Hivi Othman Chande anatuonaje sisi Watanganyika?

Hivi Othman Chande anatuonaje sisi Watanganyika?

PERAMIHO YETU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
6,289
Reaction score
17,313
Nimefuatilia ripoti yake naona hajatuambia nan aliyetoa amri ya kuua WATANGANYIKA ila ametoa visababishi vya uchaguzi TU

Eti anasema wale waliokatwa wakat wa mchakato wa NDANI wa uchaguzi ndio waliochochea vurugu kuna mtu anatafutwa hapa hasa makamba junior

Kauli mbiu ya OCTOBA TUNATIKI ilochochea maandamano is it really? hata mtoto wa darasa la 2 haweZ amin

Nadhani mzee asuman kuna kitu anakitengeneza ndan ya Tanganyika.

Tuwe makn WATANGANYIKA taifa letu linapotea mdogo mdogo na hawa wazanzbar wanalitawala

Asante jaji warioba hukutaka ujinga wao kuusikiliza
 
Achana na huyo mhindi wa mchongo.. utajipa stress sana
 
Ripoti haina maelezo ya moja kw moja. Manati kuuwa polisi, makambi yalikuwa wapi? Nani alifadhili bila kutaja moja kwa moja
 
Back
Top Bottom