watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nani aliyewadanganya Watanzania kuwa moja ya Sifa ya kuwa Rais wao ni mpaka Umiliki PhD ya Kutishia / Kubembeleza Watoaji?

    Anyways kwakuwa sasa kwa Tanzania kama una Ndoto za kuja Rais wao basi Sharti ni lazima Umiliki PhD (Doctorate) iwe ya Academical au Honorary (ya Huruma, Utu na Upole) ili Uogopwe na Wapiga Kura. Na Mimi GENTAMYCINE najipanga sasa Kuwaroga Watoa PhD's maarufu nchini UDOM na UDSM ili wajikute tu...
  2. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kuna nini kwenye miradi ya kuzalisha umeme ya gesi na mafuta mpaka iwe chanzo cha kuibia Watanzania na kuwapora nishati ya umeme?

    Kwa nini watawala wasio na nia njema na CCM hawataki mradi wa JNHP ukamilike na kutatua kero ya umeme hapa nchini? Kisingizio kinakuwa hali ya hewa. Tangu mlete miradi ya na majenereta ya mafuta na gas tukawa tunaibiwa na Dowans Aggrekoz, Iptl na utapeli wa Richmond nyie CCM vibaka mbona hamna...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ahadi ya Rais Samia kwa Watanzania

    Rais Samia akiwa njiani kuelekea Dodoma alisimama katika Halmashauri ya Wilaya Chemba kusalimiana na wananchi na kusema "Ahadi yetu kwenu tutarudisha kuwatumikia wananchi na kuondoa changamoto zinazowakabili hii ndio ahadi yetu kwenu"-Rais Samia Suluhu. Changamoto zinazowakabili watanzania...
  4. Robert S Gulenga

    JamiiForums Tanzania Tatizo la maji limetatuliwa, la umeme litakwisha karibuni na miradi mingine yote inakamilishwa. Watanzania tuunge mkono juhudi za serikali yetu

    Serikali ya awamu ya sita haijawahi kupumzika katika kutatua kero za Watanzania, tatizo la maji lililokuwa limetokea hivi karibuni hasa kwa Wakazi wa Dar Es Salaamu limetatuliwa kwa asilimia 100, tatizo la mgao wa umeme liko mwishoni kuwa historia, kila kitu kinahitaji muda na fedha...
  5. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inakwenda kuvuna aibu mbele ya CCM uchaguzi ujao kwasabu haijapanda chochote kwenye mioyo ya Watanzania

    Ndugu zangu mtu huvuna alipopanda mbegu,alipopalilia na kuhudumia mmea. Mpaka Sasa Chadema Haijapanda chochote katika mioyo ya watanzania,Hata shamba haina Wala mikakati na mipango ya shamba haina, haina hata mpango wa kwenda shambani achilia mbali kukijari kilimo Cha kisiasa katika mioyo ya...
  6. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Tundu Lissu huko Ulaya inafaida kwake na kikundi cha watu wachache na si kwa Watanzania

    Kwa sasa sioni kitu kipya kutoka kwake, anaishi Ulaya hataki kurudi nyumbani, anasubiri tu uchaguzi ukifika ndiyo aje kutafuta hela na kuhamasisha vijana kufanya vurugu. Wengine wanapata vilema na kuozea jela baada ya uchaguzi. Yeye anatafuna kashata Ubelgiji watoto wake wakiwa Marekani...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ukweli na uwazi wa serikali ya Rais Samia umeleta utulivu na Amani, Kuaminika na Kuungwa Mkono na watanzania

    Ndugu zangu utulivu,amani na mshikamano uliopo hapa nchini ni kutokana na serikali ya Rais Samia kuaminika na watanzania,kuungwa mkono na kupewa ushirikiano wa kutosha kunakotokana na kuendeshwa kwa uwazi na ukweli kwa serikali inayoongozwa na Rais wetu Mama Samia. Watanzania wanafahamishwa na...
  8. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Magufuli alijitoa nafsi yake kuwasaidia Watanzania. Rais Samia anajitoa nafsi ili achaguliwe tena 2025

    Rais Samia ana bidii kubwa katika kufanya kazi lakini siyo kwa sababu zilezile za Magufuli. Wanafanya kazi ambayo kimsingi ni ni ile ile lakini kwa sababu tofauti Nimeona sometimes watu wanampinga Rais Samia nimejiuliza hawa watu wanatania au vipi? Lakini naona tofauti katika utendaji kazi wa...
  9. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo Watanzania tumekubali mgao wa umeme na maji ndiyo mfumo wa maisha yetu?

    Hakika hii nchi takatifu sana kwa mazito niyaonayo Mimi lakini Watanzania masikini na unyonge wao hawana la kusema hata kumtaka MTU flani aondoke madarakani hakuna. Kama haya yanavumilika basi nchi ni takatifu sana. Kuna nchi mkate ulipanda bei wakaamua kwenda kula mikate ya kiongozi wao. Mimi...
  10. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Sisi Watanzania si wajinga sana

    Kwa Bahati Mbaya Sana watanzania hawana muda na Vitu Vya Msingi. Kwa sasa hivi wanawaza Kibeti kwenye match Za World Cup kuliko mambo ya msingi ya Taifa Lao. Leo ukienda vijiweni story kubwa Itakuwa jinsi Richarlison de Andrade alivyoipatia Brazili Magoli kwenye mtanange wake na Serbia jana...
  11. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kariakoo Sasa Majenerator yanaunguruma. Gegegeeee, Dododooo, Gigigiiii

  12. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Press Release za TANESCO Zimejaa MW. MW Utadhani watanzania wote ni Electrical Engineers

    Aliye iloga Tanzania kafa. Nchi hii imegeuzwa kichwa cha mwenda wazimu Kabisa. Hawa watendaji wa Serikali siyo kwamba hawajui Kazinila wameamua Kula kulingana nanurefu wa kamba Zao. Unjanja unjanja mwinginwa kumwona kila mtanzania ni mkinga. TANESCO Sisi tunataka umeme hizo hesabu zenunza...
  13. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Ni Miaka ipi Watanzania mlikuwa mnapata vitu bure? Kwa mujibu wa Rais Samia

    Watu mna siri.... Nimeumia sana. Kumbe kuna kipindi mlikuwa mnapata vitu vya bure hata sisi wengine hamkutuambia? Ni miaka gani hiyo bandugu? Sisi tuliozaliwa early 70s nadhani hilo neno halituhusu. Maana sikumbuki mimi ni vitu gani tulipewa bure na sasa tunatakiwa kulipia. Sikumbuki kabisa...
  14. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Watanzania tumezoea bure, hakuna hiyo sasa

    Rais Samia: Watanzania tumezoea bure, kila kitu bure, kila kitu beiwauree, hakuna hiyo sasa. Tulipeni ili miradi tuweze kuitunza. Sawa ndugu zangu! Pia Rais Samia ameongelea miradi ambapo amesema katika miaka miwili aliyokabidhiwa madaraka hakuna mradi uliosimama ambapo mengine imezinduliwa na...
  15. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania CCM mna mpango wa kuwaambia nini Watanzania wakati wa kampeni?

    Hivi kwa Tanzania ya sasa CCM Ina mpango wa kuwaambia nini wamachinga, mamantilie, wakulima, wafugaji, wachimbaji wadogo, Wafanyabiashara wadogo wanafunzi wa elimu ya juu na day workers nini pale watakapokuja kuomba kura. Mind you, hili ndo kundi kubwa la wapiga kura na ndio kundi linalokutana...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Mbali na kukaa BBC miaka kibao! Naye hawezi kumshauri Rais? Watanzania na mkate!!? Mmh

    Nchi imekwama, kila kitu kimekwama, si maji wala umeme, si mvua wala chakula, si biashara wala viwanda, Kila unapogusa pa moto, Alipoteuliwa huyu dada yetu jina kapuni kwenda kukaa Ikulu yetu kutokea hapo BBC nikajua walau mambo yatakuwa sawa, tutatembea ki Uwingereza wingereza! Kipindi cha...
  17. KASULI

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuendelee kuteketeza kodi au tuachane na masuala ya usafiri wa ndege za Serikali?

    Kwa mujibu wa taarifa iliyovhapishwa katika Gazeti la Kingereza la The Eastern ni kwamba ndege za Airbus 220 zote zimepakii, mbaya zaidi kuna ambayo imepakii tokaa mwezi January 3, iliyofataa ilipakii august na ya mwisho imepaki nov 5. Kuna kupindi ATCL Waliamua kupunguz safari kwa sababu...
  18. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kwanini Hayati Magufuli alijitabiria kifo mara kwa mara kwa kulinda maslahi ya Watanzania?

    Hayati Magufuli alikuwa akijitabiria kifo mara kwa mara, je alijua kwa kutetea maslahi ya nchi ndio ingekuwa mwisho wa uhai wake?
  19. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Watanzania tupo makini na taifa letu, basi Mkuu wa Mkoa wa Tanga hastahili kuwepo ofisini

    Kama taifa tuna Mambo na vitu vingi vya kufanya lakini kwajili alilofanya Omary Mgunda aisee hapana huyu bwana arudi tuu kule kwenye Biashara ya mazao. Haiwezekani kijana Mdogo aliefanya jambo lake kishujaa na kiitifaki kama Taifa na serikali lishakubali na kumpa medani, Sasa katika kipindi...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania 40% Watanzania hawajafikiwa na huduma rasmi za kifedha

    Wizara ya Fedha na Mipango imesema asilimia 40 ya Watanzania bado hawajafikiwa na huduma rasmi za kifedha. Kauli hiyo imetolewa leo Jumanne Novemba 15, 2022 na Kamishna wa Uendelezaji Sekta ya fedha, Charles Mwamaja wakati akizungumza na waandishi wa habari mkoani Dodoma kuhusu wiki ya fedha...
Back
Top Bottom