siku Watanzania watawaacha

    Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, amesema anaamini kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeanza kupoteza uelewa wa nafasi yake kama chama kinachoongoza serikali, huku akidai kuwa baadhi ya sera zake zimeanza kuachwa. Akizungumza kwenye...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mwigulu awataka Watanzania kuimarisha malezi, kulinda amani na kutimiza wajibu

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka Watanzania kuendelea kuimarisha malezi ya watoto na vijana, kulinda amani, kuheshimu tofauti na kutimiza wajibu wao kwa taifa, akisisitiza kuwa haki na wajibu haviwezi kutenganishwa. Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo Jumanne, Agosti 25, 2026, wakati...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kuna viongozi serikalini toka Tanzania bara mnaonwa kama wasaliti wa Tanzania bara; muda ukifika msije mkamlaumu mtu kwa yatakayowakuta

    Kuna viongozi wanaotoka upande wa Tanzania bara katika serikali hii ya awamu ya sita chini ya Raisi Samia ambao wananchi wa Tanzania bara wanawaona kuwa wasaliti wakubwa wa Tanzania bara, au kama wanavosema "wasaliti wa Tanganyika". Siku ikifika yakawakuta ya kuwakuta msije mkamlaumu mtu, kwa...
  5. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Utamaduni Wetu Unavyotufunga Kisiasa

    Katika kuangalia hali ya kisiasa inavyo kwenda sasa, kuna kitu kimoja ambacho wabongo wengi kama hatukioni ila ndo msingi mama wa haya yote na ndo maana hii nchi tumeshikwa kama mburula. Ni kuwa, watanzania(wamatumbi) culture na tabia zetu ambazo ziko ndani yetu zinatufunga. We've no common...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Kigaila waipongeza Serikali kwa kutimiza ndoto ya Watanzania

    Mbowe: "Vilevile nawapongeza TANESCO kwa upande wao na Wizara wamefanya kazi kubwa kusimamia jambo hili na kutimiza ndoto ya Watanzania kupata umeme wa uhakika. Megawati 2,115 kwa wakati mmoja so sio jambo la kitoto, ni jambo kubwa sana. Hasa inapokuwa kwamba fedha hizo zinatokana na kodi za...
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo upinzani watanzania waliouzoea na kuutaka

    Pa kukosoa kusoa sana na kupongeza pongeza sana maana nchi yetu ni hiihii wote. Umeme haubagui uwake nyumba gani wala nyumba ya nani. https://youtu.be/3iuacrmxUAs?si=x4MeKWCexU8UFxfF
  8. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Vipi watanzania Rais wetu amezindua mradi mkubwa na bado hamna furaha?

    Watanzania wenzangu mbona hamna furaha? Mradi mkubwa kama huu mmeamua kuupotezea?. Sioni zile bashasha za furaha kama kipindi cha JPM, miradi mikubwa ambayo jpm aliizindua ilipokelewa vilivyo na kumpongeza, vipi kwa mama mbona hamfurahi?
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nini kinawafanya Watanzania wengi waishi kwa matumaini makubwa sana kuhusu nchi yao ?

    Ukiwasikiliza watu wengi wa Tanzania wanaotamani mabadiliko wako na matumaini makubwa sana, wengi wanaamini kwa dhati kabisa ipo siku moja watesi wao watashindwa na kuanguka na nchi yao itakuwa yenye demokrasia pana na maendeleo tele. Ni nadra kukuta wenye mtazamo mbadala kwamba Tanzania...
  10. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Leo mradi unazinduliwa jambo la muhimu JPM aliwaahidi Watanzania umeme utashuka bei :

  11. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Atuma Dege Kubwa Kuwahi Kushuhudiwa Kwenye Anga La Madiba Kuwachukua Buree Watanzania Wote Wanaotaka Kurejea Nchini. Waambieni Ndugu Zenu

    Ndugu zangu Watanzania, Popote Ulipo Rais Samia anakufikia ,Rais Samia anamhali Mtanzania mmoja mmoja bila kumbagua yeyote yule. Kwake Rais Samia Mtanzania ndio kipaombele chake. Ni katika Msingi huo wa kuwajali na kuwapenda Watanzania Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania...
  12. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanolipa income tax ni kama million 2 hivi kati ya watu million karibia 70 hili ni janga kwa Taifa

    Watanzania wanolipa income tax ni kama million 2 hivi kati ya watu million karibia 70 Kuna post mtu alisema watanzania wanaolipa kodi ni million 2 cha ajabu watu wakamshambulia sana kwamba tunalipa kodi Ila nilichogundua watanzania bado wapo gizani na wengi hawaelewi kwamba kuna kodi za aina...
  13. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu TABOA; Watanzania Wajiandae Na Nauli Mpya

    Watanzania wajiandae gharama za usafirishaji tutaziongeza kwa sababu ukifika Stendi ya Magufuli ushushe uchukue lori au usafiri mwingine ukodi upeleke ofisini kwako ili yule anayekuja kupokea huo mzigo aukute ofisini kwako. "Na tunasikitika sana Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba alituomba baada ya...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wizara: Ubalozi wa China umesema hakuna vikwazo vya kisera kwa Watanzania wanaoomba visa za China

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI MAOMBI YA VISA ZA CHINA KWA RAIA WA TΑΝΖΑΝΙΑ Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa kushirikiana na Ubalozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania zimeendelea kutoa taarifa za mara kwa mara kwa umma kuhusu mchakato wa maombi ya visa za...
  15. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania JNHPP imewashwa na ndoto za watanzania zimetimia

    Julius Nyerere Hydropower Project ni miongoni mwa miradi mikubwa zaidi ya miundombinu ya nishati nchini ikiwa na uwezo wa MW 2,115. Ukubwa wake unaonyesha dhamira ya Tanzania kuongeza uwezo wake wa kuzalisha nishati na kuimarisha msingi wa uchumi wake kwani ni mradi mkubwa wenye maono makubwa...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayala leo ameongea jambo la msingi. Watanzania wakatae haki za kuhurumiwa kama Tundu Lissu alivyokataa

    Kama una makosa basi uhukumiwe kwa kosa lako. Kusema kukinukisha ni uhaini? Hata hata ule uhaini wa wale wanajeshi waliompinga hayati Nyerere hawakupindua kwa maneno kama haya. Walipanga kutumia vifaru na kuiteka Rtd
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mr Mapanga: Tanzania sio Nchi Masikini, Watanzania ndio Masikini. Nchi masikini halafu Rais anapita na gari mia na ya kitajiri tupu!

    Mr Mapanga amesema Tanzania si nchi masikini, bali Watanzania ndio wanaoishi katika hali ya umasikini, akidai kuwa rasilimali na vitega uchumi vya nchi viko mikononi mwa Serikali huku wananchi wakikosa manufaa yanayolingana na utajiri wa nchi. Amesema Tanzania ina vyanzo mbalimbali vya mapato...
  18. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kufuatia sakata la stendi ya mabasi ni wazi kuwa watanzania wengi bado hatupo tayari kwa utawala wa sheria na tunajicha kwenye "busara itumike"

    Kwanza kabisa niwatake radhi kwa kuchelewa kuandika huu uzi ambao ndo pia utatumika kama msimamo wa JF kwenye hili sakata la stendi ya mabasi Dar Es Salaam. Huko PM kumefurika messages nyingi sana za wanaJF wakitaka nitoe neno kwenye hii ishu. Bila kujali itikadi members wengi wamenisihi. Kuna...
  19. M

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hili somo la David Kafulila sasa naona limeeleweka kwa Watanzania

    == Mkurugenzi David Kafulila ameendelea kusimama kama sauti ya kizazi kipya cha viongozi wanaoelekeza Watanzania kwenye mustakabali wa taifa lenye uchumi ulio mkubwa ambao ni shindani na unaoshirikishisha watu wengi. Katika hotuba na mijadala yake, amesisitiza kuwa DIRA2050 si ndoto ya...
  20. V

    JamiiForums Tanzania Watanzania munaopenda haki acheni kuwaamini kirahisi wanasiasa wakongwe,na waliotisheka kuiba wanapodai wako upande wenu

    Habari Limekuwepo wimbi la akina Tibaijuka,akina Polepole,akina Ndugai, akina Warioba nk ambao walichangia pakubwa kuifanya Tanzania iwe jinsi ilivyo Leo.... Mfano;wote munaofahamu utawala wa Magufuri munamfahamu Polepole ni nani na alifanya mangapi lakini utashangaa munamuona mkombozi. Ata...
Back
Top Bottom