watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. beth

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: 94% ya Watanzania wapo katika hatari ya kupata maambukizi ya Malaria katika kipindi cha mwaka mzima

    Kwa mujibu wa Takwimu za Wizara ya Afya, 94% ya Watanzania wapo katika hatari ya kupata maambukizi ya Ugonjwa wa #Malaria katika kipindi cha mwaka mzima. Hayo yameelezwa na Waziri Ummy Mwalimu katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani Amesema kwa Mujibu wa takwimu za Mwaka 2021...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nimeishi Moshi, Bukoba, Lushoto aisee watanzania tuna ukarimu sana tofauti na tunavyoshambuliana kwa tofauti zetu

    Aisee nimejifunza kitu kimoja kuhusu sisi watanzania baada ya kutembea mikoa tofauti na kuishi huko. Watanzania tunaweza kuwa tunatofautiana na kurushiana maneno mitandaoni juu ya sijui kabila fulani, hivi mkoa fulani hivi..ila kiuhalisia tunaishia kwa upendo sana. Ok kiufupi, nimezunguka mikoa...
  3. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Nina bajeti ya bia sita niatakuwa nikizishushia wakati watanzania tunabagazwa huko Gauteng province.

    Bia ya baridi itakuwa inapoza machungu tutakayoyapata wakati maharamia wanatuharamia Hakuna jinsi sasa nifanyeje?
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Afrika Mashariki inakua kadri Miaka inavyosonga. Je, Tanzania na Watanzania wananufaika?

    Wakuu salaam, Kadri siku zinavyozidi kwenda Jumuiya ya Aftika Mashiriki inazidi kukua kwa kuongezeka nchi Mwananchama. Kihistoria Jumuiya ya Afrika Mashariki ilizaliwa mnamo mwaka 1967 ikiwa na nchi tatu. Soma: kama inavyooneshwa katika ramani hapa chini. Picha: Ramani ikionesha nchi tatu...
  5. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Watanzania waandamana katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani

    Baadhi ya Watanzania wamejitokeza nje ya Ubalozi wa Tanzania Nchini #Marekani na kufanya maandamano wakiwasilisha madai mbalimbali. Baadhi ya madai yao waliyoandika kwenye mabango yao ni Mabadiliko ya Katiba, kuachiwa huru kwa Wakili Peter Madeleka pamoja na kufukuzwa Bungeni Wabunge 19...
  6. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Watanzania nchini Marekani wakati wa ziara ya Rais Samia; Je, suala la Katiba Mpya ni muhimu kwa Taifa letu la Tanzania!?

    MAANDAMANO YA WATANZANIA NCHINI MAREKANI;JE SUALA LA KATIBA MPYA NI MUHIMU KWA TAIFA LETU LA TANZANIA!? Leo 12:15pm 24/04/2022 Leo tumeamka na video,picha za maandamano ya Watanzania diaspora,katika Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani,wakiwakilisha madai mbalimbali ikiwemo ya mabadiliko ya...
  7. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Utoroshwaji wa rasilimali za taifa letu uliofanyika awamu ya nne umerejea kwa kasi awamu hii ya Rais Samia. Watanzania tutaibiwa sana wakati huu

    Mtu anakiri bila aibu kuwa alitorosha mawe 11 ya ruby yenye thamani kubwa halafu mnanegotiate nae nini? Kwanini msiyapokonye na kuyarudisha hapa Tanzania? Haya je hilo la bil 276 alilolitorosha hivi majuzi? Awamu ya Jakaya ndio kipindi tuliibiwa? 👇...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe amewasaliti watanzania, hana nia na mpango wa kuig'oa CCM madarakani, anazuga mitaani akiokoteza vijisenti vya kujaza matumbo yake

    Aliachiwa na Mama Samia kwa mkataba maalumu. Eti wajenge nchi. Sasa mtu makini utajenge nchi na hii CCM? Sasa hivi hasikiki kama ana mpango wa kuhakiaha CCM inag'oka madarakani. Kumbe jela ni njia ya kunyamazisha watu.
  9. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sio Mnigeria tu, wanawake Watanzania walalama wanavyonyanyaswa kila wakifanya utalii wa ndani

    Baada ya mwanamke Mnaijeria kujitokeza na kulalamika alichokumbana nacho wakati alikwenda kutalii, wanawake wa Tanzania wajitokeza na kusema yale ambayo hukumbana nayo kila wakijaribu kutalii nchi yao, au utalii wa ndani. Dharau, kejeli na matusi, wengine hata hunusurika kubakwa, hutukanwa kisa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ombi: Usambazaji wa Picha za Rais Samia Mitandaoni akiwa Marekani ziendane na 'Direct Economic Impact' Mifukoni mwa Watanzania

    Naanza kuona taratibu Nguvu Kubwa inatumika kumuonyesha Mheshimiwa Rais Samia akikubalika zaidi na Wazungu (hasa hasa hawa Wamarekani) na kwamba aliyekuwa Boss wake hakuliweza au hakulifanikisha hilo ila kwa bahati mbaya mno Nguvu hiyo hiyo haitumiki Kuwafafanulia Watanzania ni jinsi gani Ziara...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mbunge Tabasamu wewe ni Mbunge wa Watanzania

    Nimekuwa nikikufuatilia katikati michango yako uwapo Bungeni hakika nakupongeza,wewe sio chawa wa aliyeko juu. Dhambi baridi itawatesa maafisa wengi sana kupitia haki zao za ustaafu kucheleweshwa. Mh Tabasamu eti uchaguzi 2020 waliiba kura,Basi kama ni kweli wewe walikuibia kiuhalali.
  12. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Siku ya ubunifu: Tusherekee vitu na mambo yaliyobuniwa na watanzania.

    1. Chips yai(Zege) 2......
  13. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Watanzania tujulishwe shughuli zote anazozifanya Rais Samia huko Marekani

    Ombi langu moja tu asubuhi ya leo. Rais juzi amesema kuwa amekutana na wasanii wakubwa nchini marekani Watanzania hatukujua hilo, naamini anaendelea kukutana na wadau mbali mbali ila litakuwa kosa kubwa kuujenga utamaduni huu Rais wetu wa nchi kuwa anakutana na wadau gizani. Popote duniani huo...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Mapato ya Filamu ya Royal Tour kule AMAZON ni kufuru, kuingizia Tanzania zaidi ya TZS 1.5 Trilioni kwa mwaka

    Iko hivi, Sote tunafahamu, Filamu ya Royal Tour ni mali ya Watanzania kwa 100% Tanzania imeigharamia filamu hii tangu kurekodiwa kwake mpaka kuzinduliwa kwake huko Marekani. Inakadiriwa mpaka kukamilika kwa uzinduzi wa filamu hii imetumia zaidi ya TZS 7.2BL fedha toka kwa wadau wa maendeleo...
  15. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baadhi ya Watanzania hawajui tofauti kati ya GDP na GDP Growth Rate?

    Kuna huyu Mtanzania anayeitwa joto la jiwe ambaye ndio genius wa huku. Lakini nimeshangaa kuona kwamba jamaa hajui tofauti kati ya gdp na gdp growth rate. Gdp ni thamani ya bidhaa na huduma zinazozalishwa ndani ya uchumi fulani kwa muda wa mwaka mmoja. Gdp growth rate ni kiwango cha kuongezeka...
  16. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ni stress, kiburi au vichwa vigumu, kwanini watanzania wengi hupuuza amri kama "usikojoe hapa, usipite njia hii, abiria chunga mzigo wako

    Usipite hapa, nakumbuka hapa kwa macho yangu zamani tulifika sehemu ni kama kuna ujenzi wa barabara unaendelea wamefunga njia, mjomba alishuka kwenye gari akatoa jiwe slinaliziba njia, alikuwa anawahi bar, alinishushia njiani Msikojoe hapa....mtu anakojolea kabisa hayo maneno kwa mtindo wa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge Kushangilia Bungeni kupewa Futari ya bure na CRDB je, kwa wenye Akili Watanzania wote tunaonekana vipi?

    CRDB mnatoaje Futari ya bure kwa Wabunge ambao tayari wana Posho ya zaidi ya Shilingi 350,000/= kwa Siku badala ya Kusaidia Makundi ya Watu wengi wenye Mahitaji hasa kwa Kipindi hiki na hata katika Maisha yao ya Kiujumla? Kilichonishangaza zaidi ni Kitendo cha Wabunge kutangaziwa na Spika wa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Watanzania tunasubiri hadi labda Kiungo bora wa Ukabaji Jonas Gerald Mkude astaafu au afe ndiyo tumtunuku Tuzo kwa Kipaji chake Kikubwa?

    Ndani ya miaka 12 na tokea nianze Kumuona akiwa Simba SC B ( aliyokuwa nayo Kocha Matola ) na Kupandishwa Timu ya Wakubwa mwaka 2012 mpaka leo ( 2022 ) bado sijamuona Kiungo Mkabaji wa ama Kushindana nae au hata Kumzidi. Sishangai ndiyo maana wakiwa katika Ndege wakitokea nchini Algeria kucheza...
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wengi hufukuza ama kupiga wanyama bila sababu?

    Hebu chukulia mfano yanayoendelea Ukraine, mtu unamkuta anaenda kutafuta hifadhi pamoja na mnyama wake, leo hii sitashangaa hapa kwetu mtu akihamia hata mtaa wa nne basi atamtelekeza mbwa wake. kuwatesa wanyama ni kumtemea mate usoni Mwenyezi Mungu alieumba viumbe vyote, kuna hizi tabia...
  20. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Wanaijeria wa Clubhouse wakubaliana kwamba watanzania wanaunga mkono ubakaji

    Baada ya sakata la Zainab aliyedai kunusurika kubakwa akiwa Zanzibar, Wanaijeria mbali mbali wameonekana kukasirishwa na tukio hilo na kuanzisha mjadala unaosema kwamba Watanzania wote ni wajinga wanaounga mkono ubakaji. Wanaijeria hao wamekataa kufuta kauli hiyo na kuwaita watanzania ni...
Back
Top Bottom