watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Utafiti Usio rasmi: Watanzania wenye kipato cha Tsh. 20,000 kwa siku hawazidi milioni tano

    Wakuu Kwema! Kwa watembezi wa mikoa ya Tanzania na wachunguzi huru mtakubaliana na mimi katika utafiti huu usio rasmi. Utafiti huu nimeufanya kwa miaka minne tangu 2016 mpaka 2020 nikiwa natembelea mikoa mbalimbali ya Tanzania. Mikoa niliyoifanyia utafiti ni mikoa ifuatayo; Dar es salaam...
  2. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa azuia wananchi kuchukua mchanga kwenye kaburi la Maalim Seif, asema wataumaliza na kuacha shimo

    Wajuzi watuambie hili la mchanga lina maana gani😥😥😥😥😥 Aendelee kulala salama Maalim Seif Sharif Hamad === Katika hali ya kustaajabisha inadaiwa kumeibuka watu ambao wanachukua mchanga katika kaburi la Hayati Maalim Seif. Baadhi ya wakazi wameeleza kuwa mchanga huo unachukuliwa kwa imani...
  3. JamiiForums Tanzania "Unatutia aibu Gigy!" Watanzania wakerwa na tabia za Gigy Money huko Kenya

    Watanzania wengi katika mitandao ya kijamii hususan instagram wameonekana kukerwa na msanii Gigy Money kwa namna alivyokuwa akicheza densi isiyo ya kistaarabu huku ameshika bendera ya taifa mkononi, katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta nchini Kenya. Kwenye video hio Gigy anaonekana akicheza...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 12 Year-Old Kenyan Wins Global award, she was the only child, and African nominated for the award

    Sheila Sheldon with her Nina Simone Global Award on March 8, 2021 TV 47 12-year-old Sheila Sheldone Charles, on Monday, March 8, won the 2021 Nina Simone Artistic Excellence Honoree for Young, Gifted, and Black Entrepreneur. She was the only child, and African nominated for the award. "My...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Abbas: Ndege tunanunua na huduma za kijamii tunawekeza fedha za kutosha, wanunaji waendelee kununa

    Msemaji mkuu wa serikali yuko mubashara TBC akielezea mafanikio ya awamu ya 5. Dkt. Abbas anasema pamoja na kununua ndege na watu wengine " kununa" serikali pia inawekeza fedha za kutosha katika Huduma za kijamii ikiwemo sh trilioni 2 kwenye sekta ya elimu. Hivyo wale wanaonuna wakiona...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Watanzania: Tuibadirishe gesi asilia kuwa Petroli

    Habarini za mihangaiko ndugu Watanzania. Gesi asilia ni malighafi inayoweza kutumika kuzalisha petroli. Ndugu zangu biashara ya mafuta ya petroli ni biashara yenye faida sana. Kama tungejitahidi kutafuta mtaji tujenge kiwanda kimoja cha kuibadirisha gesi asilia kuwa mafuta ya petroli hakika...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

    Corona ipo duniani na Tanzania siyo kisiwa. Nchi kuwa na Corona siyo aibu, maana kirusi hakijui mipaka ya kisiasa. Serikali zilizo responsible duniani zinaendelea kutekeleza sera za kupambana na Covid na kamwe hazitangazi kuwa zimeshashinda vita tayari, bali zinakuwa cautious na zinaendelea na...
  8. JamiiForums Tanzania Taifa lisilokusanya kodi haliwezi kujiendesha. Awamu hii ya tano inajinasibu kukusanya tri 2. Je, Watanzania wananufaika?

    Bandugu bana Jf, ni wazi kuwa taifa letu linajinasibu kuwa lipo vizuri kimapato. Pamoja na mdororo wa uchumi ulioletwa na Covid 19, leo hii tril mbili zinatinga hazina. Je, haya mapato yanawanufaisha watanzania? Kwamba miundo mbinu, elimu afya na sekta muhimu zimekuwa stable? Leo hii Mtanzania...
  9. JamiiForums Tanzania Bodi ya maziwa yazindua mpango wa unywaji maziwa kwa wanafunzi na watumishi wa serikali ili kuboresha afya za Watanzania

    Bodi ya maziwa yazindua mpango wa unywaji maziwa kwa wanafunzi na watumishi wa serikali nchini. Wizara ya mifugo na Uvuvi kupitia Bodi ya Maziwa Tanzania, imeanza utekelezaji wa mpango wa unywaji wa maziwa kwa wanafunzi wa shule za msingi sanjari na ofisi za serikali ukiwa na malengo kuboresha...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Watanzania tujifunze kueshimiana

    Habari wakuu Kisa ninachosimulia kimenitokea leo hii, nimeenda sehm kumfanya shopping ya vitu vidogo vidogo. Nikapita se kuna maduka mawili , nikaingia la Kwanza nikanua vitu ninavyoovihitaji. Baadae nikatamani sana niweze kununua vitu kwenye Duka dogo la pili, lengo likiwa ni kugawiana...
  11. JamiiForums Tanzania Mh Rais, Watanzania tunahitaji uisimamie katiba ya JMT inavyostahili

    Tumekusikia mara kwa mara ukilalamika juu ya wasimamizi wa sheria za nchi kunyanyasa raia wa kawaida. Leo hii tar 25 Feb 2021 unalalama juu ya watumishi wa TRA kubambikia wanachi kodi na kuleta kilio kikubwa. Hili ni tatizo kubwa sana, wewe kama mkuu wa nchi hukupaswa kuwalilia wanaobambikizwa...
  12. JamiiForums Tanzania Watanzania bhana hata mambo ya mazoea na kawaida tunataka Rais atwambie kwa tamko!?

  13. M

    JamiiForums Tanzania Mobisol, kampuni inayoongozwa na MD Mkenya. Watanzania hatuwezi?

    Hivi Watanzania tuna nini? Yaani tunahangaika kusoma weee lakini eti mpaka Kampuni ya sola inaongozwa na raia wa kigeni. Ni vema Serikali iwe makini na ajira kama hizi ambazo zinaweza kufanywa na raia wa Kitanzania.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Balozi Simbachawene: Watanzania mnaokuja Kenya hakikisheni mmepima Corona ndani ya saa 72 na mna vyeti

    Balozi wa Tanzania nchini Kenya Dr. John Simbachawene amewataka Watanzania wanaosafiri kwenda nchini humo kuhakikisha wanafuata masharti ya nchi hiyo kwa wageni. Masharti hayo ni pamoja na kupima Corona katika muda usiozidi saa 72 na kuwa na vyeti vya uthibitisho. Chanzo: ITV habari Maendeleo...
  15. JamiiForums Tanzania Unafiki wa baadhi ya Watanzania wenzetu

    Mimi nimeshangazwa sana na unafiki wa baadhi ya watanzania wenzetu. Kila siku wanapiga kelele kuhusu corona na kumlaumu mheshimiwa Rais kwamba hachukui hatua ni hatua zipi wanazozitaka? Unafiki wako sasa mtu anakaa baa anakunywa pombe yake hana hata barakoa akimaliza anakuja jamii forum kupiga...
  16. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Watanzania endeleeni kuchukua tahadhari dhidi ya COVID-19

  17. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

    Wakuu, Nimemsikiliza Rais Magufuli akiwa anaongea leo kanisani. Nimeshtuka, Rais anaongea kama layman kabisa. Hii ni hatari kwa Usalama wa Taifa kwa mtu ambaye amepewa dhamana ya juu kabisa hapa nchini. Rais ni Comforter-in-Chief hivyo kama mfariji mkuu wa Taifa ana mamlaka makubwa...
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Katika hili la Covid-19, nimejifunza sisi Watanzania ni wakushikiliwa akili

    Watu tumekaa kumlaumu Rais wetu eti hajasema kuwa Corona ipo. Huu ni ujinga uliyopitiliza kwa kweli.Matendo Huwa yanasema kuliko maneno. Mfano, Mzuri ni huu: Waziri Jafo alipotangaza Siku saba za kujifukiza, nyie watanzania wa kushikiliwa akili mlifikiri tafsiri yake nini? Ok tuache hili...
  19. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Watanzania wanaotumia viyoyozi (air conditioners) kwenye magari, maofisini na majumbani

    Watanzania wenzangu, nawashauri kwa wale wanaopendelea kutumia viyoyozi pahala pa kazi, nyumbani, na ndani ya magari, MUACHE MARA MOJA. Tukumbuke kuwa ugonjwa wa covid-19 bado upo na tunahimizwa kujikinga nao, pamoja na hatua zote tunazoelekezwa kuchukua, nimeonelea niwape na hii ya viyoyozi...
  20. JamiiForums Tanzania Mwamakula: Naweka mkakati upya ulioboreshwa zaidi kisha nitautangaza kwa Watanzania

    Askofu wa Kanisa la Uamsho la Moravian, Emmaus Mwamakula amesema anatafakari na kuweka mkakati upya ulioboreshwa zaidi kisha atautangaza kwa Watanzania. Februari 15, 2021. Mwamakula alikamatwa na polisi kwa madai ya kuhamasisha maandamano ya kudai tume huru na Katiba Mpya kwa njia ya mtandao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…