There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.
Katiba mbovu
Uchumi mbovu
Utendaji mbovu
Mikataba mibovu
Mipango miji mibovu
Mifumo ya haki mibovu
Uongozi na usimamizi mbovu
Haya yote ndio matunda ya CCM.
Watanzania huu ni wakati wa kuondokana na CCM la sivyo tutakuwa tumechelewa.
Wajue watanzania matajiri wanaomiliki hisa katika soko la hisa la Dar es Salaam (DSE) na wewe jitahidi uwemo.
https://billionaires.africa/2023/06/29/the-10-richest-tanzanians-on-the-dar-es-salaam-stock-exchange/
TUSIINGIZE UDINI, SUALA LA BANDARI NI URITHI WA WATANZANIA
Watu wanakuja na hoja za Uarabu, Uislamu na Ukristo hizi ni hoja binafsi na sisi Watanzania hatuna hizi kasumba za udini wala ukabila, ni vijihoja vinavyotaka kututoa kwenye reli tuache kudai mkataba wenye tija kwa Watanzania, hizi hoja...
Nilikuwa napitia hapa orodha ya Wanafunzi wa Nje ya Tanzania walio anza masomo katika mwaka huu wa 2022/2023 katika shahada za azamili (masters)na uzamivu(PhD)-full time kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Kweli ni wengi na wametoka mataifa karibu 23 ndani ya Afrika na Nje,kama ifuatavyo:-
1...
Kwenye maonesho ya 3 ya uchumi na biashara kati ya China na Afrika yaliyofanyika mjini Changsha, mkoani Hunan China kati ya Juni 29 na Julai mbili, makampuni ya usambazaji yalijitokeza kwa wingi yakijitangaza kwa wafanyabiashara wanaotaka kusafirisha bidhaa zao kwenda barani Afrika, na hata kwa...
Baada ya CCM kuitangazia dunia...
Kwamba Watanzania hatuna mwenye uwezo wa kusimamia uendeshaji wa chombo kama Bandari kwa uadilifu!
Kwamba Watanzania kwa ujumla wetu ni watu wasio na uaminifu katika utendaji wa kazi popote pale tulipo,
Kwamba Watanzania kwa tabia sisi ni wadokozi, wala rushwa...
Sifahamu iwapo naeleweka vizuri. Kama nitakuwa nje saana mtaniwia radhi. Kuna mambo yananipa kuchanganyikiwa na nisijue lolote!
Mambo ya wazanzibari, yanasimamiwa na serikali ya Zanzibar na yanakuwa ya wazanzibar kwa sababu serikali yake ipo inayasimamia!
Mambo ya watanganyika hayana msimamizi...
Wanasheria wote wa Tanzania pamoja na waalimu wa sheria nchini pamoja na nchi jirani wameukataa mkataba wa Tanzania na DP World. Je, haiwezekani kwamba kazi hii ilifanywa na makampuni ya nje kuifanya kazi hii?
Kama wasomi wetu wameshindwa kupata tafsiri inayoitwa nia njema ya serikali naamini...
Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa amekiri kuwa ni kweli tangu Bunge la Tanzania liliporidhia azimio la Nchi ya Tanzania kuimarisha mahusiano yake Nchi ya Tanzania na Nchi ya Dubai hasa katika maeneo ya Kiuchumi na Kijamii, kumekuwa na mijadala mingi, maoni, ushauri na hofu za Uwekezaji nchini...
Viongozi wa juu wa serikali kama ni kweli wajua kwamba "mahakama hazitendi haki" mpaka wakazikwepa ktk mikataba. Sasa hizi mahakama zetu kwanini ziendelee kuwepo na zikiendeshwa kwa gharama kubwa na zikiwa zinaumiza watanzania kwa kutowapatia haki zao?
Ama ina maana watanzania siyo...
Pengine Prof. Tibaijuka unaona labda anazeeka haraka, Pengine Lissu unamuita Mwanaharakati, Pengine Mbowe unamuona asiye na taaluma ya Sheria na wewe tu ndio mwanasheria, pengine Akina Dr Nshala, Akina TEC na Watanzania hawa mtaani ambao sass wanaamini Nchi imeuzwa, wanahoji kwanini Mkataba...
1. Profesa Shivji
2. Tundu Lissu
3. Freeman Mbowe
4. Dk. Wilbroad Slaa
5. Harold Sungusia
6. Godbless Lema
7. Dk. Charles Kitima
GENTAMYCINE nimekaa tayari kabisa kusubiria mirejesho yenu huku nikiendelea kuwaonea Huruma Watanzania wengi ( siyo Wote ) wenye Uwezo mdogo sana wa Kufikiri na Akili.
Ndugu zangu nimeona nami nianzishe huu uzi ili tusaidiane kuwaza na kusafiri pamoja.
Hoja yangu inaanzia kwenye hili jambo la Bandari na huu uwekezaji wenye utata.
Mosi: nadhani kama kuna watu wa kubeba lawama ni wale waliyopewa dhamana ya kuongoza serikali kwa kushindwa kusimama kwenye nafasi...
Asalam.
Dini ina umuhimu sana katika maisha ya Tawala za Kidunia. Dini ni nyenzo muhimu ya ama kujitambua ama kuwa kutazama mambo katika mlengo flani
Kwa Tanzania, Waislam wanajiona nduguzao ni waislam wenzao.
Wakristo wanajiona ndugu zao ni wakristo wenzao.
Mitazamo hii inaathiri mambo...
Katika utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kuhusiana na mkataba wa makubaliano ya uendeshaji na uboreshaji wa bandari kati ya Tanzania na Dubai, imebainika kuwa kuwepo kwa teknolojia ya kisasa, hakutaondoa ajira za Watanzania bandarini hapo.
Akizungumza na waandishi wa...
Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba amesema tozo ya Tshs 100 kwenye mafuta ni jambo jema kwani inataka kutunisha mifuko ya Serikali katika kutekeleza miradi ya kimkakati. Mwigulu amesema miradi ya maendeleo ambayo Tanzania inatekeleza hakuna nchini yeyote ukanda wa Afrika wanaotekeleza kwa mara...
Kwa zaidi ya muongo mmoja uliopita maneno "utawala" na "utawala bora" yametumika katika muktadha wa kuhamasisha maendeleo. Utawala mbaya unatajwa kuwa kisababishi cha maovu yote ndani ya jamii. Wafadhili na taasisi za fedha za kimataifa zinaegemeza misaada na mikopo yao kwa masharti kwamba...
MAONI YA KAMATI YA PAMOJA KUHUSU AZIMIO LA BUNGE KURIDHIA MAKUBALIANO KATI YA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA SERIKALI YA DUBAI KUHUSU USHIRIKIANO WA KIUCHUMI NA KIJAMII KWA AJILI YA UENDELEZAJI NA UBORESHAJI WA UTENDAJI KAZI WA BANDARI TANZANIA LA MWAKA 2023
SEHEMU YA KWANZA...
azimio la bunge
bandari
basi
bila
dp world
dubai
hata
kamati
kimaendeleo
kubwa
kushirikiana
makubaliano
serikali ya tanzania
tanzania
tunaweza.
uboreshaji
ushirikiano
watanzania
world
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.