watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tunalia Watanzania

    Tutakuenzi kwa mengi mazuri uliyotufanyia, Tutadumisha umoja Upendo uliyo tuhusia, Itakuja siku moja tena tutaonana tena, Uliyoagizwa umefanya ulale mahala pema, Hivi ndio kweli hatukuoni tena, Itakuaje ile mitano tena, Wasanii tulikupenda sana, Wanakulilia wakina mama.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Magufuli: Dunia imeshuhudia Watanzania walivyokuwa wanampenda Magufuli

    Mawakala wa mabeberu walikuwa wanajitahidi Sana kuiaminisha Dunia kuwa Watanzania wako kwenye mateso Sana chini ya utawala wa Rais Magufuli. Waliamini watanzania walio wengi watafurahi Sana na kushangilia Magufuli atakapoondoka madarakani au atakapofariki. Kinyume chake mabeberu na mawakala wao...
  3. JamiiForums Tanzania Macho yangu yananidanganya?

    Mimi si kipofu wala si kiziwi. Uwezo wangu wa kuona na kusikia upo juu. Hivi hiki ninachokiona kwa macho yangu na kukisikia kwa masikio yangu ni uongo? Nina maruerue labda? Hayo ninayoyaona ni mazingaombwe? Kwa nyomi hizi zinazojipanga barabarani mwili wa Rais Magufuli unapopitishwa ndo...
  4. JamiiForums Tanzania Watanzania Tunahitaji Reality Check

    Katika pita pita zangu hapa JF na mitandao mingine naona watu wanashangilia sana Magufuli kuagwa kwa nyomi ya watu. Kuna wengine wana "spam" nyuzi za wengine kwa picha za kujirudia rudia zikionyesha idadi kubwa ya watu waliojitokeza tokea jana mpaka leo katika uwanja wa Uhuru na barabarani...
  5. JamiiForums Tanzania Huyu ndio Shujaa wetu hayati John Pombe Magufuli - Rais wa Watanzania na kimbilio la wanyonge

    Mods Moderator naomba msiunganishe huu uzi🙏 Tumshukuru sana Mungu kwa zawadi ya uhai wa John Pombe Joseph Magufuli kwa nchi yetu. Ametutoa pagumu sana, ametuthubitishia yaliyoambiwa hayawezekani yanawezekana kwa vitendo Ametuachia viongozi makini aliowapika kuwa wazalendo kama yeye mwenyewe...
  6. JamiiForums Tanzania R.I.P Rais Magufuli; Ni nyakati mpya na kurasa mpya kwa watanzania

    Mwenyezi Mungu akurehemu katika Safari yako JPM, sisi ni wake na hakika kwake ni marejeo. Umetangulia hatujui inayo fuata ni zamu ya nani kati yangu Mimi na wewe unaye soma mada hii,ila inshallah Allah atufanyie wepesi katika Safari yetu tuondokane na ujasiri na kibri usio na tija kwa jamii...
  7. JamiiForums Tanzania Sababu za kiroho kwanini Tanzania ya Mama Samia itakuwa yenye neema kubwa sana kwa Watanzania

    SABABU NAMBA MOJA: Mama Samia Suluhu Hassan ni CHAGUO LA MUNGU moja kwa moja. Kwa lugha nyingine Mama Samia amechaguliwa na Mungu moja kwa moja kuwa Rais wa nchi hii. Namaanisha hivi urais wa Mama Samia is a result of a Divine/ Heavenly Decree. Mungu mwenyewe ndio...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatakiwa kuwajibika kwa kudanganya Taifa lililokuwa na taharuki kubwa

    Wanabodi najua kabisa tupo kwenye msiba mkubwa. Msiba ambao umemgusa kila mtu na mpaka sasa kila Mwananchi haamini kilichotokea. Lakini yapata kama wiki moja iliyopita taifa zima lilikumbwa na taharuki kubwa. Kila raia mwenye mapenzi na mkuu wa nchi yetu alitaka kujua kama anaumwa au haumwi...
  9. JamiiForums Tanzania Wito kwa Viongozi wengine na watanzania kwa ujumla

    WITO KWA VIONGOZI WENGINE NA WATANZANIA KWA UJUMLA Na, Rpbert Heriel Kwanza namshukuru Mungu, yeye aliyemuweza wa yote, mwenye mamlaka atupaye mamlaka, mwenye nguvu atupaye nguvu, mwenye elimu atupaye elimu, Huyo mwenye kila sifa njema ndiye namshukuru. Baada ya hapo, niwape pole wote...
  10. JamiiForums Tanzania Baba Askofu Bagonza: Naendelea kuleta salaam za pole kwa watanzania wote. Poleni kwa msiba mzito. Faraja ya kweli itufunike sote

    Anaandika Baba Askofu Bagonza MASUALA siyo MAJINA Naendelea kuleta salaam za pole kwa watanzania wote. Poleni kwa msiba mzito. Faraja ya kweli itufunike sote. Katika nyakati za kutafuta au kuchagua Viongozi, Baba wa Taifa alikuwa akisisitiza umuhimu wa kuchambua na kuorodhesha masuala kuliko...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyatta aihutubia Kenya msiba wa Magufuli, atangaza siku saba za maombelezo na bendera nusu mlingoti

    Leo Rais wa Kenya amelihutubia Taifa la Kenya juu ya kifo cha Rais Magufuli na kutoa pole kwa mama Janeth Magufuli na watanzania. Amesema anakumbuka ziara ya Rais Magufuli nchini Kenya na kwa pamoja wakafungua barabara inayoitwa 'Seven Bypass' na kwake binafsi anaikumbuka heshma kubwa...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mama Samia aliposema tushikamane ni muda sasa wa Watanzania waishio nje ya nchi kurudi kuijenga nchi yetu

    Mshikamano huu si kwa walio nchini tu bali wale wote wanaoishi nchi za nje bila kupenda. Kama kuna Mtanzania yeyote aliikimbia nchi, naomba arudi 'tushikamane' tujenge nchi yetu. Kama kuna mfanyabiashara yeyote alihamishia biashara yake nje ya nchi, naomba arudi 'tushikamane' tuijenge Tanzania...
  13. JamiiForums Tanzania Tulizeni Mioyo Watanzania: Taifa liko Salama Mikononi mwa Mama Samia Suluhu Hassan

    Naomba kuwapa pole Watanzania wenzangu kufuatia msiba huu mkubwa wa Taifa letu. Kifo cha Rais John J. P. Magufuli kumeacha ombwe na pia mafunzo kwa maisha yetu sote. Nimepokea kwa masikitiko makubwa msiba huu. Vyovyote vile ilivyo, kama nilivyowahi kusema huko nyuma hakuna ombwe la uongozi...
  14. JamiiForums Tanzania Je, CCM ni chama kisichopenda Watanzania wawe na maisha bora? Tangu kitawale nchi hakuna mtawala aliyewaacha vizuri wananchi

    Tangu tupate Uhuru CCM imekuwa initawala hii nchi. Hakuna mtawala ambae kama Rais wa nchi alishawaacha watanzania na maisha bora. Awamu ya Kwanza ya Mwl. iliacha watanzania wakiwa na hali mbaya sana ya kimaisha. Watu walivaaa masempele. Mahala pa kulala palikuwa hovyo kabisa. Awamu ya pili...
  15. JamiiForums Tanzania Lini Tanzania itapata kiongozi kama Hugo Chavez? Watanzania hatunufaiki na rasilimali zetu

    Marehemu Hugo Chavez alikuwa kiongozi anayefaa na kama hapa Tanzania tungekuwa na kiongozi kama Hugo Chavez tungefurahia kuwa Watanzania. Leo hii hili taifa lina kila aina ya rasilimali ambazo kama tungekuwa na kiongozi makini basi tusingesikia wananchi wanapata tabu. Leo hii wananchi...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Namna malezi na utamaduni wa Watanzania unavyoathiri afya ya akili kwa Wanaume

    Nini maana ya afya ya akili? Ni hali ya kuwa sawa kiakili na kisaikolojia au kutikuwepo kabisa kwa usumbufu wa akili ya mtu, mfano msongo wa mawazo. Huhusisha uwezo wa mtu kufurahi maisha na kutengeneza mlingani baina ya shughuli za kimaisha pamoja na jitihada za kufikia uwiano mzuri...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Serikali Ili kuwasaidia hawa Watanzania Maskini

    Huwa mara nyingine nikiwa Ofisini napenda kumpa pesa bwana mmoja aniletee Madafu. Ni muda kidogo sikununua madafu leo nimemtuma aninunulie dafu. Nikampa tsh 10,000. Kwa mshangao mkubwa kaleta madafu mawili. Akimaanisha kila dafu tsh elfu tano 5,000. Nakumbuka mwaka jana mwezi wa nane pia...
  18. JamiiForums Tanzania Wimbo wa Ndala Kasheba Dunia Msongamano umezungumzia kabisa tabia ya Watanzania

    Mawazo yamenijia leo aliokuwa mzee wangu akisema dunia ni msongamano wa watu wenye akili tofauti. Ukitaka kuishi vema fikiri kabla ya kujibu jifunze kwa walimwengu walimwengu wajifunze kwako dunia ni kuona mambo halafu kuyasahau. Mateso nimeshayapata matatizo mengi yamenikuta furaha nyingi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Waafrika tuanzeni Kujifunza kujiandaa Kisaikolojia kwa Majanga makubwa Matatu kama haya yafuatayo....

    1. Ukisikia kuna AJALI KUBWA imetokea mahala popote Barani Afrika jueni ni jambo la Kawaida tu na Umakini uongezeke ili Kuepuka na zingine mbeleni. 2. Ukisia kuna MWANDAMIZI ( KIONGOZI ) yoyote au MTU MAARUFU yoyote yule ana ANAUGUA sana au hata AMEFARIKI ( hapa Barani Afrika ) wala usishtuke...
  20. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, hana mapenzi mema na Watanzania

    Habari wana JF, huwa sipendelei sana kuiongelea siasa wala hata kutembelea huku upande wa siasa lakini dah Tandu Lissu leo kanileta huku. Tundu Lissu hana mapenzi mema na nchi yake wala wananchi wa nchi yetu Tanzania. Kwa haya yafuatayo • Hamtakii mema Rais anaye waongoza wananchi ambao na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…