watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumuombee Dkt. Tulia Ackson Mwansasu ashinde Urais wa IPU

    Ndugu zangu watanzania, Kwa unyenyekevu na heshima kubwa Sana nawaombeni watanzania kila mmoja kwa Imani Yake Tumuombee Mh Dr Tulia Ackson mwansasu Ashinde Urais wa IPU yaani umoja wa mabunge Duniani. Dr Tulia Ni spika wa bunge letu ,mpaka Sasa anaendelea kupata uungwaji mkono kutoka maeneo...
  2. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Je ni mkataba wa bandari au makubaliano ya bandari? Je ni mkataba au makubaliano ya Tanganyika na Zanzibar?

    JE NI MKATABA WA BANDARI AU MAKUBALIANO YA BANDARI? JE NI MKATABA AU MAKUBALIANO YA TANGANYIKA NA ZANZIBAR? Leo 13:15hrs 29/06/2023 Rais Museveni alipokuja Chato aliwahi kusema Watanzania tuna uhaba wa maneno ya kiswahili,Ukweli ni kwamba neno "mkataba" kwa kiswahili lina maana pana sana...
  3. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Adv Mwambukusi: Watanzania bora mumwamini shetani na siyo Waziri Mkuu

    Nukuu: Ndungu zangu Watanzania bora mumwamini shetani na siyo waziri mkuu. Waziri mkuu ametundanganya kwa mengi ikiwamo kifo cha Magufuli! Na hii ni mara ya tano anaudanganya umma bila fact. Mwambukusi.
  4. N

    JamiiForums Tanzania SoC03 Bandari Dar es Salaam na anayehusika

    NENO LA MUNGU LINASEMA: "Kila mtu na aitii MAMLAKA iliyo KUU; kwa maana HAKUNA MAMLAKA ISIYOTOKA KWA MUNGU; na ile iliyopo umeamriwa na MUNGU. Hivyo amwasiye mwenye MAMLAKA hushindana na AGIZO LA MUNGU; nao washindanao watajipatia hukumu. Kwa maana watawalao hawatishi watu kwa sababu ya matendo...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Dr. John Karugia: Watanzania lindeni sana rasilimali zenu

    Watanzania wapendwa, China ilipokuwa na nia ya kuwekeza 35% katika bandari ya Hamburg ambayo ni bandari kubwa kabisa Ujerumani, bunge la Ujerumani, wizara sita za Serikali ya Ujerumani na Usalama wa Taifa (yaani Foreign Intelligence Service) ya Ujerumani na European Commission wote walikataa na...
  6. Nyendo

    JamiiForums Tanzania PM Majaliwa: Watanzania tunaomba mtuamini (kuhusu uwekezaji Bandarini)

    Waziri Mkuu ameomba Watanzania waiamini Serikali kwenye uwekezaji unaotaka kufanyika Bandari, akidai kuwa sio uwekezaji wa kwanza wala sio jambo jipya bali kulikuwa na mwekezaji ambaye walimpa vipindi vya kumfanyia tathmini hadi akafika miaka 22 na ameondoka Novemba mwaka 2022; hivyo DP World...
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kwenu Watanzania wenzangu: Hekima ni pamoja na kujua la kuzungumza kwa wakati ufaao na kwa kiasi kifaacho

    Neno la hekima kwa wanajamii forums, wanasiasa, viongozi, watendaji wa serikali na watanzania wenzangu. "Hekima ni pamoja na kujua la kuzungumza kwa wakati ufaao na kwa kiasi kifaacho."
  8. mama D

    JamiiForums Tanzania Zumaridi asichukuliwe kimasihara, imani ni kitu kikubwa sana inahuisha na imani inaua Watanzania tuamke

    Zumaridi anawafundisha watoto kwamba yeye ni mungu, yeye ndie msaada na ndie anayewakinga na mauti, anasema yeye ni mtawala wa dunia mzima na anayetawala vitu vyote vya duniani na mbinguni tena wake kuna uzima wa milele. Halafu anawaambia watoto leo atawapikia tena wali😎😎😎 Inatisha...
  9. Exorcist

    JamiiForums Tanzania Watanzania milioni 60 tumeshindwa kununua Crane za kushusha mizigo kwa ufanisi bandarini?

    Tanganyika tunalipa Trillion 12 kila mwaka ikiwa ni pamoja na riba za madeni tuliyokopa. Sasa najiuliza katika mikopo yooote hii tunayolipa, hakuna hata trillion 1 iliyotumika kununua Crane kubwa kama za DPWorld? Zinauzwa trillion ngapi kwani hizi mashine?
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Unadhani hii Nguvu Kubwa ya Watanzania Kuijadili DP World ije au isije ingehamishwa Kujadili ya Msingi tungekuwa 'Masikini Tukuka' hadi Leo?

    Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kusoma tu 'Comments' zenu hivyo Karibuni sana.
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hata zikigundulika dhahabu kila mtaa na kila nyumba bado ufukara hautawaondoka Watanzania!

    Habari, Huu ndio ukweli. Ni wakati sasa Watanzania na viongozi tuache kutwakutwa kujivunia rasilimali za asili badala yake tuwaze maendeleo. Yaani rasilimali zifikiriwe au kutajwa pale tu tunapotaka kufanya jambo. Tusianze kufikiri na kuzitaja rasilimali kabla ya kufikiri maendeleo (matumizi...
  12. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Serikali imeamua kabisa kula kuku kwa mrija kufurahia watanzania kupoteza maisha/kupata ulemavu wa kudumu

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!. Hivyo ndivyo navyo weza kusema kwasababu ni kama viongozi waliopewa dhamana ya kuwatumikia watanzania na kuhakikisha mali na usalama wa maisha yao unalindwa kwa wivu mkubwa. Hizi ajali zinazoendelea kuwamaliza watanzania na kuwaacha wengi wakiwa na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nimemuajiri mtu ndani ya mwezi 1 kaanza kuniibia

    Nimefungua biashara mpya na nimetengeneza ajira kwa mtaaalmu mmoja lakini katika mwezi wa kwanza ananiibia kama tuna hisa naye. Tufanyeje wajasiriamali?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Suala la Bandari: Ni Wakati sahihi sasa Watanzania wa hali zote kuwekeza kwenye Bandari yao ili kuleta Mantiki kwenye umiliki wao

    Kinadharia, rasilimali za Tanzania, ikiwemo bandari, ni mali ya wananchi (umma) wa Tanzania. Kiuhalisia, mwenye maamuzi ya kuhusu lolote linaloweza kufanyika kwenye bandari ni Rais wa JMT. Kutokana na huu mjadala unaoendelea sasa, pengine ni wakati muafaka Watanzania wakaanza kuwekeza kidogo...
  15. Tukuza hospitality

    JamiiForums Tanzania SoC03 Rasilimali zetu ziwe Neema, na si laana kwa Watanzania

    Utangulizi Nimesoma machapisho mbalimbali kuhusiana na utajiri wa Afrika, nikagundua Bara la Afrika ni Tajiri kuliko mabara yote duniani. Tumebarikiwa kwa Ardhi kubwa yenye rutuba; na yenye rasilimali nyingi. Sasa utajiuliza, kwa nini Bara la Afrika pamoja na utajiri wake ni maskini kuliko...
  16. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Kwenye Mkataba wa DP world Watanzania wanapotoshwa!

    Nafikiri huu mkataba ulichokosa ni Schedule of amendment au kikomo cha mkataba, mengine yanaongeleka
  17. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Live Clouds TV: Ujinga wa Watanzania kwa Pastor Eubert Angel

    Kinachoendelea Clouds TV kutoka Leaders club ni aibu tupu. Pastor Mzimbabwe anayeishi London anawaburuza kama kawaida yao. Nawakunbusha kidogo utapeli wake wa zamani hapa. Kama alivyo prophet Alfa Lukaku, mzaire , nani ya Johannesburg. Alifanya muujiza wa kumfufua mtu. Aliyejifanya kafa...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Sasa Chadema mtuongoze vyema kipindi hiki. Watanzania tunahitaji mwongozo wenu tumevurugwa

    Hakika hakuna wakati Taifa limekuwa na ombwe la uongozi kama wakati huu ninavyoandika. DP World sio neno ngeni hata kati ya watoto wadogo mtaani. Tumeona wazi kwamba kuna kundi nyuma ya mkataba huu usio na chembe ya uzalendo, kundi hili limeangalia maslahi yao binafsi na kuuza bandari zetu...
  19. Econometrician

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Watanzania huwa tunarudia makosa yale yale miaka nenda rudi.

    Ndugu zangu mnajua fika rasmilimali pekee tulizonazo ambazo tungekuwa na viongozi wenye maono zingetutoa kwenye umasikini,Madini,mbuga (utalii),bahari & maziwa na bandari. Taarifa zinaonesha Rais Mstafu Mkapa alibinafisisha Migodi ya madini ya dhahabu ya Mkoa wa Geita & Mara,Mgodi wa...
  20. Gentlemen_

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kuomba hela (Kiholela) imekuwa desturi ya Watanzania wengi

    Hili ni tatizo na ni tabia inayonikera sana. Mtu usipost upo kiwanja flani utashangaa inaingia text "Mzee nisaidie elfu 10 hapo".. Sawa tunapaswa kusaidiana kwa shida na raha ila ukipata request za kuombwa hela na watu zaidi ya 6 kwa siku mbili tu lazima hata ule moyo wa kiutu unaisha...
Back
Top Bottom