watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mbunge Kikoyo: Sheria ya Bima ina matatizo makubwa, hatuwatendei haki wananchi

    Dkt. Oscar Kikoyo Ishengoma amesema Sheria ya Bima hususan kwenye makosa yanayotokana na ajali za barabarani ina matatizo makubwa. Amesema, "Ukisoma hii Sheria, ajali inapotokea barabarani Jeshi la Polisi watapima, Kesi itapelekwa Mahakamani Hukumu itoke kisha Mhanga aiambitishe ili kwenda...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wapinzani na Watanzania kwa ujumla, tudai kutoelewa hadharani kwa ripoti ya uchunguzi wa BOT

    Nafikiri wakati umefika kwa wapinzani, wanaharakati na Watanzania kwa ujumla tudaii kutolewa kwa ripoti ya uchunguzi pale BOT kama Raisi Samia alivyokuwa ameagiza. CHADEMA, ahadi ya kukaribishwa Ikulu isiwatoe kwenye reli wala kuwaziba midomo nyinyi kama wapinzani. ACT, na nyinyi kuwa sehemu...
  3. JamiiForums Tanzania Je, huu ni Uthibitisho kwamba Watanzania wanajua mno Kusali au labda wanajua sana Kuroga?

    Corona ilikuwa Tishio duniani na hasa Tanzania lakini ilipotangazwa tu kuwa inakaribia kuja Kutuambukiza na Kutuua kwa Mshangao mkubwa ikatoweka. Tokea Juzi TMA wanatutisha tu Watanzania ( hasa hasa Wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam ) kuwa Leo tarehe 25 April, 2021 tungekiona cha Mtema Kuni kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia kukubali kukutana CHADEMA ni kuwasaliti Watanzania wazalendo

    Hiki chama cha siasa kinachoitwa Chadema kimejaa wanasiasa wanafiki na wajali matumbo yao. Hawana nia njema na taifa letu. Sio wa kuwakaribisha ikulu kabisa. Kipindi taifa letu linapambana na janga la Korona mwaka jana walitoka bungeni na kutaka tuweke Lockdown. Walikuwa wakipotosha kuwa watu...
  5. U

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Kimbunga JOBO hakipo

    Kimbunga Jobo chawa dhaifu baada ya kukaribia kuingia Tanzania Madhara ya kimbunga hicho sasa kupungua hivyo tuendelee kuchukua tahadhari Mungu ni Mungu Aksanteni kwa Maombi yenu Watanzania TMA UPDATES
  6. JamiiForums Tanzania Watanzania 11 mashakani nchini Msumbiji, siku 365 hawajulikani walipo

    Ni situ 365 yaani Mwaka mzima Tangu Meli ndogo ya mizigo MV AL.HUSSEIN II inayomilikiwa na bwana MAULANA SALUM ilipewa kibali Tarehe 3/4/2020 ikiwa na Watanzania 12 kutoka Zanzibar kupeleka sheena ya Mchele Msumbiji, haijarejea Zanzibar Tangu wakati huo pamoja na kwamba taarifa za kuufikisha...
  7. JamiiForums Tanzania Mbunge: Mbowe alidanganya Watanzania, Biashara zake hazikufungwa na Serikali bali Wanafamilia yake

    Mbunge wa Viti Maalum kutoka CCM, Jackline Ngonyani, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA aliwadanganya Watanzania kuhusu Serikali kufunga biashara zake na kumyanyasa. Amesema biashara anazozifanya Mbowe ni za urithi wa Familia na alikuwa anazifanya bila kuwapa mrejesho Wanafamilia ndipo walipokwenda...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia na hotuba ya matarajio kwa Watanzania

    RAIS Samia Suluhu Hassan, amezidi kuonyesha ni kiongozi mwanamageuzi, mtu bora na sahihi aliyeandaliwa kuwa kiongozi madhubuti kwa namna anavyowasilisha hotuba zake, ambazo zimekuwa zikivutiwa watu na kutoa mwelekeo thabiti wa Tanzania bora, ambayo inakwenda kufanikiwa chini yake. Hii...
  9. JamiiForums Tanzania Makundi 4 ya Watanzania waliobaki Njiapanda baada ya Hotuba ya Rais Samia ya Aprili 22, 2021

    Hotuba ya Rais Samia hapo jana imeacha watu wengi nija panda. Binafsi naona kama ililenga zaidi kuyapooza makundi yaliyokuwa yanapiga kelele kama: Vyama vya upinzani Team Magufuli Wafanyabiashara Wananchi wengine kiukweli tumebaki njiapanda, maana hatujui ni upi uelekeo wa Rais hasa...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu kuhutubia Bunge Alhamisi Aprili 22, 2021

    Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Rais Samia Suluhu Hassan atalihutubia Bunge Alhamisi Aprili 22 2021 jioni Hiyo itakuwa mara ya kwanza kwa Mama Samia kulihutubia Bunge tangu alipoapishwa kuwa Rais Machi 19 mwaka huu. === Rais Samia Suluhu Hassan atahutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
  11. I

    JamiiForums Tanzania BAWACHA: Rais Samia asiwatambue Wabunge 19 wa Viti Maalum waliofukuzwa uanachama CHADEMA

    Katika mkutano huo, Catherine Ruge amesema: Tumeona kwenye vyombo vingi vya habari kuwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassani anaenda kulihutubia Bunge tarehe 22 -04-2021 kwa mara ya kwanza tangu alipoapishwa kwa rais wa JMT kufuatia kifo cha mtangulizi wake, Dkt. John Magufuli. Kuelekea tukio...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Doto Biteko kanusha tuhuma zinazokuandama mtandaoni vinginevyo Watanzania wataaamini kuwa ni kweli

    Waziri wa Madini Doto Biteko kwasasa ni vyema utoke hadharani wewe kama wewe na kukanusha tuhuma zote zinazokuja katika mitandao mbalimbali ya kijamii kama inavyosema kuwa katika awamu ya sita ulifanya Wizara ya Madini kuwa ni sehemu ya kanda yenu. Kanusha kuhusu wizi wa madini ya Tanzania...
  13. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli anao wengi wa kumtetea, legacy na Watanzania

    Salamuni wanangu janvini. Japo Hayati John Pombe Magufuli hatarudi kujitetea tokana na madongo anayorushiwa na wasahaulifu wa nchi yetu, anao watetezi yaani legacy yake na Watanzania wenye mapenzi mema na taifa lao. Hivyo, hata kama hawezi kujitetea, wapo watakaomtetea hadi kieleweke. Naleta...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Ramani ya nyumba vyumba viwili kwa watanzania wakawaida

    Nimejitahidi kadri ya uwezo wangu naanda hii ramani ya nyumba ya vyumba viwili kwaajili ya watanzania wenye uchumi wa kawaida kama mimi. Unaweza kujionea hapa chini. Ila bado haijamalizika.
  15. W

    JamiiForums Tanzania Jeshi lijitathimini kuhusu uadilifu na uaminifu wake kwa Watanzania wote

    Ndg wanajamvi habari za jumapili. Niende kwenye mada moja kwa moja, “Jeshi lijitathimini” ndiyo Jeshi letu kwa macho ya nje limejivika vazi nzuri la uaminifu macho pa Watanzania wote lakini kwa ndani linapokuja suala la Ajira ndani ya Jeshi hasa hili tunaloliona la vijana wa JKT siyo Waaminifu...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Dodoma itaendelea kuwa Makao Makuu ya Nchi. Ujenzi utaendelea

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewatoa hofu Watanzania waliofikiri mkakati wa Dodoma kuwa Makao Makuu ya Nchi hautoendelea. Akiwa Bungeni Dodoma, "Serikali imeweka mfumo mzuri wa kuhakikisha Makao Makuu ya Nchi yanaendelezwa kwa kujenga na kuendelea na mipango ya maendeleo ya Jiji la...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Hotuba ya Nape na Makamba ni ya kutupumbaza watanzania. Wana jambo lao

    Mh. Rais Samia. Nimesikiliza hotuba za hawa watu wawili, Makamba Jr (Jana) na Nape(Leo). Hawa watu wanajua kucheza na siasa ili mambo yao yakubirike kwa jamii. Ukiteleza kidogo tu wana wewe. Ukiwaangalia kwa nje ni kama kondoo lakini kwa ndani wanalo jambo lao. Ni vile mimi nimeanza...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba: Ukitumia vigezo vya dunia nusu ya Watanzania (watu milioni 28) Wanaishi katika ufukara uliopitiliza

    Mwenyekiti wa CUF Profesa Lipumba amesema ukitumia vigezo vya dunia kutathmini hali ya maisha ya watanzania basi zaidi ya nusu ya watanzania ni mafukara wa kutupwa. Lipumba amesema zaidi ya watanzania milioni 28 wanaishi kwa umaskini uliopitiliza. Ramadhan Kareem!
  19. JamiiForums Tanzania Wabunge na Bunge lishitakiwe kwa kutosoma na kupitisha mikataba inayowaibia waTanzania

    Haya ni maoni ya mwandishi Ndg Mgamba. Bunge na wabunge washitakiwe na wananchi kwa kupitisha mikataba inayowaibia wananchi mali nyingi za madini na biashara. Actually ana sema ni UHAINI kupitisha mikataba inayotuibia , bila kuisoma na kutetea maslahi ya nchi. Mimi naunga mkono msimamo huu...
  20. JamiiForums Tanzania Vifurushi vya internet: Ina maana Watanzania tumechezewa akili?

    Nawasalimu wanajukwaa wote kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania pia nawatakia Waislamu wote mfungo mwema wa mwezi mtukifu wa Ramadhani. Niende moja kwa moja kwenye topic, lengo la uzi huu ni kuhusu hili suala zima la vifurushi au mabando katika mitandao ya simu. Kama tunakumbuka kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…