Haya yanayofanywa na Zanzibar dhidi ya TANGANYIKA ni wazi wameshatuona kama sawa na magunia ya viazi mviringo ambayo unaweza kuyaviringisha unavyotaka!
The whole 64 + millions Tanganyikans ni Lumpen Proletariats! Lacking class consciousness and the inability to act as a unified political force!
Jiulize Kuna uhusiano Gani kati ya mtu kuguswa bega na kupoteza mbor. o 😂
Yaani watu wanaiamin katika technology, uvumbuzi na science,
Sisi tunauana ati mtu alikugusa bega ukapoteza nyeti
Hili linaibuka katikati ya
1. Bei ya mafuta imepanda
Serikali imekosa hekima ya kulibeba hili na...
Imetosha Sasa! Watanganyika Tuanze Maandamo Ya Kudai Haki Ya Tundu Lissu.
Tundu Lissu amekuwa mahabusu Ukonga kwa case ya uongo ya treason. Raia wote tunaelewa ni hujuma za Samia kumuumiza Lissu ili Samia na CCM yake waendelee kupora rasilimali za watanganyika. Samia amejiapisha kuwa Rais wa...
Hasira dhidi ya wote walioshiriki na hata walioshabikia umwagaji damu siku za Uchaguzi alimaarufu Mo29 bado ingali ikigonga mioyo ya watu wengi nchini!
Kwa mazingira ya kibinadamu, kwa namna yoyote ile, huwezi kufurahishwa na jambo hilo ovu.
Kwenye vitabu vitakatifu, vyote vinapinga vikali na...
Hata saa mbovu kuna muda inasema kweli mara mbili kwa siku.
Kila mtu ana jinsi anamkumbuka Mtu. Mimi Wosia wa Lukuvi ambao nimeuweka moyoni ni tahadhari aliyotoa kuhusu Watu kutoka Zanzibar.
Yaliyotokea 29 Oktoba 2025, yalifanya niamini kauli ya William Lukuvi.
Aliwahi kusema kwamba hatuwezi...
Salaam Wakuu,
Mnavyomuona Samia Suluhu wa huko Tunguu, ndivyo walivyo Wazanzibari na Waislam walio wengi.l hasa Wanawake.
Upendo Samia anaoonesha kwa Watanganyika ndo upendo Wazanzibari hasa Waislam walio nao kwa Watanganyika na Wakristo.
Samia ndo kielelezo cha upendo wa Wazanzibari...
Kwako Mheshimiwa,
Kipenzi cha Watanzania Mkuu wetu wa nchi ikukupendeza Tunaomba utoe neno watanganyika tupone, Jumatatu iwe Sikukuu ya Mapunziko kusherehekea Idd Tatu (3).
Ni Mimi Mtanzania Mzalendo wa Kinondoni Chama hapa.
Nawasilisha
Jana nimekutana na balozi wa Tanzania Nchini Zimbabwe, Suzan S. Kaganda hazina ya Taifa.
Baada ya kumsikiliza vizuri, nimeamini kumbe Nchi yetu bado ina Wazalendo. Tatizo Wazalendo CCM hawataki wakae karibu na Wananchi. Mfano Balozi Polepole alipelekwa Cuba, Balozi Suzan kapelekwa and Zimbabwe...
Tanganyika na Zanzibar ni nchi moja.
Huwezi kufanya mapinduzi Zanzibar Sababu Zanzibar zio dola huru.
Iweje Mtanganyika akiagiza mafuata ya kupikia kutoka Zanzibar alipe ushuru na kodi?
Hili ni wazo la mkuu Kalamu alilitoa tukiwa kwenye mjadala wa mada ya CHADEMA
Alishauri tuweke kwenye kumbukumbu kwa faida ya historia
Mambo ya hovyo, uvunjaji wa sheria na haki za binadamu ukiukwaji wa taratibu mbalimbali umefanywa na mamlaka mbalimbali aidha kwa ufinyu wa kuelewa lakini kwa...
Hawajui baya na zuri, zuri kwao ni baya, na baya kwao ni zuri!
Samahanini Watanganyika kwa swali hili
Ukisema Watanganyika ni watu Utaje na sababu zake
Ndiyo maana mtu anaweza kuwatoa sadaka wote kabisa kwa miungu yake na msifanye chochote
Kwamba Bandari tuliwapa wawekezaji, wawekezaji...
Moja ya kiongozi wa Kundi la Tanzania Freedom Fighters(TFF) amefafanua na kueleza maana halisi ya kundi hili
Amesema TFF ni kundi la wananchi wa Tanganyika Wazalendo na sio kundi la kigaidi au la uasi kama wanavyosema Jeshi la Polisi.
Aidha amesema kindi hili limezaliwa baada yaliotokea Oktoba...
Kwa sasa, sina shaka muungano wetu ulioanzishwa na wakoloni hauna maana yoyote. Umegeuka mzigo na ukoloni kwa Tanganyika iliyouawa na ubinafsi na udkteta wa Nyerere na woga wa Karume asipinduliwe na waarabu.
Hayo sasa yalishapita. Inakuwaje tunang'ang'ania kitu cha hasara hasa kwa Tanganyika...
CCM mtandao ni wajinga na hawana akili za kuweza kuwadanganya Watanganyika.
Walidhani Jesca Magufuli atakuwa bait ili wakubalike kwa Watanganyika.
Yuko wapi Humphrey Polepole?
Kama kuna mtub huko serikalini aliye pendekeza kuwepo project ya kuteka na kuua watanganyika ili kuzima ukosoaji mwambieni project ime fail. Maana sasa output zake sio poa kabisa.
1. Inchi imechafuka kimataifa,
2. Ukosoaji unaongezeka,
3.Serikali inachukiwa na kuwa isolated na wananchi
4...
Usipokuwa na uwezo wa kufanya reasoning na kushndwa kuelewa historia, unaweza usielewe kuwa watu kama Lissu, Polepole na wengineo, ujasiri na uthubutu walio nao ni kazi ya Nature ( Mungu) ili kupitia shida na mateso yao au hata vifo vyao, mlio wengi mkombolewe.
Hata wale waliouwawa Oktoba 29...
Weka kumbukumbu nzuri isiyo ya uonevu. Kipindi hiki toka Jiwe mpaka hapooooooo, weka kimbukumbu. Hata vizazi vyao walioshiriki kikamilifu kuiuza Tanganyika na wanufaika, will pay the price!
Kuhusu jambo linalotaka kufanyika la serikali kuuza hazina ya dhahabu na pesa kutumika kwenye miradi,
scenario ya Bwana Mkumbo inaingia akilini kuliko ya Bwana Gavana.
Huwezi kuja na maelezo kwamba ulijiwekea lengo na kinachozidi unaamua kukiuza kwa nini????
Kwa hiyo Bwana Gavana unatuambia...
1. Baba Rais mstaafu na trip za Western Countries kibao a month
2. Mama mbunge na mafao ya wenza
3. Mtoto waziri
4. Wajukuu ma CEO
All combined wizi na biashara haramu za wizi wanazofanya zisizolipa kodi
Kujua siri za mtu yeyote.
Kujua siri za herufi.
Kujua siri za maneno.
Kujua shughuli za siri.
Kwa mashauri ya kijeshi ya kamanda.
Kujua siri za...
Kujua utajiri mtu alionao.
Kujua siri ya sanaa zote.
12\1 MEGILLA, E....... G......, I......, L......, L......, A.....M
12\2 SIMBASI, I...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.