Watanzania tumekubali tuko na Rais Samia hadi 2030

Nyabukika

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2022
Posts
1,441
Reaction score
1,050
Rais Samia Suluhu Kafanikiwa sana kuiteka 2025, ni uhakika kuwa ndani ya CHADEMA hakujawa na dhamira ya kweli ya kuishika dola kwa wakati huo, waendelee kujipanga baada ya mama labda wajaribu.

Jana Rais Samia Suluhu alisema "Siasa ni mchezo wa fikra na mawazo, kulumbana kwa hoja [..] tukiwa na lengo kushika dola. Kwa sura ninazoziona hapa hamna dhamira ya kushika dola 2025. Mnajua mama yupo dhamira hiyo haipo."

Kama Rais Samia Suluhu alivyosema kwamba siasa ni mchezo na ni kweli siasa ni mchezo na tunaona jinsi alivyocheza kitendo cha kukubali kuwa mgeni rasmi kwa upinzani kajichotea point za kutosha kweli Rais Samia Suluhu ana sifa zote za kuwa kiongozi bora maana kiongozi bora ni yule anaewaunganisha wananchi wake na sio kuwatawanya.

Hongera sana Mama tuko na wewe hadi 2030.
 
Umekubali na familiya yako sio watanzania
Akipata kura halali sio shida hata miaka 100 akae, ila za kuiba atasemezana na Mungu vilivyo na kamwe kiti kitakua cha moto
 
Ikifika 2030 "mitano tena" ? 😀 😀 😀
 
Wewe ndio umekubali sio watanzania. Ajitahidi amalize urithi wake kwa amani. 2025 tunaenda kuweka mwanamapinduzi mpya kupitia chama cha mapinduzi. Tunahitaji mwanapinduzi mtu mwenye maono baada ya jpm kuongoza nchi yetu.
 
Huu ni mwandiko wa lihafidhina la CCM liko kazini.
 
Mimi naona 2025 tuunge tu. Pesa itumike kusambaza umeme vijijini na kwenye miradi ya maji, badala ya kufanya uchaguzi ambao matokeo yake tunayajua.
 
Ikishindikana kuunga uchaguzi mzima, basi hata uchaguzi wa nafasi ya Rais tuunge hadi 2030. Tufanye uchaguzi wa madiwani na wabunge.
Samia apite bila kupingwa.
 
Umekubali na familiya yako sio watanzania
Akipata kura halali sio shida hata miaka 100 akae, ila za kuiba atasemezana na Mungu vilivyo na kamwe kiti kitakua cha moto
Asilimia kubwa ya watanzania tumekubali tumeona mama anaongoza kwa akili kubwa sana
 
Ikifika 2030 "mitano tena" ? 😀 😀 😀
Tutafata katiba ya nchi itakavyosema hata kama katiba ikisema akae milele kama museveni ni sawa maana anaupiga anafanya mambo yote watanzania tunayotamani kusikia
 
Wazo la katiba mpya nalo vp chief?????
Hujamsikia Mama jana alisema sio Chadema tu inahitaji katiba mpya hata CCM pia wanahitaji katiba moya kwaiyo ataunda kamati kwa ajili ya kuanza mchakato huo

Nanukuu "Swala katiba hakuna anayekataa hata chama changu hakuna anayekataa, na muda si mrefu tutatangaza kamati ambayo itashughulikia jambo hilo" Mhe .Rais Samia Suluhu
 
Mama ni wa milele sasa,ni Makini haijawahi tokea!!!
Bawacha wamekiri Kwa kinywa Chao na kila goti limepigwa si mbowe wala lisu
 
Wewe ndio umekubali sio watanzania. Ajitahidi amalize urithi wake kwa amani. 2025 tunaenda kuweka mwanamapinduzi mpya kupitia chama cha mapinduzi. Tunahitaji mwanapinduzi mtu mwenye maono baada ya jpm kuongoza nchi yetu.
Utasubiri sana mzee Rais Samia Suluhu amekubalika sana kuliko kawaida kwaiyo tuko nae hadi 2030
 
Bila ya khofu ya kuuwawa kinyama na mwili kutiwa kwenye viroba vya kilo hamsini
Kabisa siasa za awamu hii ya sita zinavutia sana tumshuru Mungu kwa hilo tunawaona akina Lema na hoja zao za kipuuzi lakini hawana wasiwasi kwasababu wamepewa uhuru wa kuongea
 
Mimi naona 2025 tuunge tu. Pesa itumike kusambaza umeme vijijini na kwenye miradi ya maji, badala ya kufanya uchaguzi ambao matokeo yake tunayajua.
una akili sana lakini lazima tufuate sheria na katiba ya nchi ili ndugu zetu wasianze kulalamika na kulialia kama kawaida yao
 
Back
Top Bottom