🚨 BREAKING: WE WON TODAY! 🚨
TAUSI LIKOLOLA:
We did not give up. We did not stay silent. Today, we moved one step closer to justice.
The Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act has passed the Senate Foreign Relations Committee and now advances forward.
This moment...
Wazanzibari wanaungana dhidi ya watanganyika ili kumlinda mzanzibar mwenzao, watanganyika wanauana sababu ya mzanzibar!! Ipo siku wajukuu zetu watatuuliza maswali magumu
Bajeti ya leo Watanganyika mmeingizwa mjini mnajiona. Ushuru wa Magari umepanda Hadi 50% huku sheria ikibadilishwa ili mruhusiwe kusajili magari Zanzibar.
Maana yake ni kwamba ili mpate unafuu mtalazimika kusajili magari Kwao ili wapate ushuru huku kwenu kukidoda. Mtachezewa mpaka lini amkeni...
Mwenye macho haambiwi tazama.
Haya ndiyo mambo makuu ambayo Mzee Nyerere aliiachia Tanzania na yamedumu hata baada ya yeye kuondoka, na kuna hatihati kwamba yataendelea kuwepo kwa muda zaidi hapa nchini. Ukweli mchungu ambao wafuasi wa Mzee Nyerere hawapendi kuukubali ni kwamba mambo haya yana...
Naibu Waziri wa Vijana, Ajira na Uwezeshaji, Zanzibar Hassan Khamis Hafidh, akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Bajeti ya Vijana katika Baraza la Wawakilishi Juni 6, 2026, alisema licha ya kuwepo kwa hoteli 1,184 zilizosajiliwa Zanzibar, idadi kubwa ya wafanyakazi katika baadhi ya...
Watanzania wenzangu, msitolewe kwenye reli.
Mara nyingi katika siasa hutokea mijadala, matukio au watu wanaojitokeza ghafla na kuhamisha mjadala kutoka kwenye hoja kuu kwenda kwenye mambo mengine. Huo ni mtego ambao wananchi wanapaswa kuuangalia kwa makini.
Msikubali kupotezwa maboya. Meli...
Hehehee!
Mwafikiri iliisha. Hehehe. Siye tupo kimya mwatapatapa. Kila Siku mwamaliza mate kwenye vipaza sauti. Mayii! Mtaita maji muma hahahaha!
Yuda ni nyie mliosaliti wanaichi na kuwasulubisha kwa uroho wenyu wa madalaka. Na bado.
Mwambieni mwambieni mali yake bado yaliwa. Na bado.
TUACHE PROPAGANDA JUU YA UHAI WA WATANGANYIKA.
Hakuna Taifa linalotuonea wala kutuingilia mambo yetu ya ndani kinyume na Sheria za Kimataifa.
Yanayotupata leo yanatokana zaidi na ujinga wetu wenyewe, ukatili wetu wenyewe, na kushindwa kuwajibika kwa mujibu wa Sheria na Katiba ya nchi...
Watanganyika tunaonewa sana. Kwanza kabisa taifa letu lilimezwa na sasa halijulikani lilipo. Tanganyika imemezwa. Tunadanganywa eti kuna Tanzania bara na Zanzibar.
Alafu tunaumizwa sana. Maana utekaji umekuwa ukiumiza amani ya mioyo ya watu.
Angalia tukio la Sativa. Kwenda kutupwa porini na...
Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Ivory Coast na klabu ya Chelsea, Didier Drogba amewasili Bungeni Jijini Dodoma akiwa ni miongoni mwa wageni watakaoshuhudia uwasilishwaji wa makadirio ya Mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2026/2027
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ametangaza ongezeko la kima cha chini cha mshahara kutoka TZS 300,000 hadi TZS 500,000 kwa mwezi.
Dkt. Mwinyi amesema kiwango hicho kipya cha mshahara kitaanza kutumika Januari 2027.
======
RAIS DKT. MWINYI ATANGAZA ONGEZEKO LA MSHAHARA KIMA CHA CHINI...
Mafuta yamepanda bei. Maisha yamekuwa ghali.
Wazanzibari wanaongezwa mshahara Watanganyika tunaambiwa eti pesa zilitumika kwenye uchaguzi na nyingine zitatumika kwenye kukarabati uharibifu uliofanywa na Gen Z waliotaka kupindua nchi.
Jumatatu najaza fomu na kujitoa CWT.
Ni maajabu karne hii ya uwazi, karne ya ChatGPt, AI, Copilot..nk unataka kudanganya umma wa watu milioni 70 na ulimwengu mzima kwa Propaganda fake.
Lengo la yote hayo ni kuwasafisha makatili wachache wenye mikono inayovuja #DAMU za watanganyika waliouliwa kikatili sana na wengine kuishia...
Mpaka sasa Watanganyika wengi wanaamini kuwa hayati Magufuli alikufa kifo chenye utata.
Humphrey Polepole akaja kuweka wazi kuwa wanaCCM waovu ambao wana nia ya kuwaibiibia Watanganyika rasilimali zao walihusika na kifo cha hayati JPM.
Leo hii CHADEMA ina nguvu kila kona. Wananchi wanaikubali...
Nimefuatilia ripoti yake naona hajatuambia nan aliyetoa amri ya kuua WATANGANYIKA ila ametoa visababishi vya uchaguzi TU
Eti anasema wale waliokatwa wakat wa mchakato wa NDANI wa uchaguzi ndio waliochochea vurugu kuna mtu anatafutwa hapa hasa makamba junior
Kauli mbiu ya OCTOBA TUNATIKI...
Ningeshangaa report iandaliwe na Mzanzibari asimlinde dada yake?
Hivi huku Tanganyika alikosa mzalendo wa kufanya uchunguzi?
Watanganyika waliohudhuria wao ni kupiga makofi pindi ripoti ya tume ikisomwa
Yaani mnasomea habari za mauaji mnapiga makofi ya Nini?
Niliwaona mabolozi wa mabeberu...
Kwa hali jinsi ilivyo tusitegemee mtu kutoka visiwani au Comoro aje aipiganie nchi yetu Tanganyika
Yule asuman wa tume nadhani ni mvisiwan yule ni ngumu SANA kukubal hali ya uchaguzi uliopita ulisababishwa na dada yake kushupaza shingo na ndipo akamchagua yeye kuziba kelele halali za...
Wakuu,
Mzigo unaangushwa kesho mezani, tujue nini hasa tume ya Chande imekikusanya kutokana na hadidu rejea walipewa. Toka wiki iliyopita tunaona video baada ya video za mahojiano na watu mbalimbali ikiwemo Sheikh Mkuu, Jaji Mkuu Mstaafu, watanzania baadhi, na leo watu wa media wakisema "wana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.