CHADEMA Watanzania wa leo si wa jana

fasiliteta

JF-Expert Member
Jul 2, 2014
2,165
3,655
Ndugu zangu CHADEMA ukweli tutauseme hata Kama hamtaki Ila tutasema tu, nyinyi ni jipu kubwa Sana katka ustawi wa vyama vya upinzani kiasi kupoteza Imani kubwa kwa wananchi tulowaamini kabla ya kuja kugundua uovu mloficha ndani ya nafsi zenu.

Hakuna wananchi wenye akili wanaoendelea kuwasapoti kwa Sasa hata mje na beti za mapambo na mapambio,nyinyi CDM mnauwezo mkubwa wa kupaka rangi nyeusi kuonekana nyeupe kwa kutumia chaki kisa tu ni nyeupe.

Watanzania wa Sasa si wa zama zile za miaka kumi nyuma.Hatutaki ujinga wenu wa uroho na uchu wa madaraka kwa njia yoyote(Haramu au halalali),yalotokea 2015 kwa upepo wa mabadiliko ovu yametufunza mengi Sana.Sasa tumeamka

Na kweli kabisa tumeamka Sana maana si kwa kuaminishwa kule mtu Fisadi papa miaka zaid ya 10 afu tubadilishiwe gia angani.

Watz wa juz,Jana si wa Leo maana si kwa ajenda za nchi Haina ndege Kisha zinunuliwe na tubadilishe ajenda kua ni ndege hazituletei kula.

WaTZ sisi so wale wa kuaminishwa kua tunataka democracy Kisha mwenyekiti wa chama adumu zaidi ya vipindi 3-4 huku akimfyekelea mbali kila aliyetaka hicho kiti.

WaTZ wa Sasa si wale wakihoji matumizi ya ruzuku basi wanafukuzwa ndani ya chama huku wakiangalia ruzuku zikitafunwa.

WaTZ wa sasa sio wale wa Jana wakuona gari ya chama ikiandikwa kadi ya umiliki jina la mwanachama.

WaTZ wa Sasa si wale wa Jana wa kukaa na Dr.slaa kupambania na kuusemea ufisadi Kisha tunayemtaja Fisadi papa na genge lake aje apewe nafasi ya kugombea huku Dr.slaa akiwekwa pembeni kisa tu Hana fedha ya kampeni.

WaTZ wa Sasa si wa Jana wa kuimba mabadiliko na kuzungusha mikono ya mabadiliko kwa ajili tu ya kuhalalisha uovu.

WaTz wa Sasa si wakuingia barabarani wavunjwe mikono Kisha familia zao zigharamike huku familia za viongozi wa CDM wakipiga zao Heineken,huku wakila Bata na kusoma ughaibuni.

WaTZ wa Sasa si wajinga kiasi Cha kujua Chama ni nn na Sacco's ni nn.

WaTZ wa Sasa si wa kuwaambia corona ipo Kisha wewe usionyeshe hata mfano wa tahadhari na kuunga mkono mikusanyiko huku 2meter Distance kugeuka zero distance.

Tuacheni unafiki tusonge mbele Kama nchi,CHADEMA Mnamakandokando mengi Sana.

SISI SI WADANGANYIKA TENAAAA.
 
Nasema hivi watanzania wengi bado ni wajinga tena sana!! Ambao miaka 55,bado wanategemea aliyewafikisha hapa ndio atakayewaondoa!!! Kiongozi anasema Tz, ni nchi tajiri sana, ila tumechezewa sana wakati huo ni chama chake na yeye kwenye serikali hiyo ana zaidi ya miaka 20!!!utafikiria ni chama kingine ndio kilikuwa kinaongoza!!! Leo hii watz hao wanaaminishwa ndio shujaa?!! Hao ni wajinga!! Maisha ni magumu sana kwao, lakini bado wanajipa moyo, sasa tunajenga madaraja kwanza watoto wetu ndio watakuja kufaidi?!! Chama chakavu kinafanikiwa kutokana na wananchi wengi kuwa wajinga hilo sina ubishi nalo mkuu!!!
 
LISU KWANZa
tapatalk_1597260712587.jpg
 
Wewe Mbona ni mbumbumbu juha zuzu kabsa watanzania ndiyo wapo mbele yako wewe bado ni kilaza acha kuleta mada ndefu za kijinga jinga unawachosha kusoma ufala wako, hakuna miradi ya CCM isiyo na kasoro kuanzia ununuzi wa Ndege ujenzi wa reli flyover bwawa la umeme kote kuna ufisadi na watanzania wa sasa wanajua lakini wewe mjinga umebakia huko huko kwa wajinga wa zamani mnaoishi kwa zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM, mmekariri ujinga mbaka mnafikiri maendeleo ni Hisani za CCM, maendeleo siyo pesa binafsi toka mfukoni mwa mwenyekiti wa CCM ni pesa za walipa kodi ambao wengi ni wapinzani na wananchi wasio na vyama.
 
Tofautisha wakati wa Sasa na ulopita,binadamu hupitia mabadiliko mbalimbali pia so so ajabu mtu kubadilika baada ya kukosoleqa,Sasa waliomadarakani wameonyesha mabadiliko hayo kiasi,Upande wa ndugu zetu CDM kuonekana kuyakataa hayandiyo inatuacha na butwaaa.Miaka zaid yakumi kupiga kelele.Walitaka tuendelee hvyohvyo ili tubaki kua mitaji yao ya kisiasa?
 
Watanzania wameamka ni wajanja kuliko wewe wanajua wapo wanaccm wajinga watetezi wa ujinga wa CCM acha kuijfananisha na watanzania wajanja bakia huko huko kwa vilaza wenzako mliokariri zidumu fikra zisizo sahihi za mwenyekiti wa CCM.
 
Hiyo tabia ya matusi sishangai,huenda ndo mafunzo kutoka kwa walokulea/kuwafurahisha mabwana zako hao wanaokutuma humu kuja kuwatusi watu
 
WaTZ wa 2015,siyo Hawa wa 2020 nduguu,punguza ujinga sometimes
 
Tofautisha wakati wa Sasa na ulopita,binadamu hupitia mabadiliko mbalimbali pia so so ajabu mtu kubadilika baada ya kukosoleqa,Sasa waliomadarakani wameonyesha mabadiliko hayo kiasi,Upande wa ndugu zetu CDM kuonekana kuyakataa hayandiyo inatuacha na butwaaa.Miaka zaid yakumi kupiga kelele.Walitaka tuendelee hvyohvyo ili tubaki kua mitaji yao ya kisiasa?
Wananchi wanajua CCM imepiga trilion 1.5 ikamtoa CAG kafara usidhani hawajui kuwa utawala huu wa kidikteta hauna ufisadi wanajua vingi kuliko wewe
 
Wananchi wanajua zaid kuna chama linamiki gari liloandikwa jina la mwanachama kadi ya gari.By CAG.

NYUMBU NI NYUMBU TU,HUA HAANGALIII NYUMA WALA KUSTUKA MPAKA AINGIE MDOMO WA MAMBA
 
Hiyo tabia ya matusi sishangai,huenda ndo mafunzo kutoka kwa walokulea/kuwafurahisha mabwana zako hao wanaokutuma humu kuja kuwatusi watu
Mabwana zako hilo ni tusi pia wewe matusi unayo, kuwatusi akina nani? acha kusemea wengine jisemee wewe binafsi inaelekea wewe hujui kuwa watanzania ni wajanja kuliko wewe na usikae ukavita Bangi ukajidanganya kuwa una Akili
 
Wananchi wanajua zaid kuna chama linamiki gari liloandikwa jina la mwanachama kadi ya gari.By CAG.

NYUMBU NI NYUMBU TU,HUA HAANGALIII NYUMA WALA KUSTUKA MPAKA AINGIE MDOMO WA MAMBA
Nyumbu ni CCM hata mbugani nyumbu wapo wengi kama CCM, Nchi ina miaka 59 haina maendeleo cha ajabu nyumbu za CCM zinadai kuna maendeleo? Maendeleo yapi? Tanzania ina rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani na kama siyo CCM mda huu Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri kuliko South Africa, German , China, Japan, America , Oman na mataifa mengi tajiri Duniani, ingekuwa siyo CCM mda huu Tanzania ingekuwa kwenye G5 hata ingekuwa na kura ya veto, utajiri uliopo Tanzania ni mkubwa lakini unatumika kudidimiza demokrasia badala ya maendeleo
 
Back
Top Bottom