watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais sio mama aliyewanyonyesha watanzania. Anatakiwa asimamie nchi kwa mujibu wa katiba. Sio akikosea asikosolewe kisa ni mwananamke

    Nimeona mahala kwenye mitandao ya kijamii rais wa JMT anasema watu wasipambanae kisa tu eti yeye ni mama. Hapa nafikiri anataka kupindisha mambo. Kwanza nafikiri hakuna anayependa kupambana na mkuu wa nchi bali watu huwa wanataka mambo yeende sawa kwa mujibu wa katiba ya JMT. Lakini kama rais...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hili la kulipia kibao cha namba za Makazi Watanzania wenzangu na ninyi ujumbe umewafikia?

    Nimetumiwa ujumbe na mtendaji wa kata nifuate kibao cha namba za makazi niende na shilingi 5000 ya kulipia , ilipo nyumba nyingine mtendaji kanitumia meseji niende nikalipie 5500 , hivi, hivi vibao vya namba za anuani ya makazi vinalipiwa tena? Serikali ya awamu ya sita jamaniiiii mbona hivyo...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hitimisho langu: Ujinga ni tatizo kubwa sana kwa Watanzania

    Amani iwe nanyi! Kama kichwa cha mada kinavyosema, kwa muda mrefu sasa nimegundua kwa nini mwalimu nyerere alitamka kuwa moja wa maadui wakubwa wa Tanzania ni ujinga! Nasikitika kusema pia, kuwa hatujaweza kumuondoa huyu adui ujinga! Mwana jf samurai katika uzi unaoelezea Mhe Rais kufanya...
  4. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Nashauri Royal Tour izinduliwe Nchi nzima. Kumbe ina faida kubwa kwetu Watanzania kiasi hiki? Sikuwa najua

    Ule uzinduzi wa Marekani ulikuwa na faida sana kwa wale ambao tulipata nafasi ya kwenda kuhudhuria kule na kuhamasisha. Ingawa tulikaa siku chache sana lakini si haba. Wengi wameweza kufanya kitu nyumbani. Wengine wamepaua,wamenunua tugari,viwanja n.k mimi nimeangalia wanaopinga hii ni wivu tu...
  5. Explainer

    JamiiForums Tanzania Watanzania hatuthamini muda

    Nipo hapa Airport Dar es salaam, barabarani nimeona mamia ya magari ya abiria na binafsi, aisee wamesimama tu muda mrefu wamesubilishwa kwaajiri ya misafara ya viongozi wakuu wa nchi. Takribani takika 45 mbele ndio naona kuna ndege zinatua hapa....Inawezekana kabla hata kiongozi hajaanza...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Watanzania tupo kwenye kipindi kigumu sana na kwa bahati mbaya kuna dalili za hali kuzidi kuwa mbaya

    Ishawahi kukukuta siku ambayo mpaka umefika mchana wa saa 9 hujaweka kitu tumboni, sio kwamba umefunga hapana bali huna hela ya kula? Ukaona kimbilio pekee ni kumtafuta mtu wako wa karibu akukopeshe angalau hela ya kula tu ili uondokane na zahma inayokukuta. Ukamtafuta wee kwenye simu bila...
  7. marco polo jr

    JamiiForums Tanzania Watanzania 38 waukana uraia wa Tanzania

    Habari zaidi angalia kiambatanisho
  8. Mystery

    JamiiForums Tanzania Je, hukumu ya Sabaya imetolewa ili kuzima malalamiko ya mamilioni ya Watanzania kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta?

    Najua kuwa hii hukumu imekuja ghafla, kwa kuwa wananchi walikuwa wameshatangaziwa hapo kabla kuwa hukumu hiyo ya rufaa, ilikuwa imepangwa kutolewa tarehe 31 mwezi huu. Sasa ninachojiuliza, ni kitu gani kilichofanya Mahakama irudishe nyuma,na kutoa hukumu, kabla ya tarehe ambayo ilikuwa...
  9. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania Lengai Ole Sabaya ashinda rufaa na kuachiwa huru na Mahakama Kuu ya Arusha

    Wakili wa upande wa utetezi Moses Mahuna akieleza kuhusu Sabaya na wenzake kushinda rufaa yao na kuachiliwa huru katika Mahakama Kuu Kanda ya Arusha. Sabaya na wenzake watatu wamebakiza ngwe moja ya hukumu ya kesi ya uhujumu uchumi baada ya Mahakama Kuu ya kumwachia huru muda huu. Warufani...
  10. Malcolm X5

    JamiiForums Tanzania Ila Watanzania nimewashindwa tabia

    Tafadhali haimaanishi kudharau,au kashfa yoyote kwa Mama yetu mpendwa,kwanza yeye ana ngozi ngumu,Embu pitia comments za anaowaongoza na anachowapigania wanavyofikiri,ufurahie siku yako..
  11. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Profesa Shivji: Wasomi wanaogopa kukosoa Serikali ili wapate teuzi. Hawana msaada tena kwa jamii ya Watanzania

    Wasomi wapo kwa ajili ya matumbo yao tu. Hawana msaada wa kitaaluma kwa taifa letu tena. Hawakosoi kwa manufaa ya umma -- Mwanazuoni mkongwe nchini, Profesa Issa Shivji amesema sehemu kubwa ya wasomi nchini wameshindwa kulisaidia Taifa kwa kutoa ushauri unaofaa huku wakisubiri kuteuliwa kwenye...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Watanzania hata wasipoongezewa Mishahara, 85% yao ni wabadhirifu na hawakuwahi kuwa na 100% ya Ufanisi kazini

    Kuna hasara kubwa sana kwa Watanzania kutokana na Wafanyakazi kutopandishwa mishahara, maana hawatofanyakazi kwa ufanisi na wataanza kutafuta vipato vya ziada ili kujikimu. Taarifa: Godbless_lema Na usichokijua tu ni kwamba Wafanyakazi wa Kitanzania ( hasa wa Public Sector ) walishanusa Siku...
  13. britanicca

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanamuunga mkono Urusi wakidhani ni USSR, siyo na mjue Urusi hana msaada aliowahi toa Kwa Tanzania

    Watanzania wengi wanamuunga mkono Russia, wakidhani ni USSR. Hawajui kuwa wanachanganya kati ya Russia na USSR. Russia na USSR ni vitu viwili tofauti ingawa historia inaonyesha Russia aliwahi kuwa sehemu ya USSR, lakini nje ya USSR. Russia hakuwahi kuwa na msaada kwa Tanzania na waafrika...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania, Shilingi ya Tanzania na Maisha ya Watanzania

    Habari wana JF Nimejaribu kufuatilia kwa undani sana suala la shilingi ya Tanzania ukilinganisha na dollar pendwa ya Kimarekani ,kwanza tumsikilize huyu kiongozi kuhusu shilingi ya Unguja. Kama umsikia kwa Umakini kipindi hicho Shilingi 1 ilikuwa na thamani sana kulinganisha na Sasa, Lakini...
  15. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mungu akubariki kwa kuwaambia watanzania ukweli

    🤝🤝🤝
  16. J

    JamiiForums Tanzania Shaka: Rais Samia kuwalipa waliofukuzwa kwa vyeti feki ni ishara ya huruma, upole na upendo kwa Watanzania

    Baada ya kusikiliza hii sasa Pitia hizi nondo kwa makini,Viva Tanzania, POINT TO NOTE, 1. Hawa watu wanawatoto wanaowategemea sijui hao watoto wanahali gani hata leo!!? 2. Hawa watu wanawazazi wanaowategemea sijui wazazi wao kama leo wako hai au walikufa kwa Presha!!? 3. Hawa...
  17. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Rai yangu kwa watanzania tujichukulie sheria mkononi.

    Wasalaam Kufuatia kuwapo kwa makundi ya panya road yaliyokatakata raia kwa mapanga na kupora mali zao kisha kuwabaka wanawake, wito wangu kwa watanzania wanaovamiwa wajibu mapigo kwa silaha zozote walizonazo hata ikibidi watangaze vita na hawa vibaka. Tupambane panya road akishikwa tumtie...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuna utamaduni gani,mpaka hatuna uwezo wa kujitetea?

    Naandika nikiwa na hasira sana juu ya jinsi mimi na watanzania wenzangu tunavyoishi katika mazingira yetu ya kila siku. Unakuta mtu naporwa simu, au naonewa lakini watu pembeni wamekaa tu hawashughuliki kumsaidia. Raia wote wanaacha jukumu la kujilinda liwe la polisi tu kana kwamba wao...
  19. N

    JamiiForums Tanzania WATANZANIA NI HOVYOO: TUHURUMIE MAKAMPUNI YA SIMU

    Mbona tunakuwa kama siyo waelewa,kuna vita vya ukraine , mafuta ya magari yamepanda, kwa nini bando zisipande kwanza bei za Tz zipo chini sana Mheshimiwa Nape ni vyema bando la gb 1 liwe tshs 7000 itainua mapato ya nchi na vilevile itapunguza usumbufu mitandaoni Bando ziendelee kupanda nakazi...
  20. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Picha: Watanzania mnakula sana mbwa bila kujua. Usijitapishe ukiona hii picha

Back
Top Bottom