watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya sensa 2022 yanaonesha kila mwaka Watanzania wanaongezeka watu 1,800,000 kuanzia mwaka 2012

    Sensa ya wayu na makazi ya mwaka 2012 Tanzania ilikuwa na watu 44 milioni ambapo sensa ya mwaka 2022 watanzania wamehesabiwa na kupatikana watu 62 milion. Kwa hesabu hii, inaonyesha 62m ~ 44m = 18m 18,000,000/miaka 10 = 1,800,000 Kwa mantiki hii kila mwaka kuanzia mwaka 2012 hadi 2022...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Rais Samia waminye Watanzania, hawana shukrani

    Hi! Tulipitia kipindi kigumu kiuchumi, kijamii na kisiasa kwa miaka 6 mfululizo. Kila mmoja shahidi, vyuma vilikaza sana. Wananchi hali ngumu, watumishi taabani. Furaha ya wananchi ilikuwa kusikia kiongozi ametumbuliwa, wananchi waliaminishwa pesa zao zilikuwa zimeibwa na viongozi mafisadi na...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kila napoangalia naona kazi ya kutukuka ya Rais Samia, Tunataka nini tena Watanzania ili turidhike?

    Ndugu zangu Kama ukiacha akili yako iwe huru, ukaondoa mawazo ya uchama kichwani, ukatazama uongozi wa Rais Samia kwa mawazo huru yasiyofungwa na chochote Wala kupofushwa na chuki binafsi kwa Rais Samia, utakubaliana nami kuwa Rais mama Samia kafanikiwa kufanya kazi njema na ya kutukuka katika...
  4. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Watanzania nadhani wengi tumefika Jehanamu hata kidogo tu. Au ndo tumeshafika?

    Maisha ya watanzania wengi ni ya dhiki, adha na mateso. Mchana inzi usiku mbu. Watanzania maskini wanakamuliwa maziwa yameisha sasa wanakamuliwa damu. Maji ni shida ,umeme ni shida, chakula ni tabu, pesa wanapata kundi la watu flani tu. Mnasema tutafika mbinguni tumechoka.... Hamna...hamuwezi...
  5. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais nipatie tu perdiem nipite kwa watanzania niwaeleze mambo haya

    Naomba nami usinisahau ktk ufalme wako. Nimeona mambo makubwa uliyoyafanya mpaka nawaza ulikuwa wapi toka awamu ya kwanza? Una mazuri yote....huna baya mama. Huna baya na mtu. Umeifungua nchi sana. Naomba tu niweze wezeshwa nauli na malazi nipite nchi nzima kuelezea mazuri yako na kule...
  6. Ladder 49

    JamiiForums Tanzania Healthy food: Watanzania tujali afya zetu

    Wakuu habari zenu? Kuna kitabu kimoja nime bahatika kukisoma kinaitwa healthy food kimeandikwa na George D.Pamplona-Roger,M.D ,nilichokisoma humo ndio nikaamua nije niwaambie na nyinyi wakuu .maana naamini “We are what we eat” 1.Daily intake 2.Food compostion(muundo wa chakula)...
  7. MANKA MUSA

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Watanzania tusipitwe na fursa hizi kwenye mradi wa gesi asilia (LNG)

    Tunaweza kuondoka kwenye mfumo wa lawama kwa kuitazama hii fursa. Hii ni ripoti ya uchambuzi wa kiujumla wa kiuchumi uliofanywa na Benki ya Stanbic kuhusiana na mradi wa gesi wa Lindi LNG. Kwanza mradi huu umeonekana kuwa ni fursa nzuri ya kiuchumi na ya kipekee kabisa kuwahi kutokea...
  8. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Chuma, happy birthday John Pombe Magufuli

    Ni Oktoba 29, 1959 siku ambayo Mwenyezi Mungu alitupa Watanzania zawadi ya Mtoto John Pombe Magufuli ambaye Leo hii tunamkumbuka kama Mkombozi, Shujaa, Mtetezi, Mlezi, Mjenzi wa Watanzania,leo hii kwa Afrika ukilitaja jina la John Pombe Magufuli ni nembo ya uongozi wa mfano Afrika na Duniani...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania Tufanye Maombi ya Kitaifa kumwomba Mwenyezi Mungu atupatie Mvua zenye Baraka na Neema

    Ndugu zangu Nikiwa Kama mkulima naona Hali ya hewa imekuwa siyo nzuri, inatutisha wakulima, inatupa wasiwasi, mashaka na hofu. Mpaka Leo tunapoelekea kuumaliza mwezi huu bado hatujaona mvua, bado ardhi Haijapata mvua, bado tunaendelea kuangalia angani kila kukicha kuona Hali ya mawingu, Bado...
  10. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Bei za vifurushi kupanda huku waziri mwenye dhamana akikenua meno kwa furaha ni matusi mazito kwa waTanzania

    Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na uvunjwaji mkubwa wa kanuni za FCC (Fair competition committee) unaofanywa na wato huduma za mawasiliano chiny ya usimamizi na uangalizi wa TCRA ; makampuni hayo ni Vodacom , Tigo , Airtel nk. Kanuni mama inayovunjwa hapa ni ile inayokataza watoaji wa...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Watanzania tulimkosea nini Mzee Mwinyi kutuletea kunguru?

    Inasemekana, mh Rais Mstaafu Mzee wetu wa heshima Ali Hassan Mwinyi, alienda ziara Warabuni, akakutana na hawa ndege aina ya kunguru. Aliwawapenda Kwa sabb ya uwezo wao wa kusafisha mazingira, ikabidi aje na mbegu hapa bongo! Sasa hawa ndege wamekuwa kero kiasi cha kuuluza tena kwamba...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kila Waziri aliyeteuliwa na Rais Samia ajiulize ataifanyia nini Wizara aliyopewa ili kuwasha taa ya matumaini kwa Watanzania

    Ndugu zangu Rais wa Marekani John F Kennedy amewahi kuwaambia Wamarekani kuwa wasijiulize Marekani itawafanyia Nini Bali Wajiulize Wataifanyia Nini Marekani, Nimeamua kuazima na kukopa maneno hayo kutoka kwa Rais huyo kutoa Rai na Ushauri wangu kwa waheshimiwa Mawaziri wetu walio teuliwa na Rais...
  13. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Gharama watakazoepuka watanzania wakichagua kutumia nishati ya gesi kupikia (M-Gas)

    Unapozungumzia nishati ya uhakika kwa ajili ya kupikia kwa watanzania, hauwezi kuacha kuutaja mkaa na kuni. Watu wengi hutumia nishati hiyo kwa sababu ni rahisi kupatikana na wanaweza kumudu gharama yake tofauti na nishati nyingine kama gesi. Kutumia gesi (M-Gas) wakati wa kupika chakula kuna...
  14. Fursakibao

    JamiiForums Tanzania Huu ni wizi Sasa; Watanzania tuamke tuache uoga

    Mara Kadhaa wadau humu wamekuwa wakilalamikia wizi was bando lakini Hilo halikuwahi kuniumiza ila imefika wakati nimeoma kutokujali huku kunafanya watu tuliowapa dhamana ya kutuongoza watuone wajinga. Kila baada ya siku moja au 2 huwa naweka bando la 1.6 la internet kwa Tshs elfu 3; Juzi...
  15. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Watanzania 26 wanufaika wa Tsh. Bilioni 1.6 za UNDP (Program ya FUNGUO)

    Wafanyabiashara 26 watakaonufaika na Tsh. Bilioni 1.6 za UNDP (Program ya FUNGUO) wapatikana UNDP kupitia program ya Ubunifu wa Ufunguo (FUNGUO) imeweka wazi kuhusu wanufaika wa awali wa Tsh. Bilioni 1.6 ambazo zinatarajiwa kugaiwa kwa washindi 26. Biashara 26 za ubunifu zilichaguliwa kati ya...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ziwa Nyasa na Tanganyika ni Mali ya Watanzania

    Kwanza kabisa lazima niseme kuwa bwawa na ziwa havina tofauti sana ni kwamba Moja ni la asili jingine ni la kutengenezwa na binadamu. Bwawa la Nyerere au ziwa Nyerere likikamilika ndo litakuwa ziwa la tatu Kwa ukubwa Africa mashariki baada ya Victoria na Tanganyika Kwa mfatano wa Drainage basin...
  17. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mbio za Marathon ndiyo zimekuwa mitoko ya Watanzania

    Siku hizi watanzania wakitaka kuvinjari hujiunga kwenye mbio za Marathon. Ingawa kuna tetesi kuwa mambo huko huwa moto! Baadhi ya washiriki wa CRDB Marathon 2022.
  18. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Covid-19 yaibuka kwa kasi mpya China, watanzania tumejipangaje?

    Ugonjwa wa Covid-19 umeibuka tena China kwa speed ya 5G . Waziri wa afya wajulishe watanzania mapema cha kufanya tusisubiri gharika hadi ije. Ubalozi wa Tanzania china umepiga kimya ila Hali kule Sio shwari.
  19. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni Kiongozi wa ndoto ya Watanzania

    Ndugu zangu Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kuwa Mama Samia Ni Rais wa Ndoto ya watanzania ya muda mrefu, watanzania siku zote walihitaji kiongozi atakaye kuwa msikivu kwa matatizo na kero zao, kiongozi atakaye kuwa na moyo wa kuguswa na shida zao, kiongozi atakayekuwa na moyo na ngozi ya...
  20. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa nauli hazijashushwa licha ya mafuta kushuka bei

    Inasikitisha watu wanapanda usafiri kwa nauli zilizopandishwa kipindi cha mafuta kupanda lakini licha ya kushuka bei wao wananchi hawahoji wanapanda huku wamekenua mimeno nje kama malofa.
Back
Top Bottom