watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania walikataa vyama vingi kwa 80% Nyerere akaona mbali akaruhusu!! Samia kaona mbali pia, DP world twende kazi

    Mama Samia kanyaga twende! Wtz hawakujua maana ya vyama vingi wakavikataa lakini Nyerere kwa uzoefu wake akasema vyama vingi ni muhimu na matunda yake tunayaona, kwahiyo akina Mbowe wajue kwamba hata wapige kelele kiasi gani kama Rais kaona DP world ni muarobaini basi acha afanye kazi matunda...
  2. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kama unandhani hoja za Watanzania ni Makelele basi endelea kuziba Masikio

    Mara kadhaa nimemsikia Rais akijibu hoja nzito kwa vijembe na taarabu. Watu wazima na akíli zao wanajipanga kutoa hoja afu wewe bila staha yoyote unasema ni Makelele. Aendelele kushapaza shingo na hao wanaompa kichwa mda ukiwadia hatawaona tena. Tanzania ni ya Watanzania siyo ya Rais Samia...
  3. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asizibe masikio dhidi ya kelele za watanzania kupinga kifungu cha 23(4) cha Mkataba wa awali wa DP World ambacho ni cha kitumwa

    Waziri Mkuu, Cassim Majaliwa, alitoa hotuba zuri kuwaalika watanzania kutoa mawazo kuhusu mkataba wa DP World ili serikali iyapokee na kuyachambua. Lakini sasa ni kama bosi wake anamkana. Jana, Rais Samia akiwa anazungumza baada ya wananchi waliokuwa wamejitokeza kumpokea katika eneo la...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Watanzania ni Watu wa ajabu. Wanapigiaje kelele jambo dogo la Bandari, lakini Mambo Muhimu ya Msingi kama Katiba na Uhuru wao wapo Kimya?

    Wanabodi Nipashe la leo, Kama kawaida yangu kila Jumapili, huwaletea makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, kuzungumzia jambo lolote la kisiasa, kiuchumi na kijamii lenye maslahi kwa taifa. Mada hizi huwa zina, swali , na hoja, kisha jibu, utalitoa wewe msomaji mwenywe. Swali la leo ni kutuhusu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania DODOMA; Wabunge Washindana kula Ubwabwa!

    Salamu Wakuu, Baadaye ya kuumiza vichwa na mijadala ya mizito ya kuitoa Tanzania kwenye Lindi la umaskini, leo Wabunge wanafanya bonanza la kushindana kula Ubwabwa na maharage!
  6. T

    JamiiForums Tanzania SoC03 Watanzania tunufaike na nini kupitia nursery schools

    Ni miongo mingi imepita huku nchi ya Tanzania ikishindwa kufanya vizuri kwenye suala la ushindani wa soko la ajira kulinganisha na mataifa mengine ya nje na yale ya jirani katika kuwasilisha “maudhui” yetu kupitia vijana wanaotumia nguvu kubwa katika kupambana na umaskini ili wajikwamue kwenye...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Sio Watanzania tu, hata Waingereza wameikataa DP World

    Ilifukuza kazi wafanyakazi 800 bandarini Uingereza kwa mkupuo bila kufuata taratibu Iliajiri vibarua toka nje ya Uingereza na kuwalipa ujira mdogo kinyume na sheria Manamba na vibarua wa Tanzania wajiandae kulipwa kiduchu Hisia: Waingereza wanasema rushwa imeibeba DP World...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Watanzania tupinge siasa za kinafiki. Anayesema no DP WORLD aseme sasa

    Kuna watu wanasoma upepo, akiona ugali uko kwenye wanaosema YES wakati mawazo yake ni NO anakaa kimya kama hayupo. Siku akiona upepo umebadilika anabadilika na kuanza kusema NO. Lazima tujenge watanzania katika kusimamia kile wanachokiamini. Ukiamua kusema NO sema no kwa hoja na ukiamua...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Maoni: Watanzania hawataki tena kuwa tu manamba na vibarua, wanataka pia kuwa sehemu ya wawekezaji kwenye Bandari

    Nyakati zimebadilika. Hivi sasa ni mwaka 2023; sio 1961 ambapo tulijinyakulia uhuru na kujitosa katika uendeshaji wa taifa bila ujuzi wa kutosha, tukijaribu utekelezaji wa sera mbalimbali kama vile ujamaa na kujitegemea; sio miaka ya 1980 mpaka 1990 ambapo tulimiliki mashirika mengi ya umma bila...
  10. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Dubai tumesaini nao mikataba ya maendeleo zaidi ya 30. Watanzania wanaopenda Maendeleo tumieni fursa alizotuletea Rais Samia

    Nawashangaa sana Tanzania chamber of Commerce na BET ambao ndiyo wanashughulikia mambo ya biashara baina ya Tanzania na nchi za nje. Nawashangaa zaidi waandishi wa habari wa Tanzania, hususan hawa free lancers waliojazana sasa hivi kwenye mtandao. Alziandika Mwandishi. Mmoja tu, msome chini...
  11. Top for B

    JamiiForums Tanzania Serikali inatakiwa kuelewa kwamba watanzania tunapinga mkataba kutokana na masharti yake

    Utetezi umekua mwingi ambao unatafuta visingizio na si kujibu hoja, masharti ya mkataba ndiyo yanapingwa sasa serikali ikija na mkataba ambao haupo juu ya sheria za nchi tunaweza tukaelewana, alafu pia hii ngoma ndo kwanza mbichi msidhani tutasahau hata mkimwambia Diamond amlete fantana bongo.
  12. I

    JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa na kugadhabika jinsi Watanzania walivyopokea suala la wanafunzi waliotoka Sudan

    Wakuu, Mimi nikiwa kama Mtanzania mwenye akili timamu, nimechukizwa sana na jinsi watanzania mbalimbali walivyolishadadia na kuendelea kuchangia maoni yao kwa wanafunzi waliokuja kutoka Sudan kufanya mafunzo yao ya udaktari kwa vitendo katika chuo cha Afya Muhimbili. Nasema nimegadhabishwa kwa...
  13. radika

    JamiiForums Tanzania Kwanini bandari apewe DP World?

    Kabla hamjakimbilia kutuambia faida na hasara, chambueni kwanza vipengele vya mkataba na mjibu maswali yanayoulizwa. Nia ya kumtafuta DPW ilitokana na report ipi ya uchanganuzi wa ufanisi wa bandari? Tenda iliyozishindanisha kampuni tofauti tofauti kisha ikapatikana DPW ilitangazwa wapi? Mgao...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Ni Watanzania wanaopinga na wengine kuukubali mkataba, mjadara usiwe ni Dini zinatofautina!

    Mali zote za nchi hii ni zetu sote watanzania bila kujali dini zetu Hakuna mwenye haki zaidi ya mwingine kwenye Mibaraka ya Mungu juu ya nchi yetu Tanganyika Tunaweza kutofautiana kwenye Imani, lakini hiyo haiondoi Utanzania wetu Hatuna nchi nyingine zaidi ya hii tuliyopo sasa, sote ni...
  15. CONSISTENCY

    JamiiForums Tanzania Kufanyike mdahalo huru wa Wananchi v/s Serikali kuhusu mkataba wa bandari

    Kuhusu mkataba wa bandari tumeona mapungufu makubwa ya bunge letu kuhusu namna linavyosimamia serikali, tumeona bunge limetumika kama toilet paper na serikali. Udhaifu huo wa bunge unapelekea kuchochea zaidi mahitaji ya katiba mpya ili kuepukana na udhaifu na upumbavu kama huo wa bunge. Hivyo...
  16. MURUSI

    JamiiForums Tanzania Watanzania suala la Maandamano hatuwezi, tuwaachie Wakenya na wengineo

    Watanzania Vibe za Maandamano hatuwezi hilo liko wazi na halihitaji mjadala wa aina yoyote na binafisi nawaone huruma Wakina Mbowe na wengineo wanao piga kelele kutetea watu ambao hawawezi jitetea kamwe. Watanzania tulizaliwa na uoga na tutazikwa nao, linapo kuja swala la uoga hatuna wa...
  17. Mnada wa Mhunze

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Rais Samia nisingewachukulia poa tena Watanzania

    Ningekuwa Samia hilo la BANDARI kuhojiwa kwa zaidi ya wiki 2 na Watanzania isivyotarajiwa hakika ningeshtuka na kuwa upande wao kwa kuwasikiliza, kujibu hoja zao mimi mwenyewe na ningetafuta namna bora ya kuliweka ili kuondoa SINTOFAHAMU kubwa nchini! Ukweli ni kwamba Watanzania wamebadirika si...
  18. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Jebra, Mtobesya na Wanasheria wengine, fungueni kesi dhidi ya Mkataba wa DP World

    Ni wazi Serikali ya Samia haina mpango wa kusikiliza maoni ya wananchi zaidi ya kufanya spinning na wasanii na wanasiasa. Kabla hatujaingia barabarani kama wananchi wa Sri Lanka, nashauri tufungue kesi ya kikatiba dhidi ya huo mkataba. Kuna wanasheria manguli kama Mtobesya, Jebra Kambole...
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania DP World: Hizi Kelele, Kulalamika, Shutuma, na Lawama ni za Kweli au ni Ujinga Tu? Rais Samia Anastahili Kulaumiwa au Kupongezwa?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Nipashe ya leo. Kama kawaida yangu, kila nipotapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" zinazozungumzia jambo lolote lenye maslahi kwa taifa, liwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii, na hufanywa kwa mtindo wa maswali fikirishi, kisha...
  20. Che Kadewele

    JamiiForums Tanzania India inatoa huduma bora ya afya au ni kipato cha Watanzania hakimudu gharama za kutibiwa mataifa mengine?

    Habarini wakuu, naomba kuelimishwa juu ya mada tajwa hapo juu. Tumezoea mara nyingi Watanzania wakikosa huduma fulani kwenye hospitali zetu za ndani basi kimbilio lao ni India, hii inamaanisha katika mataifa yote duniani India imekuwa namba moja kwenye masuala ya afya au vipato vya Watanzania...
Back
Top Bottom