watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hakika Mungu yupo na Watanzania. Ogopa Sana nchi ambayo watu wake si wepesi wa kuingia mtaani

    Tanzania ni nchi ambayo tumependelewa na Mungu. Nchi ambayo wananchi wake ni wapole na taasisi zake ikiwemo idara ya ujasusi na vyombo vya usalama ni imara mno na ambavyo haviwezi kuruhusu mtu yeyote wa mamlaka na cheo chochote achezee hatma njema ya nchi yetu. Ukifanya hivyo, wananchi wa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Matarajio ya watanzania kwa Mhe. Samia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni makubwa

    MATARAJIO YA WATANZANIA KWA MHE SAMIA, RAIS WA JMT NI MAKUBWA Na Elius Ndabila 0768239284 Jana Mhe Samia Samia Rais wa JMT amefanya mabadililo madogo kwenye Baraza la Mawaziri yaliyotanguliwa na uapishwaji wa Makamu wa Rais. Katika kuendelea kuhakikisha matarajio aliyonayo ameendelea kupanga...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Serikali lazima mjue matajiri nasi tuna haki kama Watanzania wengine

    Shalom from Jerusalem. Mara nyingi viongozi wa serikali mmesikika mkisema na kuona fahari kuwa mko kwa ajili ya kuwatumikia wanyonge kama vile wao pekee ndiyo wenye haki ya kuishi. Pia mmekuwa mkifanya propaganda kuionesha jamii unyonge wa watu wengi unasababishwa na sisi matajiri. Mnaanzisha...
  4. JamiiForums Tanzania PLO Lumumba, kusema CCM ni chama kinachopigania kunyanyua maisha ya Watanzania maskini kwa kutumia vizuri rasilimali za Tanzania, unadanganya dunia

    Nimemsikiliza huyu Prof nguli wa sheria toka nchini Kenya akizungumzia juu ya uzalendo wa hayati JPM juu ya kuwa kiongozi aliyekuwa kada wa CCM. Na kwa mujibu wa Prof Lumumba anadai CCM ni chama kinamchomuenzi hayati Julius Nyerere ndio maana kinakuwa kinahakikisha kuwa rasilimali za taifa la...
  5. JamiiForums Tanzania Sioni namna Rais Samia anaweza kuinua uchumi wa Watanzania uliodorora

    Tanzania kwa sasa ina serikali mpya ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu baada ya kifo cha Rais Magufuli. Kwa sasa hatuna sababu nyingine yoyote ya kusubiri kuufahamu utawala wa Samia Suluhu utakuwaje, maana sura nzima ya serikali yake iko tayari. Utawala huu mpya kwenye uchumi una...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi hawa Watanzania 'wanyonge' wana sifa zipi? Na wanapataje hizo sifa?

    Inaonekana neno 'wanyonge' limeshika kasi katika matumizi yake hapa Tanzania, na kutumiwa sana na baadhi ya wakuu kabisa wa nchi. Kwa mujibu wa baadhi ya machapisho, 'wanyonge' maana yake ni 'masikini sana', au 'watu wadhaifu katika jamii'. Kwa Kiingereza ni 'disadvantaged', 'abject poor', au...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

    Jina hilo limepelekwa Bungeni na Mpambe wa Rais (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri, na kukabidhiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai. Spika Ndugai akisoma ujumbe wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema.. Mheshimiwa Spika, nawasilisha Bungeni Jina la Mheshimiwa Philip Isdori...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Watendaji chapeni kazi, Mjomba hayupo

    Makamu wa Rais mteule Dr Mpango amewataka watendaji kuchapa kazi kwani mjomba hayuko. Makamu wa Rais amesema hayo wakati akiwaaga wabunge wenzake tayari kabisa kutumikia nafasi yake mpya. BAVICHA chapeni kazi majungu siyo mtaji. Maendeleo hayana vyama!
  9. JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango kama hutawasaidia Watanzania masikini kuondokana na umasikini, uteuzi wako utakuwa hauna tija kwa Taifa

    Ulipokuwa waziri wa fedha na mipango ulisimamia vizuri hasa ukusanyaji wa mapato. Hii ilisadia kuwepo kwa ukelezaji wa miradi mingi. Awali ulikuwa mbunge wa kuteuliwa na ukapata uwaziri. Lakini mwaka jana uliamua kwenda kugombea huko kwenu Kigoma na ukachaguliwa kuwa mbunge wa Buhigwe...
  10. JamiiForums Tanzania Watanzania wenzangu, biashara ya usafiri wa anga (ndege) sio kama Uber jamani

    Tunapoambiwa ATCL imepata hasara tusibeze sana. Kuna American Express na Delta Lines wanachungulia kaburi! Na Amar hapo UK British Airways imegubikwa madeni nusura izame! Tatizo lenu ni uzungu pori? Ni mashirika ya wenye mafuta kina EMIRATES, QATAR na wenzao Serikali zao zimenunua madeni...
  11. JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa kuhusu Deep State

    Waungwana, Shalom Shalom na kwa jamaa zangu Asalaam aleykum, Kama ambavyo kichwa husika hapo juu kilivyo, wacha nisiwapotezee muda nijielekeze moja kwa moja kwenye maswali kwa Watanzania wenzangu. Nimekuwa nikisikia tu kitu kinachoitwa Deep State ingawa kiundani sikijui. Hapa JF bila shaka...
  12. V

    JamiiForums Tanzania Tuamke Watanzania na kwa umoja tuliombee taifa letu

    Habari zenu wakuu JF. Kwanza kabisa nitoe pole zangu watanzania wenzangu kwa upande wa bara na visiwani na kwa Wote walioguswa na Msiba Wa Raisi wetu John Joseph Pombe Magufuli. Ni wazi kuna mambo mengi ameyafanya ambayo kwa namna moja ni sawa na anastahili pongezi kwa jinsi Mungu alivyomtumia...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Tatizo la simu fake Kariakoo kwanini vijana tusijiingize kwenye hii biashara tusaidie watanzania wenzetu wanaolizwa kila siku?

    Habari za leo wakuu, Nimekua nikifuatilia baadhi ya nyuzi hapa jamii forum, Kuna watanzania wamekuwa wakilalamika juu ya bidhaa za kielectronic zinazouzwa Kariakoo na kwamba watu wanauziwa simu feki. Watanzania wanashindwa kutumia simu zenye viwango kwasababu tu wauzaji wa Kariakoo wamekosa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuchukue tahadhari ya Corona. Jirani zetu Kenya hali ni tete haspitali zimezidiwa wagonjwa

    Tunakumbushana tu hasa katika kipindi hiki ambacho kuna mikusanyiko ya kila aina na majirani wa nchi jirani wanavuka mipaka kuja kuhani msiba huu mkubwa tulionao. Tafadhali tuchukue tahadhari wenzetu Kenya hali ni tete. Zaidi soma > Wataalamu wa afya wanahofia kuwa wagonjwa wengi wa Corona...
  15. JamiiForums Tanzania Tunalia Watanzania

    Tutakuenzi kwa mengi mazuri uliyotufanyia, Tutadumisha umoja Upendo uliyo tuhusia, Itakuja siku moja tena tutaonana tena, Uliyoagizwa umefanya ulale mahala pema, Hivi ndio kweli hatukuoni tena, Itakuaje ile mitano tena, Wasanii tulikupenda sana, Wanakulilia wakina mama.
  16. JamiiForums Tanzania Tunalia Watanzania

    Tutakuenzi kwa mengi mazuri uliyotufanyia, Tutadumisha umoja Upendo uliyo tuhusia, Itakuja siku moja tena tutaonana tena, Uliyoagizwa umefanya ulale mahala pema, Hivi ndio kweli hatukuoni tena, Itakuaje ile mitano tena, Wasanii tulikupenda sana, Wanakulilia wakina mama.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Magufuli: Dunia imeshuhudia Watanzania walivyokuwa wanampenda Magufuli

    Mawakala wa mabeberu walikuwa wanajitahidi Sana kuiaminisha Dunia kuwa Watanzania wako kwenye mateso Sana chini ya utawala wa Rais Magufuli. Waliamini watanzania walio wengi watafurahi Sana na kushangilia Magufuli atakapoondoka madarakani au atakapofariki. Kinyume chake mabeberu na mawakala wao...
  18. JamiiForums Tanzania Macho yangu yananidanganya?

    Mimi si kipofu wala si kiziwi. Uwezo wangu wa kuona na kusikia upo juu. Hivi hiki ninachokiona kwa macho yangu na kukisikia kwa masikio yangu ni uongo? Nina maruerue labda? Hayo ninayoyaona ni mazingaombwe? Kwa nyomi hizi zinazojipanga barabarani mwili wa Rais Magufuli unapopitishwa ndo...
  19. JamiiForums Tanzania Watanzania Tunahitaji Reality Check

    Katika pita pita zangu hapa JF na mitandao mingine naona watu wanashangilia sana Magufuli kuagwa kwa nyomi ya watu. Kuna wengine wana "spam" nyuzi za wengine kwa picha za kujirudia rudia zikionyesha idadi kubwa ya watu waliojitokeza tokea jana mpaka leo katika uwanja wa Uhuru na barabarani...
  20. JamiiForums Tanzania Huyu ndio Shujaa wetu hayati John Pombe Magufuli - Rais wa Watanzania na kimbilio la wanyonge

    Mods Moderator naomba msiunganishe huu uzi🙏 Tumshukuru sana Mungu kwa zawadi ya uhai wa John Pombe Joseph Magufuli kwa nchi yetu. Ametutoa pagumu sana, ametuthubitishia yaliyoambiwa hayawezekani yanawezekana kwa vitendo Ametuachia viongozi makini aliowapika kuwa wazalendo kama yeye mwenyewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…