There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.
Leo Rais wa Kenya amelihutubia Taifa la Kenya juu ya kifo cha Rais Magufuli na kutoa pole kwa mama Janeth Magufuli na watanzania.
Amesema anakumbuka ziara ya Rais Magufuli nchini Kenya na kwa pamoja wakafungua barabara inayoitwa 'Seven Bypass' na kwake binafsi anaikumbuka heshma kubwa...
Mshikamano huu si kwa walio nchini tu bali wale wote wanaoishi nchi za nje bila kupenda.
Kama kuna Mtanzania yeyote aliikimbia nchi, naomba arudi 'tushikamane' tujenge nchi yetu.
Kama kuna mfanyabiashara yeyote alihamishia biashara yake nje ya nchi, naomba arudi 'tushikamane' tuijenge Tanzania...
Naomba kuwapa pole Watanzania wenzangu kufuatia msiba huu mkubwa wa Taifa letu. Kifo cha Rais John J. P. Magufuli kumeacha ombwe na pia mafunzo kwa maisha yetu sote. Nimepokea kwa masikitiko makubwa msiba huu. Vyovyote vile ilivyo, kama nilivyowahi kusema huko nyuma hakuna ombwe la uongozi...
Tangu tupate Uhuru CCM imekuwa initawala hii nchi. Hakuna mtawala ambae kama Rais wa nchi alishawaacha watanzania na maisha bora.
Awamu ya Kwanza ya Mwl. iliacha watanzania wakiwa na hali mbaya sana ya kimaisha. Watu walivaaa masempele. Mahala pa kulala palikuwa hovyo kabisa. Awamu ya pili...
Marehemu Hugo Chavez alikuwa kiongozi anayefaa na kama hapa Tanzania tungekuwa na kiongozi kama Hugo Chavez tungefurahia kuwa Watanzania.
Leo hii hili taifa lina kila aina ya rasilimali ambazo kama tungekuwa na kiongozi makini basi tusingesikia wananchi wanapata tabu. Leo hii wananchi...
Nini maana ya afya ya akili?
Ni hali ya kuwa sawa kiakili na kisaikolojia au kutikuwepo kabisa kwa usumbufu wa akili ya mtu, mfano msongo wa mawazo. Huhusisha uwezo wa mtu kufurahi maisha na kutengeneza mlingani baina ya shughuli za kimaisha pamoja na jitihada za kufikia uwiano mzuri...
Huwa mara nyingine nikiwa Ofisini napenda kumpa pesa bwana mmoja aniletee Madafu. Ni muda kidogo sikununua madafu leo nimemtuma aninunulie dafu. Nikampa tsh 10,000. Kwa mshangao mkubwa kaleta madafu mawili.
Akimaanisha kila dafu tsh elfu tano 5,000. Nakumbuka mwaka jana mwezi wa nane pia...
Mawazo yamenijia leo aliokuwa mzee wangu akisema dunia ni msongamano wa watu wenye akili tofauti.
Ukitaka kuishi vema fikiri kabla ya kujibu jifunze kwa walimwengu walimwengu wajifunze kwako dunia ni kuona mambo halafu kuyasahau.
Mateso nimeshayapata matatizo mengi yamenikuta furaha nyingi...
1. Ukisikia kuna AJALI KUBWA imetokea mahala popote Barani Afrika jueni ni jambo la Kawaida tu na Umakini uongezeke ili Kuepuka na zingine mbeleni.
2. Ukisia kuna MWANDAMIZI ( KIONGOZI ) yoyote au MTU MAARUFU yoyote yule ana ANAUGUA sana au hata AMEFARIKI ( hapa Barani Afrika ) wala usishtuke...
Habari wana JF, huwa sipendelei sana kuiongelea siasa wala hata kutembelea huku upande wa siasa lakini dah Tandu Lissu leo kanileta huku.
Tundu Lissu hana mapenzi mema na nchi yake wala wananchi wa nchi yetu Tanzania. Kwa haya yafuatayo
• Hamtakii mema Rais anaye waongoza wananchi ambao na...
Wakuu Kwema!
Kwa watembezi wa mikoa ya Tanzania na wachunguzi huru mtakubaliana na mimi katika utafiti huu usio rasmi.
Utafiti huu nimeufanya kwa miaka minne tangu 2016 mpaka 2020 nikiwa natembelea mikoa mbalimbali ya Tanzania. Mikoa niliyoifanyia utafiti ni mikoa ifuatayo; Dar es salaam...
Wajuzi watuambie hili la mchanga lina maana gani😥😥😥😥😥
Aendelee kulala salama Maalim Seif Sharif Hamad
===
Katika hali ya kustaajabisha inadaiwa kumeibuka watu ambao wanachukua mchanga katika kaburi la Hayati Maalim Seif. Baadhi ya wakazi wameeleza kuwa mchanga huo unachukuliwa kwa imani...
Watanzania wengi katika mitandao ya kijamii hususan instagram wameonekana kukerwa na msanii Gigy Money kwa namna alivyokuwa akicheza densi isiyo ya kistaarabu huku ameshika bendera ya taifa mkononi, katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta nchini Kenya.
Kwenye video hio Gigy anaonekana akicheza...
Sheila Sheldon with her Nina Simone Global Award on March 8, 2021
TV 47
12-year-old Sheila Sheldone Charles, on Monday, March 8, won the 2021 Nina Simone Artistic Excellence Honoree for Young, Gifted, and Black Entrepreneur. She was the only child, and African nominated for the award.
"My...
Msemaji mkuu wa serikali yuko mubashara TBC akielezea mafanikio ya awamu ya 5.
Dkt. Abbas anasema pamoja na kununua ndege na watu wengine " kununa" serikali pia inawekeza fedha za kutosha katika Huduma za kijamii ikiwemo sh trilioni 2 kwenye sekta ya elimu.
Hivyo wale wanaonuna wakiona...
Habarini za mihangaiko ndugu Watanzania.
Gesi asilia ni malighafi inayoweza kutumika kuzalisha petroli.
Ndugu zangu biashara ya mafuta ya petroli ni biashara yenye faida sana.
Kama tungejitahidi kutafuta mtaji tujenge kiwanda kimoja cha kuibadirisha gesi asilia kuwa mafuta ya petroli hakika...
Corona ipo duniani na Tanzania siyo kisiwa.
Nchi kuwa na Corona siyo aibu, maana kirusi hakijui mipaka ya kisiasa.
Serikali zilizo responsible duniani zinaendelea kutekeleza sera za kupambana na Covid na kamwe hazitangazi kuwa zimeshashinda vita tayari, bali zinakuwa cautious na zinaendelea na...
afya
barakoa
changamoto
chanjo
corona
covid
covid 19
covid-19
dunia
gani
kelele
maambukizi
magufuli
maisha
matibabu
rais
siasa
tanzania
ugonjwa
ukweli
upumuaji
uzalendo
viongozi
watanzania
wizara ya afya
Bandugu bana Jf, ni wazi kuwa taifa letu linajinasibu kuwa lipo vizuri kimapato. Pamoja na mdororo wa uchumi ulioletwa na Covid 19, leo hii tril mbili zinatinga hazina.
Je, haya mapato yanawanufaisha watanzania? Kwamba miundo mbinu, elimu afya na sekta muhimu zimekuwa stable?
Leo hii Mtanzania...
Bodi ya maziwa yazindua mpango wa unywaji maziwa kwa wanafunzi na watumishi wa serikali nchini.
Wizara ya mifugo na Uvuvi kupitia Bodi ya Maziwa Tanzania, imeanza utekelezaji wa mpango wa unywaji wa maziwa kwa wanafunzi wa shule za msingi sanjari na ofisi za serikali ukiwa na malengo kuboresha...
Habari wakuu
Kisa ninachosimulia kimenitokea leo hii, nimeenda sehm kumfanya shopping ya vitu vidogo vidogo. Nikapita se kuna maduka mawili , nikaingia la Kwanza nikanua vitu ninavyoovihitaji.
Baadae nikatamani sana niweze kununua vitu kwenye Duka dogo la pili, lengo likiwa ni kugawiana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.