watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

    Watanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura Rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Afrika wa mwaka. Rais Magufuli anashindanishwa na Marais wa Djibouti, Afrika Kusini, Senegal na Ghana wakiwa kwenye tano bora Japo Magufuli anaongoza...
  2. JamiiForums Tanzania Mbatia: Uchaguzi uliopita umetuacha uchi kama Taifa. Watanzania wamekata tamaa kwa Siasa zinazoendelea Nchini

    JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi amesema, uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 2020, umelivua nguo Taifa. Anaandika Yusuph Katimba, Dar es Salaam…(endelea). Katika waraka wake wa Kheri ya Mwaka Mpya 2021, alioutoa kwa wanachama wa chama hicho na Watanzania amesema, Taifa limeingia...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini TBC wanashindwa kununua mechi za Fenerbahçe watanzania wamuone Samatta?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Kwanini TBC wanashindwa kununua mechi za Fenerbahçe watanzania wamuone Samatta? Tulishindwa kununua mechi za Aston Villa kwa maana ligi kuu ya Uingereza inajuliakana kuwa ni aghali dunia nzima...
  4. JamiiForums Tanzania Salamu za Mwaka Mpya 2021 kwa Watanzania, Tundu Lissu atoa mwongozo wa kudai Tume Huru ya Uchaguzi

    Akitoa salamu za Mwaka mpya wa 2021 kwa wananchi wa Tanzania, Mh Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema , ametoa mwongozo wa kudai Tume huru ya uchaguzi kuanzia sasa, amesema kwa hali ilivyo nchini Tanzania ni vigumu kushiriki uchaguzi wowote bila Tume huru ya uchaguzi Amewaomba wadau...
  5. JamiiForums Tanzania Unajua ni kwa nini wayahudi wengi sana matajiri sana dunia nzima? Watanzania tuwaige

    Sio rahisi sana kumkuta myahudi maskini ni vigumu mno sababu zake hizi hapa watanzania tuwaige
  6. JamiiForums Tanzania Nawatakieni heri ya mwaka mpya 2021

    Bandugu, Heri ya mwaka mpya 2021, Mungu awatunze mfikie malengo yenu. Kama una povu siyo mbaya ukalimwaga Stay blessed.
  7. JamiiForums Tanzania Kauli ya kuitwa 'wanyonge' ndio silaha hatari wanayoitumia viongozi ili wananchi wasitoke nje ya boksi

    Tangu kuchaguliwa kwa John Magufuli kuwa Rais wa Tanzania, msamiati wa "wananchi wanyonge" umeleta mjadala mkubwa sana kwenye medani za siasa hapa nchini. Rais Mwenyewe amekuwa kila mara akihanikiza kwamba yeye ni "Rais wa wanyonge" Ni nani hao watanzania wanyonge ambao kila mwanasiasa wa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tunaanza kutengeneza kizazi cha watoto au watanzania wasiojua vizuri kiswahili kama ilivyo kwa wahindi licha ya kuzaliwa na kukulia humu nchini

    Kila kitu kina faida na hasara zake.Moja ya faida ya hizi shule za kisasa ni watoto kujua lugha ya malaika angali wakiwa na umri mdogo na kuwa fluent tofauti na wale wanaosoma shule za St. Kayumba. Hata hivyo, kuna kasoro naiona na ambayo baada ya muda, tutakuja kuiona huko mbele na hii si...
  9. JamiiForums Tanzania Tafakuri: Japokuwa Wapinzani mnamchukia Mkuu wa Kaya, lakini Watanzania wanamshukuru Mungu kuwa na Rais kama huyu

    Wanabodi kabla sijajikita kwenye mada husika naomba niwaweke sawa kuwa upinzani hapa Bongoland umekufa sababu ya CCM kujirekeibisha na kufanya yale watanzania walikuwa wanayatarajia kwa muda mrefu hasa vita dhidi ya ufisadi na ubadhirifu. Kila Mtanzania anafahamu jinsi ugonjwa wa Covid 19...
  10. JamiiForums Tanzania Ipo siku Watanzania tutaandamana kudai mfumo wa vyama vingi ufutwe

    Hatuoni umuhimu wa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania. Ni matapeli wa kisiasa tu ambao wapo kwa ajili ya kupiga madili na kujaza vitambi. Watanzania ipo siku tutaandamana na kudai demokrasia ya chama kimoja ambayo huko nyuma ilitunufaisha. Wakati wa chama kimoja, tulisoma bure msingi hadi...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu na Salamu za Krismas: Mwaka 2020 ulikuwa mwaka mgumu na wenye machungu mengi kwa nchi na wananchi wetu

    Sasa ni dhahiri Tundu Lissu ni Mcha Mungu. ========== TUNDU LISSU: Ndugu wananchi wa Tanzania, tumsifu Yesu Kristo, Bwana asifiwe, mwanakondoo ameshinda, Assalam Aleykum Warahmatullah Wabarakatuh. Kesho ni sikukuu ya Noeli kwa wale wote wanaoamini katika dini ya Ukristo. Kwa wakristo wote...
  12. JamiiForums Tanzania Sekta ya mawasiliano ya simu ilivyo na tija kwa Watanzania

    Tanzania imepata bahati kubwa kuwa na sekta ya mawasiliano ya simu ambayo imekuwa ikipanuka kwa kasi kubwa siku hadi siku. Miundombinu ya mfumo wa mawasiliano nchini kama vile mkonga wa taifa na uzinduzi wa mtandao wa 4G umetengeneza fursa nyingi kwa Watanzania. Kuanzia mawakala wa kutuma na...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Shime Watanzania tuupiganie Uhuru wetu unaoporwa. Tutajuta!

    Mwalimu Nyerere na wenzake walipambana na mkoloni siyo kwasababu walitaka nchi yetu ipate ama ijenge vitu la hasha. Mwalimu Nyerere na wenzake walipambana na mkoloni siyo kwasabb walitaka kuunda serikali itakayo watisha watu na kuwafanya wawe na "heshima" kwa watawala. Mwalimu Nyerere na...
  14. JamiiForums Tanzania Watanzania tuache tamaa tunapokuwa tunauza vitu tulivyotumia

    Kuna hili tatizo nimeliona na kulitafakari kwa muda mrefu. Ni huu mtindo na tabia waliyo nayo Watanzania wengi, pale wanapouza vitu walivyotumia mfano gari, simu, nk. kuuza kwa bei ya juu sana. Kitu ukishakitumia, thamani yake inashuka sana. Wataalamu wanasema hata gari brand new ukiinunua na...
  15. JamiiForums Tanzania IDU kuwasemea CHADEMA ni dharau kwa Watanzania na kutaka kutuparaza vidole machoni

    Hivi hawa IDU wana mamlaka gani ya kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania? Wao ni akina nani? Tanzania ni dola huru na nchi ambayo inajitawala. Kwa nini watoe Tamko la kuwasemea Chadema mambo ambayo hayana mashiko? Ibara ya 8(1)(a) ya katiba ya JMT imetamka bayana kuwa mamlaka ya kujitawala...
  16. JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango maneno uliyotamka siku unaapishwa yalitoka ndani ya moyo wako? Ulikuwa unawakebehi Watanzania?

    Wahenga wanasema tembea uone. Ndio maana hata mzee Mwinamila alipokuwa hai aliwahi kutunga wimbo akimwambia Mwl Julius Nyerere atembee aone ili ajionee kwa macho yake nchi anayoitawala na watu wake wanaishi kwa namna gani. Nimepafanya kijiziara kidogo suo moto, maana sijapangiwa na mtu. Ila...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania mbona mnaichukia Kenya?

    Tangu nilipojiunga hapa JF, kama kuna jambo moja ambalo nimegundua ni kuwa Watanzania wengi hapa JF wanaichukia Kenya. Sasa sijui chanzo cha chuki ni nini. Pengine nyinyi wenyewe Watanzania mtufafanulie.
  18. JamiiForums Tanzania Jukumu la kampuni za simu katika kuwajengea Watanzania ujuzi wa kidijitali

    Inafahamika wazi kuwa teknolojia imebadili maisha ya binadamu na mabadiliko mengi zaidi bado yanaendelea kuja. Tanzania ni moja ya nchi ambamo maendeleo ya kiteknolojia yanazidi kuonekana yakibadili maisha ya watu siku hadi siku, mfano kuongezeka kwa matumizi ya mtandao wa intaneti. Ukitazama...
  19. JamiiForums Tanzania Watanzania tumuunge mkono Rais Magufuli Kutatua changamoto zetu ona hapa Mchungaji wa Trump akiomba Malaika toka Afrika wamsaidie Trump kushinda

    Rais Magufuli anajiamini na anapenda kutafuta ufumbuzi wa matatizo yetu ambao ni Made in Tanzania. Mchungaji na mshauri wa kiroho wa Donald Trump anayeitwa Paula White hawaamini hata malaika wa Marekani anaamini zaidi malaika wa Africa Kuwa ndio waweza msaidia TRump kushinda ,Tanzania na Africa...
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania Taifa letu lipo kwenye muelekeo mzuri, hatuna budi kulitakia mema Taifa letu

    Ninasikitika sana ninapoona watu hawalitakii mema Taifa lao. Hivi hamjui kuwa tunaelekea pazuri? Kwa nini ubeze mradi kama SGR, JNHP au barabara na miundo mbinu inayoimarishwa? Jamani naomba mtambue, kuna kipindi kama Taifa, tulianguka ndio maana tunashuhudia mambo ya kimaendeleo ambayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…