Ni kwanini Watanzania ( Wabongo ) wanaozamia katika Meli kwenda Bondeni au Mamtoni 'hushtukiwa' haraka 'Melini' kuliko Waafrika wengine?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
39,923
2,000
Nimetaarifiwa kuwa kama kuna Waafrika ambao ni 'Mafundi' wa 'Kujificha' katika 'Meli' wakiwa 'wanazimia' zao kwenda ama Bondeni ( Afrika Kusini ) au Mamtoni ( Nchi za Ulaya ) kabisa na 'hawashtukiwi' hadi wanafika ni Raia wa Nigeria, Senegal, Cameroon, Mali na Congo DR ila kwa Watanzania 'hudakwa' mapema tu Meli ikiwa inakata zake Kona Pwani ya Magogoni Feri / Kigamboni.

Je, sababu ni zipi labda? Kuna sababu moja 'nimepenyezewa' kila nikiikumbuka nabaki Kuvunjika Mbavu ( Kucheka ) tu hivyo ngoja niangalie kama na hapa nitapewa / nitaiona kutoka kwa Wadau Wabobezi na Werevu ( JamiiForums Members ) Na si vibaya pia kama kuna Mtanzania 'aliyezamia' na 'hakushtukiwa' katika Meli akajitokeza kutuambia Yeye aliwezaje pia Kuikamilisha hiyo Safari yake.
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
39,923
2,000
Hivi siku hizi bado kuna watu bado wanazamiaga kwa meli kwenda Ulaya?

Alafu nasikia eti wa-nigeria na ujanja wao wote wa kujaa Ulaya wameshindwa kujazana Urusi.

Hakika Russians are no joke...!!!!
Unaweza usisikie kwa hapa Tanzania au kwa sasa likawa linafanyika kwa 'Ujanja' mwingine, ila bado kuna 'Njemba' zinadandia sana 'Meli' Kuzamia.
 
Richard

JF-Expert Member
Oct 23, 2006
12,052
2,000
Nimetaarifiwa kuwa kama kuna Waafrika ambao ni 'Mafundi' wa 'Kujificha' katika 'Meli' wakiwa 'wanazimia' zao kwenda ama Bondeni ( Afrika Kusini ) au Mamtoni ( Nchi za Ulaya ) kabisa na 'hawashtukiwi' hadi wanafika ni Raia wa Nigeria, Senegal, Cameroon, Mali na Congo DR ila kwa Watanzania 'hudakwa' mapema tu Meli ikiwa inakata zake Kona Pwani ya Magogoni Feri / Kigamboni.

Je, sababu ni zipi labda? Kuna sababu moja 'nimepenyezewa' kila nikiikumbuka nabaki Kuvunjika Mbavu ( Kucheka ) tu hivyo ngoja niangalie kama na hapa nitapewa / nitaiona kutoka kwa Wadau Wabobezi na Werevu ( JamiiForums Members ) Na si vibaya pia kama kuna Mtanzania 'aliyezamia' na 'hakushtukiwa' katika Meli akajitokeza kutuambia Yeye aliwezaje pia Kuikamilisha hiyo Safari yake.
Hao ni wa miaka hii.

Zamani kuanzia 1990s kurudi nyuma kuzamia kulikuwa kwaambatana na kufahamu lugha kama ya kiingereza ambayo ilisaidia kuelezea shida yako kwa nahodha.

Nahodha akiingiwa huruma na hapo mwazungumza mkiwa Durban, anaweza kabisa kukusaidia kwa kukupa kazi za kusafisha humo ndani ya meli.

Mkizungumza huku mkiwa ndani ya ukanda wa Afrika Mashariki yaani eneo la bahari ya Hindi huwa ni shida.

Ila wale walofanikiwa kufika nchi za Italia, Ureno, Uingereza, Ubelgiji na Ireland wametumia meli moja maarufu sana ambayo sitaitaja hapa kwa sababu mbalimbali.

Hiyo meli ukiitumia uzuri basi wafika katika hizo nchi bila shida na watakiwa kufahamu tu kiasi lugha ili kuwasiliana uzuri na wenye meli.

Hiyohiyo meli wengi wa watanzania ambao walikuwa wana nia khasa ya kuzamia na sasa wapo Afrika Kusini, wameitumia na imetia nanga kwenye bandari za Beira, Maputo, Durban na Cape Town.

Umeanzisha uzi mzuri na ngoja tudadavue kidogo madaftari yetu ya zamani.
 
Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
6,818
2,000
NIMEPIGA SANA DEIWAKA PALE BANDARINI,SUALA LA KUZAMIA MELI KWA SASA NI NDOTO.
Meli nyingi kwa sasa zimefungwa CCTV camera kwa hiyo ni rahisi sana kuonekana na mala nyingi kabla ya kuingia unakabishi kitambulisho chako
 
Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
9,632

Mkuu, shikamoo kwa maelezo haya. Hakika wewe ni mkongwe.
 
smarte_r

JF-Expert Member
Nov 8, 2013
1,570

kaka bila shaka wewe ni mdigo wa tanga au mombasa. nimevutiwa na uandishi wako.
 
Nashukuru kwa Ufafanuzi na Uchambuzi wako mzuri Mkuu japo sijui ni kwanini umeamua 'Kuificha' hiyo Meli yako ya Linea Mesina kama sijaikosea.
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
39,923
2,000
NIMEPIGA SANA DEIWAKA PALE BANDARINI,SUALA LA KUZAMIA MELI KWA SASA NI NDOTO.
Meli nyingi kwa sasa zimefungwa CCTV camera kwa hiyo ni rahisi sana kuonekana na mala nyingi kabla ya kuingia unakabishi kitambulisho chako
Unaonekana ulikuwa unaandika ukiwa na haraka sana hadi 'Kuyakosea' maneno kama mara ( mala ) na unakabidhi ( unakabishi ) Pole sana Mkuu.
 
Richard

JF-Expert Member
Oct 23, 2006
12,052
2,000
NIMEPIGA SANA DEIWAKA PALE BANDARINI,SUALA LA KUZAMIA MELI KWA SASA NI NDOTO.
Meli nyingi kwa sasa zimefungwa CCTV camera kwa hiyo ni rahisi sana kuonekana na mala nyingi kabla ya kuingia unakabishi kitambulisho chako
Hiyo ni kwasababu siku hizi huwezi zamia meli huku ukiwa huna hata cheti kimoja cha masuala ya melini.

Watakiwa kusomea hata upishi pale Forodhani ili ukikwapuliwa huko ulikojificha basi wasema "nina cheti hiki hapa".

Nahodha atakwambia "Cook for me a nice food I want to eat".

Hapo ndio ufahamu ni fursa ya kwako kupika chakula ambacho wakiishakula watakihitaji tena na na utakuwa ni mmoja wa Chefs in their kitchen.
 
Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
10,696
2,000
Kuna haja ya kupimwa Tezi dume,kifadulo,ukichaa iwapo utaokotwa unazamia kuelekea SOUTH AFRIKA.
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
39,923
2,000
Kuna haja ya kupimwa Tezi dume,kifadulo,ukichaa iwapo utaokotwa unazamia kuelekea SOUTH AFRIKA.
Duniani kuna nchi iitwayo South Afrika? Naungana nawe kabisa kwa kusema 'South Afrika' kweli huko Kupimwa 'Ukichaa' kuanzie Kwako haraka tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom