watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    JamiiForums Tanzania Watanzania tujifunze kueshimiana

    Habari wakuu Kisa ninachosimulia kimenitokea leo hii, nimeenda sehm kumfanya shopping ya vitu vidogo vidogo. Nikapita se kuna maduka mawili , nikaingia la Kwanza nikanua vitu ninavyoovihitaji. Baadae nikatamani sana niweze kununua vitu kwenye Duka dogo la pili, lengo likiwa ni kugawiana...
  2. JamiiForums Tanzania Mh Rais, Watanzania tunahitaji uisimamie katiba ya JMT inavyostahili

    Tumekusikia mara kwa mara ukilalamika juu ya wasimamizi wa sheria za nchi kunyanyasa raia wa kawaida. Leo hii tar 25 Feb 2021 unalalama juu ya watumishi wa TRA kubambikia wanachi kodi na kuleta kilio kikubwa. Hili ni tatizo kubwa sana, wewe kama mkuu wa nchi hukupaswa kuwalilia wanaobambikizwa...
  3. JamiiForums Tanzania Watanzania bhana hata mambo ya mazoea na kawaida tunataka Rais atwambie kwa tamko!?

  4. M

    JamiiForums Tanzania Mobisol, kampuni inayoongozwa na MD Mkenya. Watanzania hatuwezi?

    Hivi Watanzania tuna nini? Yaani tunahangaika kusoma weee lakini eti mpaka Kampuni ya sola inaongozwa na raia wa kigeni. Ni vema Serikali iwe makini na ajira kama hizi ambazo zinaweza kufanywa na raia wa Kitanzania.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Balozi Simbachawene: Watanzania mnaokuja Kenya hakikisheni mmepima Corona ndani ya saa 72 na mna vyeti

    Balozi wa Tanzania nchini Kenya Dr. John Simbachawene amewataka Watanzania wanaosafiri kwenda nchini humo kuhakikisha wanafuata masharti ya nchi hiyo kwa wageni. Masharti hayo ni pamoja na kupima Corona katika muda usiozidi saa 72 na kuwa na vyeti vya uthibitisho. Chanzo: ITV habari Maendeleo...
  6. JamiiForums Tanzania Unafiki wa baadhi ya Watanzania wenzetu

    Mimi nimeshangazwa sana na unafiki wa baadhi ya watanzania wenzetu. Kila siku wanapiga kelele kuhusu corona na kumlaumu mheshimiwa Rais kwamba hachukui hatua ni hatua zipi wanazozitaka? Unafiki wako sasa mtu anakaa baa anakunywa pombe yake hana hata barakoa akimaliza anakuja jamii forum kupiga...
  7. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Watanzania endeleeni kuchukua tahadhari dhidi ya COVID-19

  8. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

    Wakuu, Nimemsikiliza Rais Magufuli akiwa anaongea leo kanisani. Nimeshtuka, Rais anaongea kama layman kabisa. Hii ni hatari kwa Usalama wa Taifa kwa mtu ambaye amepewa dhamana ya juu kabisa hapa nchini. Rais ni Comforter-in-Chief hivyo kama mfariji mkuu wa Taifa ana mamlaka makubwa...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Katika hili la Covid-19, nimejifunza sisi Watanzania ni wakushikiliwa akili

    Watu tumekaa kumlaumu Rais wetu eti hajasema kuwa Corona ipo. Huu ni ujinga uliyopitiliza kwa kweli.Matendo Huwa yanasema kuliko maneno. Mfano, Mzuri ni huu: Waziri Jafo alipotangaza Siku saba za kujifukiza, nyie watanzania wa kushikiliwa akili mlifikiri tafsiri yake nini? Ok tuache hili...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Watanzania wanaotumia viyoyozi (air conditioners) kwenye magari, maofisini na majumbani

    Watanzania wenzangu, nawashauri kwa wale wanaopendelea kutumia viyoyozi pahala pa kazi, nyumbani, na ndani ya magari, MUACHE MARA MOJA. Tukumbuke kuwa ugonjwa wa covid-19 bado upo na tunahimizwa kujikinga nao, pamoja na hatua zote tunazoelekezwa kuchukua, nimeonelea niwape na hii ya viyoyozi...
  11. JamiiForums Tanzania Mwamakula: Naweka mkakati upya ulioboreshwa zaidi kisha nitautangaza kwa Watanzania

    Askofu wa Kanisa la Uamsho la Moravian, Emmaus Mwamakula amesema anatafakari na kuweka mkakati upya ulioboreshwa zaidi kisha atautangaza kwa Watanzania. Februari 15, 2021. Mwamakula alikamatwa na polisi kwa madai ya kuhamasisha maandamano ya kudai tume huru na Katiba Mpya kwa njia ya mtandao...
  12. JamiiForums Tanzania Rais wa TEC atoa ujumbe wa Kwaresma, asisitiza Watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya COVID-19

    Askofu Nyaisonga kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) asema wanatambua Dunia nzima inahangaika kupambana na maradhi ya #COVID19 yanayosabishwa na #VirusiVyaCorona Awahimiza Watanzania kutokuwa watumwa wa hofu na kuchukua tahadhari. Asema ni wajibu wa kila mtu kuufuata ukweli na...
  13. JamiiForums Tanzania Watanzania twendeni Congo tukawekeze Sekta ya Usafiri wa majini na mafuta

    Kila msaka fursa angalia hii clip uone mwenyewe fursa zilipo za biashara ya usafiri wa majini na mafuta Congo. Hizo baadhi tu lakini ukitizama hii Clip waweza gundua nyingi zaidi.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mapambano dhidi ya corona: Uingereza yazuia watu kutoka mataifa 33 kuingia Uingereza kuanzia February 15 na watanzania wakiwemo

    The UK has banned people travelling from 33 countries from entering its territory starting February 15 to prevent the spread of the Covid-19 variant originally identified in South Africa. “If you have been in or through any of the countries listed below in the previous 10 days, you will be...
  15. JamiiForums Tanzania Watanzania tumsikilize huyu mtu "7 Things Poor People DO That The Rich DON’T"

    7 Things Poor People DO That The Rich DON’T
  16. JamiiForums Tanzania Tutaponea wapi sisi Watanzania baada ya Serikali kututupa mkono? Airtel nao washusha kiwango cha Data

    Watanzania kama ilivyo ada tumekuwa wanyonge mpaka basi. Tumekubali kukamuliwa kila sehemu na Serikali imeamua kuendelea kutunyonya mpaka damu. Kifurushi cha Airtel cha Tsh 1,000 kwa GB 1 nacho kimepunguzwa. Sasa ni MB 500 kwa tsh 1000 ndani ya siku 3. Tunajua Serikali nayo inafaidika na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hizi kampeni za Valentine's Day katika media za Tanzania zina tija gani kwa maendeleo ya Watanzania?

    Wiki hii kila ukifungulia tu Redio yoyote cha Kwanza utakachokutana nacho ni mambo ya Mahaba hasa kuelekea Siku ya Wapendanao (Valentine Day). Je, ina maana Media za Tanzania zinashindwa pia kwa Umoja wao huu huu (Media Agenda) basi wakawa Wanayasema yale ya Ukweli kuhusu Maisha ya Mtanzania...
  18. JamiiForums Tanzania Hanje: Wabunge Vijana hawana michango yenye tija kwa Watanzania

    Dodoma. Mbunge wa Viti Maalum, Nusrat Hanje amesema wabunge vijana wanashindwa kulisaidia Taifa kwa kuwa michango yao bungeni haina tija na haiwezi kuwapeleka mbele Watanzania. Ameeleza hayo Februari 10, 2021 bungeni mjini Dodoma katika mjadala wa Mpango wa Serikali unaoonyesha mwelekeo wa...
  19. JamiiForums Tanzania Mch. Gwajima, Watanzania hawapingi miradi ya Rais bali wanahoji manufaa yake. Kuropoka kuwa ni wagonjwa unakosea

    Kama kuna watu ambao huwa nawaona ni waropokaji hapa Tanzania ni huyu mbunge na mchungaji kondoo aitwaye Gwajima aka askofu Rashid. Hivi huyu askofu Gwajima anajiona ana akili sana au ndio kujipendekeza kupita kiasi kisa tu shemeji yake kapewa Uwaziri na yeye yupo bungeni akibeba pesa za walipa...
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania mnapenda Rais ajaye 2025 awe na vipaumbele gani?

    Watanzania, Salaam! Nianze kwa kuwapa hongera nyingi sana kwa jinsi mnavyopambana kila siku, kila wiki, kila mwezi na kila mwaka kuhakikisha mnayakabili maisha. Kwa wale mliokutana na vikwazo kadhaa niwape pole pia. Wanasiasa wametuaminisha kwamba kuisha kwa uchaguzi mmoja ndiyo mwanzo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…