watanganyika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Hii ni njia mpya ya kuwatoa Watanganyika kwenye reli?

    Kuna mikakati mingi sana inapangwa ili. 1. kuwasahaulisha Watanganyika na mauaji ya October 29 2. Kufubaza harakati za Gen Z 3. Kuzoezwa uongo ili kuutambua uongozi batili 4. Kuacha kujadili kupanga na kuchambua mambo muhimu ya Tanganyika Kabla ya October 29 walikuwa wameshawapumbaza vizuri...
  2. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kama Samia ataitwa ICC si mtandao ndo utakuwa umeshinda na akibaki si ndo Watanganyika tutukuwa tumekwisha?

    Japo suala la Samia kufikishwa mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) bado halijafikia mwisho wake wala kujadiliwa. Je, Watanganyika tumejandaaje kama hii kitu itafanyika? Je, Samia ataponyoka au kuzama? Kuna uwezekano anajiandaa kwa lolote kiasi cha kupanga mijitu kama...
  3. M

    JamiiForums Tanzania !IMPORTANT, No sportwashing, Mkataba kati ya Manchester United kusafisha Damu ya Watanganyika mikononi mwa CCM

    Uzi wangu uliopita umefuta, ila lazima haki ipiganiwe Mnakumbuka hii picha kwenye hii ziara Matokeo yake ni kuwa Manchester United ilipewa tender ya karibu dola million 19 sawa na TZS billioni 50 kupromote vivutio vya Utalii Tanzania Hii ni summary ya huu mkataba Company: MANCHESTER UNITED...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Watanganyika Samia anatumia nguvu nyingi kutuharibia nchi yetu, Kwanini sio Dkt. Shein?

    Kwa nini asiwachague Wazanzibar wastaafu wamshauri? Watanganyika tukatae hili, kama anaweza kutawala akawatawale Wazanzibar wenzake
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kodi za Watanganyika zinajenga shule Zanzibar ambazo hapa Tanganyika hazipo

    Hii sio haki kabisa. Tunawajengea Wazanzibari mbona hapa Tanganyika hakuna shule kama hii?👇
  6. C

    JamiiForums Tanzania Baada ya kujiridhisha kwamba kumbe inawezekana nchi ikatawalika kwa mkono wa chuma basi sasa watanganyika jiandaeni kwa mazito zaidi

    Na ninapo sema jiandaeni namaanisha mjiandae kwa mengi yaani, mateso,dhihaka kejeli na mengine mengi na hamta kuwa na la kufanya kwa sababu hayupo aliye upande wenu kwa sasa na hayupo wakuwasaidia kwa sasa.
  7. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Enyi watanganyika, Samia hukaa Zanzibar kuchangamsha uchumi wa huko.

    GT Samia anachofanya wakati ninyi mkiamini amejificha lakini yeye anapeleka serikali huko na kuongeza mzunguko wa fedha. Ikulu inapohamia mahali pilikapilika zinakuwa nyingi. Hotels na migahawa hufurika.magari yanakuwa na movement za hapa na pale. In short huyo bi kidude anaipenda Zanzibar...
  8. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Nawaza kwa sauti kubwa juu ya huyo aliotoa wazo huko kwenye vikao vyao la kuteka na kuua watanganyika

    -Kuna kisa nimesikia titok vijana watatu walikamatwa mchana kweupe tarehe 4 December huko Tarime na wote kukutwa wameuawa baada ya kupotea kwa siku kadhaa wakiwa wamevunjwa shingo. What is this all about? Yote haya kwa ajili ya kulinda CCM isitoke madarakani kweli? Imagine mmoja wa hao vijana...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwabukusi: Kama TEC ilisimama na watanganyika hakutakuwa na kosa lolote watanganyika kwa umoja wetu kusimama na TEC kuukabili uovu

    Anaandika Rais wa TLS kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa X, Boniface Mwabukusi. HATUTAENDELEA KUKAA KIMYA DHIDI YA UOVU. Hii ni project yenye sessions 27 mpaka sasa zimefika tano. Nadhani huu siyo uchokozi dhidi ya TEC ,Father Charles Kitima, Mapadre wala Watawa na Wakatoliki wa kweli...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wairan Wakiunda Bendera ya Iran kabla ya Mullahs, Watanganyika mnakwama wapi?

    https://x.com/ShayanX0/status/2007597953394061390 Ukiwa ndani ya nyumba yako tafuta vitambaa vitatu shona bendera ya Tanganyika.
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu utatuambia nini Watanganyika? Huna

    Samia Suluhu Hassan hana cha kutuambia Watanganyika. Yaani atasema nini ambacho kitafanya tumuelewe miezi Miwili baada ya kuua watoto wetu? Uongozi wake umeua watu zaidi 6a Waliokufa vita ya Kagera. Samia anataka kumhutubia nani? Ili iweje? Salaam za Mwaka mpya ambao Waislam hawauttambui...
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Upendo na umoja wa Watanganyika

    Jumanne tulimchangia Catherine (mdogo wake Baraka) kiasi cha TZS 15.6M ili kimsaidie kumalizia elimu yake CBE na pia kiweze kusaidia familia yake na kumsaidia Baraka mwenyewe ambaye alivunjwa miguu yote miwili na kupewa kesi ya Uhaini. Tunamshukuru Mungu kesho yake Baraka akaachiwa huru. Hata...
  13. Kachina95

    JamiiForums Tanzania Swali; Lipi baya mkoloni alitutendea watanganyika, CCM hawajatutendea?

    Wanajukwaa nina maswali machache hapa naomba msaada tafadhali: 1. Yapi mabaya tuliyotendewa na wakoloni na hatutendewi na CCM? 2. Yapi mema ambayo CCM wanafanya, mkoloni hakuyafanya? 3. Mkoloni alitunga sheria kandamizi na akazifuata, kwanini CCM hata sheria zao kandamizi wanazivunja ili tu...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Ukisikiliza Taarifa za Mashuhuda na Wahanga, Mauaji Makubwa ya Watanganyika Yalisababishwa na Chuki za Wazanzibari kwa Watanganyika.

    Ukifuatilia kwa umakini maelezo ya mashuhuda na manusura wa mauaji ya Watanganyika yaliyofanyika kwa siku 3 mfululizo kuanzia tarehe 29 Oct, ni dhahiri mauaji makubwa ya holela yalifanywa na askari wa kutoka Zanzibar, nao waliyafanya hayo kwa misingi ya chuki dhidi ya watanganyika, na siyo...
  15. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania Kwanini wananchi waTanganyika hasa mitandaoni wanawaona JWTZ kama WASALITI?

    Utaona hilo kwenye comments walizotoa kwenye picha zilizopostiwa jana wakati rais Samia anazungumza na wakuu wa Kamandi na viongozi wengine wa jeshi. Why? Je, wananchi wamepoteza imani na jeshi lao lililokuwa tegemeo kwenye maandamano ya Mo29 au D9?
  16. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kura 98% za Samia sawa na Watanganyika 32,000,000 waliompigia kura, zageuka shubiri wanamuombea kifo...!!

    Duuh, Bongo kuna maajabu mengi sana... Ni ngumu sana kuupaka uongo pafyumu na usionekane kuwa ni uongo...!! Inawezekana vipi kiongozi mkuu wa nchi aliyejitangaza mshindi kwa 98% ya kura zote ktk kile wanachokiita uchaguzi wa 29/10 na ghafla hata mwezi haujaisha haohao mamilioni waliomchagua...
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tunawashukuru Marekani kwa kusimama na Watanganyika. Iwapendeze tu mfanye Military Intervention kuwakomboa Watanganyika

    Appreciation Post kwa Marekani. Kusema ukweli Watanganyika tunatawaliwa kwa nguvu na CCM. Imefika wakati sasa maisha yetu yako mikononi mwa CCM na sio Mungu tena. Wanatuteka, Wanatuua, Wanatufungulia kesi za Uongo, Wanatushikiria kwenye Magereza na vituo vya polisi bila kuwepo na kesi dhidi...
  18. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Sevilla FC ya Spain wamewatakia Watanganyika wote Kheri ya Sikukuu ya Uhuru!

    Kutoka kwenye ukurasa wao wa Social Media, wakatuwekea na Picha ya 2019 walivyokipiga na Simba SC.
  19. secretarybird

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ndoto: Nimeota watanganyika wameandamana kimasihara

    Jana usiku sikulala mapema kwa kuwa nilikuwa naperuzu humu hadi saa nane usiku. Asubuhi nilienda kanisana kama kawaida yangu. Sasa kwa sababu sikupata usingizi mzuri usiku nikaanza kusinzia kanisani na hatimaye nililala fofofo kiasi cha kutosikia kilichosemwa na padre. Ghafla nikaanza kuota...
  20. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kumbe Watanganyika wanaweza kushikamana na kuongea sauti moja kwa ukubwa wake!

    Hivi ni vishindo vya wakoma waliokuwa wanadhani haiwezekani Tuko chini ya masaa 72 kuelekea kilele cha D9.. Hakuna mjadala mwingine wowote unaowavutia Watanganyika zaidi ya D9.. Iwe mitandaoni au vijiweni Wasanii wote chali.. Si wa nyimbo za kidunia Si wa nyimbo za kiimani Si wafanya maigizo Si...
Back
Top Bottom