There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.
Kuvaa viatu vya mpambanaji na mtu wa vita, yapaswa na wewe uwe mtu wa vita ikiwezekana Mara mbili yake, kama alikuwa haruhusu sharubu zake ziguswe, kwa wewe iwe marufuku hata kusogelewa tu na kinyamkera chochote, kwani mazoea ni mabaya.
Kwa nini imekuwa ni vigumu sana kuondoa umaarufu wa...
Nimeona video ya wananchi wakivuta ndege ya PW huko ziwani Bukoba kwa kutumia kamba huku wakiimba na kuhamasishana.
Nimeangalia hiyo video na kuwaona askari kadhaa wa Jeshi la Polisi pamoja na Wanajeshi wakiwa wamesimama pembeni "Wanaangalia" tukio.
Swali langu ni moja tu: Je, wale ni Watanzania?
Hivi unahitaji akili gani, kuokoa watu na mali za kwenye ndege ambayo iko ufukweni mwa ziwa? Akili zetu zimejaa siasa na mpira wa Simba na Yanga tu. Kwa kweli ni fedheha.
Sasa ni rasmi kuwa kuanzia sasa Dunia (hasa hasa huu Ukanda wa Afrika Mashariki Tanzania ikiwemo) inaenda kuwa na ukame mfululizo wa miaka minne (4).
Ninachojua tu GENTAMYCINE ni kwamba Mzungu huwa hakosei hasa pale akipima kitu chake kwa kutumia mitambo yake na kufanya utafiti wa kina.
Tayari...
MBUNGE wa Jimbo la Mbogwe, Mhe. Nicodemus Maganga amesema watu wote waliohusika kwenye mkataba wa TANESCO na Symbion na kulisababisha Taifa hasara ya Bilioni 350 wakamatwe mara moja kwani watu wote waliohusika na kashfa hiyo wapo.
Maganga amesema hayo Novemba 4, 2022 bungeni Dodoma wakati...
Julius alikuwa na huruma juu ya raia wa chini. Hakutaka wateseke na tozo, kodi, ada za shule na hata kuhangaika kupata chakula.
Julius alipambana kila Mtanzania angalau asipate tabu sana ila mabeberu na vibaraka wa mabeberu walimkwamisha.
Hayati John Pombe alipambana masikini wasihangaike...
Kuna wakati nilitembea nchi fulani nje ya hapa. Kulikuwa na shughuli iliyohusisha watu kutoka nchi mbalimbali . Tukiwa pale wenzetu wakenya na waganda waliokuwepo walionekana kutokuwa karibu na sisi mpaka tulipokuja wasikia mahali fulani wakisema hawa watanzania wape maneno mengi tu na kiswahili...
Vijana wa kitanzania tupate neno kutoka kwa Eric Shigongo
"Ushauri wangu kwa Watanzania wenzangu, tuache kulalamika, tumekuwa walalamishi sana, muda mwingi tunatumia kuilamu serikali, nawashauri hasa vijana wenzangu, kila tukiamka asubuhi hebu twendeni tukajishughulishe, tubadilishe changamoto...
BIMA YA AFYA KWA WOTE NI NEEMA KWA WATANZANIA WOTE
Na Amosi Richard
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliwahi kusema “Ni kupitia bima ya afya kwa wote ndipo tutaweza kutoa matibabu kwa kila Mtanzania anayeishi ndani ya nchi yetu. Mfuko huu utahakikisha mtu...
Inasikitisha na kushangaza sana.
Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru,nchi ambayo inasemekana tuna utajiri wa maji kuliko nchi yoyote ukanda huu wa maziwa makuu na pengine Afirka nzima,leo tunajadili swala la mgao wa maji.Tena Kuna wengine wameenda mbali zaidi kwa kuandika makala za kuwasifia Waislamu...
"Nichukue nafasi hii kwa mujibu wa Katiba Kutangaza kuwa idadi ya Watu wote waliohesabiwa Usiku wa Sensa ni 61,741,120 hivyo Watanzania kwa muda wa miaka hii Kumi tumeongezeka kwa Asilimia 3.2 tu" Rais Samia Suluhu.
Chanzo: Media zote Tanzania
"Taarifa iliyotolewa Juzi ya Watu 61,741,120 siyo...
Kwamba asilimia 80 ya watanzania wanaoishi maisha ya kubangaiza waweze kupikia gas?
Hii ni ndoto. Yaani mtu anaishi chini ya dola moja halafu unapigia debe Taifa gas?
Huku ni kuwatukana raia masikini.
Kulikuwa na kauli nyingi sana za kisiasa kwamba kanda ya ziwa ndio inaamua Rais wa nchi kwenye uchaguzi kwasababu wako wengi sana.
Takwimu za sasa kwa namba:
Mwanza 3,699,872
Kagera 2,989,299
Geita 2,977,608
Mara 2,356,255
Shinyanga 2,123,654
Simiyu 2,078,428
Jumla ni around milioni 15 ambayo...
Ndugu zangu naweza nisieleweke haya maneno kwa Sasa kutokana na muda kuwa haujafika, nimeona niyaseme haya ili ibaki katika kumbukumbu, CHADEMA lazima wafahamu kuwa katika mazingira na siaza za kiafrika Ni ngumu Sana kumpata Rais aina ya Rais Samia, viongozi aina yake hupatikana katika nchi...
Katika 61,741,120 wenye Maisha Magumu (Msoto Daily) ni 60,000,000 (kwa mujibu wangu Binafsi kama GENTAMYCINE ) sasa hii Nguvu ya Kujisifu kuwa Wewe ni Champion wa Sensa inatoka wapi?
Halafu labda leo nikushauri kuwa na Wewe sasa anza Kushtuka na Kuwashtukia wanaokusifia kwani wengi Wanakusanifu...
Uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 uligubikwa na sintofahamu kubwa hadi kupelekea mchakato mzima kugubikwa na ukengemaji wa kuwaengua wagombea wa vyama mbadala na kuwapitisha wagombea wa CCM kwa nguvu ya kupita bila kupingwa
Mwaka wa Uchaguzi Mkuu 2020 ndiyo ulikuwa kilele cha janga la...
Sensa ya wayu na makazi ya mwaka 2012 Tanzania ilikuwa na watu 44 milioni ambapo sensa ya mwaka 2022 watanzania wamehesabiwa na kupatikana watu 62 milion.
Kwa hesabu hii, inaonyesha 62m ~ 44m = 18m
18,000,000/miaka 10 = 1,800,000
Kwa mantiki hii kila mwaka kuanzia mwaka 2012 hadi 2022...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.