watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu: Tutalichukulia kwa uzito suala la COVID-19

    Rais Samia kuunda kamati kushughulikia COVID 19. Amesema ataunda kamati ya kushughulikia kitaalamu. Amesema hatuwezi kujitenga kama kisiwa, lazima tuunde kamati ijulikane kama tunakubali au tunakaa na si kusikia habari tu za nchi nyingine na ikifika kwa Tanzania hamna kitu. Rais Samia...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Mpendwa Mama Samia ameshaonyesha Kutupenda Watanzania, hivyo na Sisi tumuonyeshe Upendo Wetu Kwake kwa Kumfanyia yafuatayo...

    1. KUFANYA KAZI KWA BIDII Kama kila Mtanzania atajituma popote pale alipo kwa Kufanya Kazi kwa bidii ili Kujiletea Maendeleo yake na ya nchi nina uhakika itakuwa ni Zawadi yetu tosha kwa Mama Rais Samia. 2. TUPENDE SANA KULIPA KODI Watanzania tusijidanganye na tusidanganywe hakuna nchi...
  3. JamiiForums Tanzania Watanzania ni watu wa matukio, tumeshasahau kuwa vifurushi havijashushwa na walioshusha kuna uhuni pia

    Sasa upepo wote umehamia kwa Samia, tumesahau kabisa kua serikali imetoa agizo lakini hadi leo kuna mitandao haijatekeleza na hata. Tunataka ile menu ya zamani, kwa nini hatuna ajenda yani tunafuata tu upepo? Tunakubari vipi? Yaani ulikuwa unanunua GB 7 elfu 10 kwa mwezi, leo unapewa GB 2.5...
  4. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia yenye tabasamu kwa watanzania iliyo beba kiza cha maendeleo ya nnchi

    Nampongeza mama kwa hotuba nzuri yenye kuleta tabasamu kwa maisha ya watanzania kwani hotuba yake imejaa maneno ya faraja kwenye maisha ya watanzania hasa sisi wa kipato cha chini mama kagusa sehemu muhimu na nyeti kaona kua sisi wananchi wachini hatuna hela mama kaaidi kuweka mazingira mazuri...
  5. JamiiForums Tanzania Watanzania tuviunge mkono vyama vikubwa viwili vya kisiasa kwa maendeleo ya nchi yetu

    Hotuba ya mama imenikosha sana. Nina imani watu wengi imewafurahisha na wanamwombea asibadirike bali azidi kuboresha zaidi. Kila mtanzania mpenda maendeleo na uhuru wa kweli anataka kiongozi msikivu na anayejali sauti za watu. Tanzania ni yetu sote na wote tunastahili kufaidi mema ya nchi yetu...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Watanzania tufanye nini kuiondoa nchi yetu mikononi mwa madalali na wapigaji?

    mpaka sasa sielewi dr. magufuli kafa kivipi? mtu aliejipambanua kutetea na kulinda mali za nchi bila kupepesa macho. inaonekana wale wabaya wake. mimi nawaita madalali wa upigaji wanafurahia sana kutokuwepo kwake. nchi hii ilishaibiwa sana. kongo ya felix tshisekedi inaibiwa usiku na mchana...
  7. JamiiForums Tanzania Watanzania ni watu wepesi na rahisi zaidi kuwaongoza

    Dikteta anaweza ongoza, Mzembe anaweza kuongoza Asiejali anaweza kuongoza nk, Nadhani uhuru wa kupeana mezani yaweza kua sababu, viongozi wanajiona kama malaika, wakishafanikiwa wao wengine hawana maana, mambo yanafanyika na hayatolewi majibu na hakuna anae wajibika, kila kitu ni drama na...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Orodha ya watanzania wanaofaa kushika nafasi ya ukurugenzi TPDC

    Hii ndio orodha ya watanzania wanaofaa kushika nafasi za ukurugenzi TPDC. Mimi naanza na hawa wawili 1. JAMES MATARAGIO 2. JACKSON DULLE Huyu bwana hii ndio CV yake, na sina hakika kama Tanzania wanaweza kumlipa. Namempendekeza huyu bwana kwasababu ana exposure na makampuni ya...
  9. JamiiForums Tanzania Kuhusu vifurushi: TCRA, Ndugulile na Serikali mmetufanya Watanzania kama watoto wadogo

    Wanabodi mnakumbuka mwezi wa pili walipandisha bei za vifurushi, tukalalamika zipunguzwe wakatuahidi mwezi wa 4. Mwezi wa 4 vimepanda zaidi tumepiga kelele wameturudisha kwenye bei zilezile za mwezi wa pili tulizokuwa tunazipigia kelele, nasi bila kujua tunashangilia. Kifupi Serikali...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunahoji uraia wa Watanzania wenye majina ya asili ya Burundi/Rwanda na si nchi nyingine?

    Kumekuwa na tabia ya kuhoji uraia wa Watanzania wenye majina yanayofanana na ya nchi za Rwanda na Burundi, kwanini hatuhoji uraia wa watu wenye majina yanayofanana na Wajaluo wa Kenya au Wamakonde wa Msumbiji, au Wamalawi, Zambia au majina ya Kiarabu na Kizungu? Hapa napata uelewa kwanini...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Ndugulile kama hapo awali ulibaini watanzania wanaibiwa kwa nini urudishe vifurushi vya awali?

    Ndugu Faustine Ndugulile hapo zaidi ya miezi minne ulikuwa unashughulikia kero zinazo wakabili watanzania hasa juu ya wizi wa vifurushi vya simu. Maana watu wengi walikuwa wakilalamika kuwa wakinunua vifurushi hata kama hawajatumia sana vilikuwa vinateketea kama karatasi inachomwa moto...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania, ona nchi yetu ilikokuwa imefikishwa kwa sheria kandamizi, nikosa lakini linastahili kuingizwa kwenye kutakatisha fedha? (money laudering)

    Selling charcoal and money laundering My aunt was found selling charcoal without a permit to sell or buy forest produce. At the time of her arrest she had already sold a number of bags of charcoal and had some amount of cash in her poach. She is now being charged with selling forest produce...
  13. JamiiForums Tanzania Vita isiyoisha ya wenyewe kwa wenyewe ndio inayofanya Watanzania kuwaogopa Warundi hata jamaa zao wa karibu?

    Siasa za Tanzania haziishi mambo but this one is very serious. Tanzania imepakana ki jeografia na nchi 8 lakini ni nchi mbili tu Watanzania wana wasi wasi nao sana. Fikiria Kwanini Rwanda na Burundi? Kiasili hizi nchi zimezalisha watu wakatili sana, angalia Rwanda Genocide and the like...
  14. JamiiForums Tanzania Nilichojifunza, mitandao ndiyo iliyobeba Watanzania wenye uelewa wa mambo. Huko vijijini na watu wa chini ni rahisi kuwahadaa kwa vitu vidogo

    Na hiyo ndiyo mbinu aliyo kuwa akiitumia Magufuli. Alitumia sana Watanzania wa chini na wenye uelewa mdogo kujipatia umaarufu huku maswala ya kitaalamu yakienda kombo. Aliwadanganya sana kwa mengi na walimuamini sana kama Kinjeketile Ngwale wao na walidanganyika kwa sababu walio wengi hawakuwa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Watanzania mnaamini uamuzi wa kupandisha bei ya vifurushi ni ya Waziri peke yake?

    Naomba niseme nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa uamuzi wa kupandisha vifurushi ulikuwa ni wa Waziri labda na TCRA tu kwasababu hili ni jambo kubwa ambalo siamini kama Waziri anaweza kulifanyia maamuzi peke yake. Hili jambo halina tofauti na lile la kikokotoo ila tatizo watanzania ni wasahaulifu...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania tupaze sauti zetu kunusuru uhai wa maelfu ya vifaranga visivyo na hatia vinavyoenda kuangamia

    Leo katika taarifa ya habari ya ITV saa 08:00pm wametoa taarifa ya mfanyabiashara huko Morogoro kukamatwa na mabox 200 yenye vifaranga vyenye thamani ya TZS 40M vilivyoingizwa nchini kinyemela kutoka Kenya. Mwandishi amemhoji mtaalam husika wa Serikali Ni nini kitafuata baada ya ukamataji huu...
  17. JamiiForums Tanzania Kitachowagharimu watanzania kwa sasa ni kukosa upinzani wenye meno kuikosoa Serikali. Tutarajie mambo kwenda shagalabagala

    Serikali makini lazima ikubali kukosolewa na inapokosolewa lazima ijirekebishe. Tumeshuhudia miaka mitano ya serikali isiyotaka kukosolewa na matokeo yake ni aibu. Mfano ni kweli kila taifa linahitaji maendeleo ya miundombinu na sekta zote muhimu. Lakini haya maendeleo lazima yarandane na...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuwe wavumilivu, hili la kupanda bei vifurushi tutavumilia pia

    Tulishaambiwa mapema kuwa MB1 itauzwa kati ya Tsh. 2 hadi 9 lakini kwa kuwa wengi wetu tuliikimbia hesabu, hatukuliona hili. Mfano: MB 1 ikiuzwa kwa Tsh. 2 maana yake GB1 yenye MB 1000 itauzwa sh. 2000, MB 1 ikiuzwa kwa Tsh. 3 ni kwamba GB1 itauzwa Tsh. 3000 na kuendelea kulingana na hesabu...
  19. JamiiForums Tanzania Hakika Mungu yupo na Watanzania. Ogopa Sana nchi ambayo watu wake si wepesi wa kuingia mtaani

    Tanzania ni nchi ambayo tumependelewa na Mungu. Nchi ambayo wananchi wake ni wapole na taasisi zake ikiwemo idara ya ujasusi na vyombo vya usalama ni imara mno na ambavyo haviwezi kuruhusu mtu yeyote wa mamlaka na cheo chochote achezee hatma njema ya nchi yetu. Ukifanya hivyo, wananchi wa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Matarajio ya watanzania kwa Mhe. Samia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni makubwa

    MATARAJIO YA WATANZANIA KWA MHE SAMIA, RAIS WA JMT NI MAKUBWA Na Elius Ndabila 0768239284 Jana Mhe Samia Samia Rais wa JMT amefanya mabadililo madogo kwenye Baraza la Mawaziri yaliyotanguliwa na uapishwaji wa Makamu wa Rais. Katika kuendelea kuhakikisha matarajio aliyonayo ameendelea kupanga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…