Eli24
Senior Member
- Jan 1, 2018
- 165
- 365
Habari za Jioni ndugu zangu FB
Ngoja niende moja Kwa moja kwenye point, wiki iliyopitaa nimeweza pata kufka kwenye Jiji maarufu huku Latin America la Rio de Janeiro.
Niko kikaz kidogo ila nitataman kukutana na watanzania waishio katika jiji hili tupge story mbili tatu na kufahamiana zaidi. Kama Uko free basi karibu pm tujajengeee. Ahsante sana.