Kwanini Watanzania wanaachana na taaluma zao na kukimbilia kwenye siasa?

Ili tuendelee tunahitaji;
i. Watu
ii. Ardhi
iii. Siasa safi
iv. Uongozi bora
Katika hivyo vitatu cha tatu ndio hasa kinachovutia wawekezaji
 
Mishahara mikubwa wanapewa wanasiasa , pension wanapewa kwa wakati.Serikali haijaliwenyetaaluma inajalivigagulo akina Ole Sabaya
 
Hii haina afya kwa taifa kwamba wanataaluma wanazitelekeza sekta zao na kuhamia siasani.

Hivi siasani kuna nini cha ziada wanachopata?

Niishie hapo kwa kifupi.

Maendeleo hayana vyama!
Jibu kuu ni Sera mbovu za Chama cha mapinduzi ambazo zimefanya kudharaulika kwa taaluma na utaalamu hivyo kupelekea kila mtu akimbilie siasa kwa sababu ya kupata maslahi bora!!
 
Hili ni moja ya makosa makubwa sana ya awamu yetu hii ya tano. Kuthamini zaidi siasa kuliko taaluma hakika gharama zake tutazilipia. Hao wakifika huko siasani wanaanza kuwaambia vijana wajiajiri.

NINA HAMU YA KUJUA ILANI YA CCM KIMEWEKWA NINI SAFARI HII.
 
Umenikumbusha Daktari Kigwangalla!
 
Hii haina afya kwa taifa kwamba wanataaluma wanazitelekeza sekta zao na kuhamia siasani.

Hivi siasani kuna nini cha ziada wanachopata?

Niishie hapo kwa kifupi.

Maendeleo hayana vyama!
Kama ni kweli haujui, basi una shida kwenye ufahamu wako kutokana na Tanzania kuwa na matabaka makubwa zaidi.
 
Hii haina afya kwa taifa kwamba wanataaluma wanazitelekeza sekta zao na kuhamia siasani.
Hivi siasani kuna nini cha ziada wanachopata?
Niishie hapo kwa kifupi.
Maendeleo hayana vyama!
Tumeguswa na uzalendo na kazi nzuri ya JPM, hivyo tumejitokeza kwa wingi kuunga mkono juhudi ili tukamsaidie.
Mimi sababu zangu nimezitaja hapa

P
 
Hii haina afya kwa taifa kwamba wanataaluma wanazitelekeza sekta zao na kuhamia siasani.

Hivi siasani kuna nini cha ziada wanachopata?

Niishie hapo kwa kifupi.

Maendeleo hayana vyama!
Ajira hakuna ajira hakuna ajira hakuna miaka 5
 
Watumishi wa Umma mwaka wa 5 huu wamepigwa pini,kwenye siasa watu wanatoboa!Ukiangalia mfano Makonda,miaka 8 kwenye uongozi imetosha kumfanya tajiri mkubwa sana na maisha ya kifahari!
Niambie kwa watumishi,mpaka wanastaafu wako na maisha yaleyale!Nani ataacha kutamani siasa?
 
Back
Top Bottom